Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

Hivi kweli unaamini dunia ni tambarare? Halafu ni kweli upande wa pili upo ila siyo material, huo upo kabisa bila shaka, ni parallel world, ipo kabisa wala mimi sina wasiwasi na tunaishi kule pia lakini bila kujua, ukijua utakuwa na control na utafurahia zaidi maisha yako!
nambie vizuri sielewi upande wapili.? wadunia.?
 
Dunia hii kuna mfumo wa ubinafsi tena umeletwa na pesa ,kama watu watakuwa na roho nzuri tunaweza kuondoa umaskini kabisa.

Unakuta mtu ana bill 4 tena kiongozi halafu wananchi hata 10k mtu hana kabisa ila hawezi kugawa hizo pesa kuwasaidia bora wafe njaa.
brother hata kazi hakupi😂 basi hata matibabu tu yuko ladhi ufe.! alafu mnataka dunia iwe nausawa.? hii dunia kumamamake zake
 
Siri ambazo ni za kweli ni hizi hata mtu abishe vip.

1. Umaskini duniani ni wa kutengenezwa makusudi ili kuipa thamani pesa ,kwa sababu hata nchi kama Tz ina uwezo wa kutokomeza umaskini na kila mtu akala milo zaidi ya mitatu. Usiniulize kwa nn!

2.katika hii dunia kuna watu wanapta pesa bila ya kutumia nguvu wala kufanya kazi yaani wanaprint tu ,ni matajiri zaidi ya wale waliopo kweny list ya Forbes ..Siri hii imefichwa ili watu waendelee kufanya kazi duniani ila wapo watu wanapiga pesa bwerere bila ya nguvu
wa TZ wote Leo tupewe million 300. hakuna mtu atapanda daladala.! alafu hakuna mwajiliwa ataenda kazini wataacha kazi. hasa walimu 3.hakuna mtu atapanga nyumba watu watajenga nyumba zao.! 4. baa zitakosa wahudumu.! sema😂 sio tatzo mishahara itapanda watu wataajiliwa tena kwa7bu huwezi kumlipa mtu lakitatu tena.! 😂😂 sisi mafundi machenics ndo tutakua kazini kwelikweli
 
nambie vizuri sielewi upande wapili.? wadunia.?
Unajiitaje Jesus halafu hujui kama kuna ulimwengu wa kiroho, huo ndio chanzo cha ulimwengu wa kimwili na kwamba unapaswa kushinda kule kwanza kabla ya kushinda huku duniani?
 
k
Dunia hii kuna mfumo wa ubinafsi tena umeletwa na pesa ,kama watu watakuwa na roho nzuri tunaweza kuondoa umaskini kabisa.

Unakuta mtu ana bill 4 tena kiongozi halafu wananchi hata 10k mtu hana kabisa ila hawezi kugawa hizo pesa kuwasaidia bora wafe njaa.
Unajiitaje Jesus halafu hujui kama kuna ulimwengu wa kiroho, huo ndio chanzo cha ulimwengu wa kimwili na kwamba unapaswa kushinda kule kwanza kabla ya kushinda huku duniani?
nasikia tu ila siamini brother story zaungo tu.! siwezi kuamini story tu za watu labda nikiona nitaamini au kuishika lakni sio kusikia
 
Siri ambazo ni za kweli ni hizi hata mtu abishe vip.

1. Umaskini duniani ni wa kutengenezwa makusudi ili kuipa thamani pesa ,kwa sababu hata nchi kama Tz ina uwezo wa kutokomeza umaskini na kila mtu akala milo zaidi ya mitatu. Usiniulize kwa nn!

2.katika hii dunia kuna watu wanapta pesa bila ya kutumia nguvu wala kufanya kazi yaani wanaprint tu ,ni matajiri zaidi ya wale waliopo kweny list ya Forbes ..Siri hii imefichwa ili watu waendelee kufanya kazi duniani ila wapo watu wanapiga pesa bwerere bila ya nguvu
mbona hawa wanaopiga pesa bila nguvu ndo wapo wengi unajua wenye hela ni wanasiasa na sio wale wafanya biashara.... lkn wakionekana wao ndo wenye hela hawataaminika kwa jamii yao waliyoiaminishankyuwa nwao ni wawakilishi wa shida zao
 
Mkuu Mimi Nina kuamini na Nina amini kwamba Kuna alidhi bi hind antactica snow wall

Na Kuna geti la kuingia huko na Lina lindwa Sana

Nahuko Kuna ujuzi ambao duniani haupo

Na huko ndiko iliko Siri ya ujuzi wa mtu mweupe

Wa misri wa kale wakifika huko na walikutana na watu viumbe ambao mpaka Leo picha zao Zipo kwenye majengo yao ya kale

Lakini ukitaka uamini kwamba jf bado Sana kuhusu kujishughulisha ki akili Basi waletee habari Kama hizi

Uta shangazwa Sana mkuu

Humu waambie habari ya 1+1=2 lakini usiwaulize kwanini sio 11?

Jf waambie watu kwamba binadamu alitokana na nyani

lakini usiwa ambie wakupe mfano wa nyani aliye wai kuwa nyani Kisha anageuka binadamu tangu enzi za mababu zao hawata kuelewa mkuu

Jf waambie Tanzania ili kuwa muungano mnamo 1964

lakini usiwa ulize kwanini Zanzibar tunaingia kwa passport?

Wata kwita mwehu

Jf waambie dunia Ni duala watakuelewa

Lakini usiwaulize maji yanashindwaje kumwagika?

Ukiwauliza hivyo watakuambia Kuna nguvu ya uvutano Ina zuia

Wakikujibu hivyo waulize Tena nguvu ya uvutano Ina tokana na nini?

Watakujibu sumaku,..

Sasa waulize je sumaku unaweza kuvuta/kunasa maji?

Hapo ndipo hukuludia kwa kuku pigia simu kwamba kumbe mkuu ulikuwa una ongea ukweli

Jf Wana amini hakuna videos za ukweli YouTube

Lakini ukiwauliza Ile video YouTube inayo onyesha kuhusu kuhama kwa wanyama kutoka Serengeti kwenda masai mala Ni yau kweli au uongo?

Wata kuambia wame edit lakini Hilo nitukio ambalo lipo

Kuna haja ya kuubadilisha mfumo wetu wa elimu mkuu tunazalisha vilaza Sana
 
Kwa hiyo unataka niamini kabisa kuwa wazungu wanajiandaa kuhama hii dunia na kutuacha tunaozunguka na bakuli kila kona
Kama ni hivyo basi acha nisubiri wale homeless wa kizungu wanapochukuliwa na mimi nijichanganye
 
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo.

Hata hapa Tanzania hii ipo, yaani kuna taarifa ambazo unatakiwa ufikishiwe kama mwananchi na kuna taarifa zingine hutakiwi kufikishiwa.
Ndiyo!
Hiyo ipo dunia nzima.

So hapa Tanzania kuna taarifa hutakiwi kuzipata lakini pia kuna taarifa za kidunia Tanzania haitakiwi kuzipata, sijui unaelewa hapo. Yaani Tanzania ipo chini ya mataifa fulani, ambayo maybe wanaisaidia kiuchumi na mambo mengine, sasa hao watawala kuna taarifa nyingine zinafanywa siri na hawataki Watanzania wajue. Including wabunge, mawaziri mpaka rais.

Hii ipo kila kona, hata pale Marekani kuna mambo yanafanyika ya CIA rais hatakiwi kujua, yaani unaletewa taarifa jambo lishafanyika. Kwa nini wanaficha? Kwa sababu ya usalama wa raia na mambo mengine.

Sasa tunazipataje hizi taarifa? Hizi taarifa kuna namba kadhaa kuzipata.
1. Mtu aliyefanya jambo fulani baadaye kulitoa hadharani. Mfano mzuri mtu aliyemuua Bob Marley, baadaye alijitokeza na kusema alimuua, alitumwa, akafanya kazi hiyo. So hapo tumepata taarifa kwa mhusika.
2. Hapa tunapata taarifa kwa udukuaji ama ufikaji. Kuna watu wanadukua mafaili kutoka mahali fulani na kuyaleta kwa wananchi. Unamkumbuka Snowden alivyodukua mafaili ya CIA, kijeshi na kisha kuwapa Warusi? So hawa watu wapo, wanadukua taarifa na kutuletea sisi, na sisi tunaambiana. Unashangaa Mhaya amejuaje hili na wakati yupo Dar es Salaam, ni rahisi sana kwa staili hiyo. Na wengine wanafika mahali husika, wanaona vinavyoendelea huko na kutuletea taarifa.

Okay! Sasa hapa nataka nikuambie kitu kimoja. Kuna watu wanakutana na mambo makubwa na kuyaandika kwenye vitabu, vitabu vitanunuliwa na mwisho wa siku yule mtu atachukuliwa ama kitabu kufungiwa, kwa nini? Kwa sababu ametoa taarifa ambayo haitakiwi kutolewa kwa wananchi.

Taarifa hizo zinapopatikana, sasa hapo wanakuja akina James Cameron na kuanza kutengenezea muvi kuhusu kile walichokisikia. Unashangaa kwenye muvi ya Avatar kuna mji unaitwa Pandora. Unashangaa kuna kitu kinaitwa Disney Land. Hujakaa vizuri Muvi ya Thor wanakwambia kuna mji wao unaitwa Asgard. Wakati unajiuliza nini kinaendelea, Marekani anakwambia kule Uarabuni kunaitwa Middle East.
Wakati kichwa kinauma kufikiria hayo, unaambiwa kuna katuni inaitwa Super Mario. Sasa hapa unajichokea zako unasema acha nipumzike kwa kuangalia muvi za adventure, hapo ndipo unaamua kuangalia muvi ya Harry Potter na kukutana na mji unaitwa Hogwarts. Mara mji wa Narnia unakuja kichwani, mara hivi na vile.

Unachoshindwa kujua ni kitu kimoja. Hii miji niliyoitaja hapo yote ipo katika hii dunia yetu sema huwezi kuiona kwa sababu haujaruhusiwa kuvuka lile barafu la Antaktiki kwenda kujionea kwa macho yako. Sasa wale wajanja waliosoma sana na kufuatilia, wakaigundua hii miji ipo, na imeendelea kuliko hata dunia yetu, wakaamua kuiweka kwenye muvi.

Miaka ya 80 hivi kama sikosei, kuna jamaa alipatikana pale Marekani, alikamatwa na pasipoti yake ikaangaliwa, ikagundulika alitoka kwenye nchi iitwayo sijui Tartus, sikumbuki vizuri lakini huo mji hapa katika upande wetu haupo.

CIA walivyoona ishu inaweza kushtukiwa kwa kuwa hiyo nchi ipo kwenye upande mwingine wa dunia, wakasema huyo jamaa ametoka the future, yaani hiyo nchi aliyotoka bado haijaumbwa. Kumbe ipo ila si kwa huku upande wetu.

Halafu Mungu mbona yupo poa sana. Haya mambo aliyaumba kawaida tu sema sisi binadamu tumekuja kuyazuia ili wengine wasiyapate kwa manufaa yetu.

NASA wanajua kuna sehemu inaitwa Bawwaabaat (Unaweza kugoogle) hiyo ndiyo sehemu ambayo haina barafu na ina mlango wa kuingia kwenye huo ulimwengu mwingine. Yaani si tumezungukwa na duara la barafu ambalo linakontroo bahari zatu, sasa kuna sehemu mlango mkubwa ambao hauna barafu ambayo ndiyo hutumika kwenda kwenye baadhi ya hizo nchi nilizokutajia. Ila huwezi kwenda kwa sababu tayari kuna ulinzi, ukionekana huko ni kupigwa risasi tu, na hakuna kesi.

Ukitoka kwenye phace yetu na ukaingia kwenye phace ya pili ndiyo kuna nchi kama Disney Land, Atlantis, Middle East, Wonderland, Neverland.

Ikatikea ukavuka phace hiyo ambayo nayo imezungukwa na mabarafu, unaingia kwenye phace ya tatu ambapo huko pia kuna nchi kama Pandora, The Land of Oz, Asgard, Narnia Hyrule, Westeros, Tamrier, Super Mario, Mushroom Kingdom na mingine mingi. Hapa utajiuliza mbona miji hii ushaisikia sana kwenye muvi! Ndugu yangu, hakuna siri itakayoweza kubaki siri milele.

So hizi ni taarifa ambazo wewe hutakiwi kuzipata, zimefichwa ila kuna watu ambazo walizinyakua na kuziweka hadharani. Nenda Youtube, andika hata troops in Antractic uone jinsi wanajeshi wanavyolinda huko ili mtu asiingie na kwenda upande mwingine wa dunia hii.

Nilipoanza kuyazungumza haya mambo, wengi wakaja na kusema Mhaya muongo, baadaye wanakupigia simu na kukwambia: “Aiseee bro kweli! Kile ulichokisema ni sahihi nimefuatilia na kuyaona”.

Ngoja nitafute ile video ya Neil Hamstrong ambaye inasemekana alikwenda mwezini, jinsi alivyokimbia maswali alipoambiwa na watu wajuao dunia ni tambarare athibitishe kama dunia ni duara. Yeye mwenyewe kayaogopa hayo maswali.

NASA WAJANJA SANA.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom