Siri saba (7) ambazo ni lazima umfahamishe mwenza wako

Siri saba (7) ambazo ni lazima umfahamishe mwenza wako

Kuna mambo wanaumri hatuwezi kishore na wenzao na watada hibyohivyo
 
Wengine huwa wanaficha hasa sisi wamama
Mtoto atakuchukia maisha yake yote. Hivi unawezaje kumkana uliyemleta duniani kwasababu ya aliyeketwa duniani na mwanamke mwingine?
 
Mtoto atakuchukia maisha yake yote. Hivi unawezaje kumkana uliyemleta duniani kwasababu ya aliyeketwa duniani na mwanamke mwingine?
Sasa mtoto si mpaka ajue kuwa anafichwa? Amezaliwa anapata ufahamu anajikuta yuko kwa bibi baadae kwa baba, anajua ni makubaliano tu ya wazazi kumbe kuna kingine
 
Ninadhani hatua muhimu katika dating ni kupima uwezo wa mwenzako kutunza siri. Ukishajua si mtu za Siri lakini moyo umempenda ya kwako yahifadhi.
Hakuna mwanamke anaeweza tunza siri ya mwanaume wake
 
Wanawake sio watunzaji wazuri wa siri, ukiamua kumshirikisha weka hilo akilini. Na mara nyingi siri zako zinaweza kutumika dhidi yako pale atakapokuwa emotional.
 
Mi nakataa tena namba mbili hiyo haipo kabisa labda malaika huko mbinguni......
 
Back
Top Bottom