Yaani mimi na Akili na Utashi nilionao nikakae nimwambie Mwanamke mambo yangu ya Gizani!? Hayo nitakufa nayo mwenyewe, swala la pesa nitamwambia kwa kiasi chake, asiporidhika, achape lapa
Siri zangu nzito na chafu siwezi mwambia kwa ustawi wa penzi letu, kuhusu kipato ni atajua si zaidi ya 60%... Vinginevyo akijua his siri itakuwa habari ya kusisimua😂😂
Expire time ya mwanamke kutunza siri ni masaa 3, ngumu sana kunishawishi nijianike wazi kwa kila linalotakiw kubaki kwenye Moyo wangu kwa kiumbe kama hichi
Tatizo sio kutunza Siri. Shida ipo how soon to disclose those info, unaweza kumpata mtunza Siri mizuri Ila akaamua tu kukukomoa.
14 years of marriage, nimeshauza Siri kadhaa zangu kwa mwenza wangu , nyingine bado napima upepo na Kuna baadhi nahisi nitakufa nazo