Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 555
- 661
Tuangalie upande mmoja wa gharama;
Kutokana na ripoti ya 'Central corridor Transport observatory' wastani wa gharama ya usafirishaji mizigo ni $ 1.90 kwa km 1 kutoka Dsm hadi Kigali kulinganisha na $ 2.10 kwa km 1kutoka Mombasa hadi Kigali
Gharama ya Dsm kwenda Bunjumbura ni $ 1.80 kwa km 1 kulinganisha na $ 3.10 kwa km kutoka Mombasa
Usafirishaji huu wa mizigo kutoka Dsm kwenda Uganda ni $ 1.80 kwa km kulinganisha na $ 1.90 kutoka Mombasa. Kwenda Goma Drc ni $ 2.60 kwa km kulinganisha na $ 3 kutoka Mombasa
Data kwenye ripoti hii zinaonesha kupungua kwa gharama upande wa Tanzania kumesababishwa na uboreshaji wa reli ya kati Dsm to Mwanza & Dsm to Kigoma.
Hii ilipelekea Kenya kuanza kurekebisha miundombinu ya reli inayotoka Nakuru to Kisumu kwa gharama ya Ksh 3.8 billion mradi unaotarajiwa kuchukua miez 8 hadi 12 kumalizika(according to Kenya Railway managing director, Philip). Mkandarasi anatakiwa kuwa on-site tar. 1 August.
Kwa hili inabidi Tz kufikiri mapema kabla ya mradi huu kuisha ili kuendelea kuvutia importers kwa gharama himilivu.
Pia Ninapata sababu kuwa ndio maana Kenya na Tz kila siku ugomvi, huku Kenya akikariri uonevu iliozoea miaka ya nyuma. Bila kujua a 'sleeping giant' is now awake.....