Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 561
- 997
Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man).
Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake.
Je nifanye nini hili roho wa bwana(holy spirit) ndani yangu aweze kuniongoza
Samweli 16:13
Roho wa Bwana akamjia Daudi kwa nguvu tangu siku ile na kuendelea
Kwanza Mungu au roho wa bwana anakaa sehemu ambayo haina dhambi au uovu.
Ili uweze kutembea na roho wa bwana nilazima baadhi ya tabia inabidi uachane nazo katika maisha yako , Tabia hizo ni kama
-kuishi kwa kinyongo(visasi), non forgiviness
-kutokuwa na upendo
-chuki
-hila kwa ndugu, jamaa na marafiki
-zinaa(ngono)
-kuto mtafuta Mungu(God)
-Ego(hofu, stress, validation)
Hizo ni baadhi ya tabia zinaweza kuweka mbali na roho wa bwana(holy spirit)
Je naweza kuacha hizo tabia, ndio unaweza kuacha kwa ku surrender(kujisalimisha kwa Mungu), Mungu(God)atakupa strength ambayo hizo tabia utashinda na utaishi maisha yenye amani na mafanikio.
Kitu cha kuanza anza kumtafuta Mungu kupitia kusoma Bibilia, Kuomba na kuacha kufutilia mambo yanayokusababisha kufanya hizo tabia, futilia makala za Mungu na utapo surrender kwa Mungu basi vitu hivyo utavishinda.
Surrender kwa maana yake ni kuamini Mungu ndiye anaweza kukupa nguvu pale ambapo nguvu zako aziwezi kushinda hizo tabia zako.
Faida ya roho wa bwana(holy spirit) ndani yako
-Maisha yako yanaanza kuwa na maana(peace, no stress, hofu kuondoka)
Wagalatia 5:22–23
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu…
-kuwa na hekima(wisdom) kwenye maamuzi yako.
-mafanikio yako ayachoshi roho yako
-ulinzi wa kiroho
-kukusaidia kukwepa hatari mfano ajali , hii kama ushawai sikia mtu roho yake inasita kupanda gari fulani na baadae anasikia lile gari ambalo akupanda limepata ajali, Hapo ni roho wa bwana ndio imemsaidia kukwepa hatari
-favor kwenye shughuri zako , kazi, biashara
-pia watoto roho wa bwani ndio anaowasaidia kwenye hatari mbalimbali
-anakupa nguvu kwenye changamoto
Waamuzi 6:34 (Gideoni)
“Roho wa Bwana akamvika Gideoni…”
Note: ayo ni baadhi ya mambo unayapata ukitembea na roho wa bwana
, , meshatz