hapo ndio kwenye tatizo. unampa hali ya madeni unayakuta kwa mama mkweNi vyema pia ukapata kumfahamu vyema (kwa undani) mwenza uliyenaye kabla ya kumkabidhi baadhi ya hizo [siri].
La sivyo, kesho yake unaweza kuikuta 'siri yako' ikiranda randa mitaani!
Ninadhani hatua muhimu katika dating ni kupima uwezo wa mwenzako kutunza siri. Ukishajua si mtu za Siri lakini moyo umempenda ya kwako yahifadhi.Ni vyema pia ukapata kumfahamu vyema (kwa undani) mwenza uliyenaye kabla ya kumkabidhi baadhi ya hizo [siri].
La sivyo, kesho yake unaweza kuikuta 'siri yako' ikiranda randa mitaani!
Fikiria unatika kazini unakuta nguo zako zote zimekula mkasi. Unaona hii si hali ya kawaida. Mnaenda hospitali mnapewa referral Mirembe. Kumbe kule mwenzako anajulikana na file lake wanalipa.labda Kama mmekutana toka utotoni huko vijijini unaweza fanya hivyo,
Ila ki mjini mjini huwa kinachowekwa wazi ni hiyo namba moja tena kwa asilimia 60% kushuka chini.
hao huwa wanakuwa na uwendawazimu wa mapenzi tu na ukijitia nawe kichaa ukakomaa naye mpaka ndoa,Fikiria unatika kazini unakuta nguo zako zote zimekula mkasi. Unaona hii si hali ya kawaida. Mnaenda hospitali mnapewa referral Mirembe. Kumbe kule mwenzako anajulikana na file lake wanalipa.
Kama we ni mchawi/ mshirikina usimfiche mwenzako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmeanza kufanya comedyKabisa na umueleze jinsi ukivyopeleka kucha zake kwa Kalungu Yeye ndiyo maana uko nae.
Mhh hapa unaeleza ulivyoteleza ukiwa kwenye ndoa.Yaani we manka sikuelewi nimekuoa una 25 yrs na haukuwa na bikira unaniambia John alikuwa ananipanua, halafu eti tukaachana na John anakuwa jirani yetu. Unadhani ni salama sana?
Ee ni rahisi hivyo? Mbulaaaa
Zinaweza kutumika kukuopressNi vyema pia ukapata kumfahamu vyema (kwa undani) mwenza uliyenaye kabla ya kumkabidhi baadhi ya hizo [siri].
La sivyo, kesho yake unaweza kuikuta 'siri yako' ikiranda randa mitaani!
Wengine huwa wanaficha hasa sisi wamamaHivi unawezaje kumficha mtoto?