Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Sasa mnabadiri Katiba yenu ili kusiwe na uchaguzi baada ya miaka mitano kwisha, ikifika miaka kumi mtabadri na Nchi muongeze kipindi kingine cha miaka 10.Huyu amefika wakati utaongea.
 
Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
Malaya wa Ki siasa
Mara ACT mara CCM
Utakuwa ushazalishwa watoto wengi sana wewe
 
Hahaha hii nzuri
japo hawa hawapendi ukweli
 
Hahahaaa BAVICHA buana!!!
Unaona sasa!
Wasalimie kada wenzio wa kijani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunawatakia mabadiliko mema ya "katiba" yenu.

Tukutane 2020.
 
JAMANI CHADEMA TUJADILI MAMBO YETU KWANI KUSHABIKIA VITU VYA CCM HAVITUSAIDII LABDA KAMA TUNAAMINI CCM NDIYO BORA KULIKO SISI
Kuwa makini ndugu..
Hujui wakitoka huko wanaelekea wapi.
 
Unaona sasa!
Wasalimie kada wenzio wa kijani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunawatakia mabadiliko mema ya "katiba" yenu.
Tukutane 2020.
Wenzenu wanapanga ushindi 2020 mnashangaa tu, ikifika Julai 2020 ndiyo mwenye chama "anawateulia" mgombea kwa falsafa yake ile ile ya gia angani.
Mtaangukia pua vibaya saana, na kama kawaida, kura zitakuwa zimeibwa!!
Hahahaaa!!! CHADEMA buana..
.
 

Hiyo ndiyo Chadema
 
Aisee kweli hii ni siri nzito, sizonje anahofia wanaweza kumtoa 2020
hilo liko wazi...ila na yy yupo smati..wacha tuisome namba miaka 10 tutanyooka na kuwa na akili ya kula kwa jasho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…