Hii niya muhimu sana8. Kama ulishawahi kuwa na ndoa kabla/ ulishazaa
Tatizo sio kutunza Siri. Shida ipo how soon to disclose those info, unaweza kumpata mtunza Siri mizuri Ila akaamua tu kukukomoa.Ninadhani hatua muhimu katika dating ni kupima uwezo wa mwenzako kutunza siri. Ukishajua si mtu za Siri lakini moyo umempenda ya kwako yahifadhi.