Siri ya kuactivate roho wa bwana(holy spirit) na kufanikiwa katika Maisha yako

Siri ya kuactivate roho wa bwana(holy spirit) na kufanikiwa katika Maisha yako

Kama ndio hivyo badili kichwa andika ROHO YA MWANADAMU na sio ROHO WA MUNGU. Maana kila Mwanadamu ana Roho yake ingawa sio kila ndani ya Roho ya Mwanadamu kuna Roho wa Mungu. Tofautisha Kati ya Roho ya Mwanadamu na Roho wa Mungu
Hakuna KITU kinaitea ROHO WA MUNGU WALA ROHO WA BWANA ebu nipe kifungu labda ipo nisiwe pinga pinga
 
Hivi roho huwa ni kitu gani ndani ya mwili wa binadamu?
Ni uwepo(existence) wa Mwanadamu husika katika namna isiyoonekana kwa macho ya damu na nyama.

Roho iliyo ndani ya Mwanadamu ndiyo inayoshikilia UHAI wake. Roho ndiyo injini,Mwili ni kama bodi tu.
 
Ni uwepo(existence) wa Mwanadamu husika katika namna isiyoonekana kwa macho ya damu na nyama.

Roho iliyo ndani ya Mwanadamu ndiyo inayoshikilia UHAI wake. Roho ndiyo injini,Mwili ni kama bodi tu.
Kwa wanyama ,mimea , fungus na nk vyenye uhai vyenyewe havina hiyo roho?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
-kuishi kwa kinyongo(visasi), non forgiviness
-kutokuwa na upendo
-chuki
-hila kwa ndugu, jamaa na marafiki
-zinaa(ngono)
-kuto mtafuta Mungu(God)
-Ego(hofu, stress
Mnachukulia powa sana suala la kula mzigo.
 
Roho wa Bwana (Holly spirit)
Yupo kwa wale waliomkiri Yesu kua ni Bwana tu nje ya hapo hauwezi kua activate spiritual Enlightment maana the master of Spiritual Realm ni Yashua Hamashiach pekee yake na ndio maana tha way Mkristo yeyote anavyoomba ile divine power hua inakua ya tofauti sana unakua na amani tofauti na kina Ayatolla kwao divine power hawana na ndio maana kwao kua attach Enlightment inakua ngumu wanaenda physical sana that's why wanatumia nguvu nyingi sana kwa ku connect na hawana matokeo yoyote kiroho!
Asante kwa maoni yako ndugu , Mungu anatupenda sana, Roho wa Mungu amewatumia sana Mitume wake kama mfano Musa , daud before ata bwana yesu ajaa duniani, usi ishi kwa kufuata dini, Ishi kwa kufuata Mungu anachosema, Hapo roho wa bwana atakusaidia, Mungu ana dini anatupenda watu wote.

Soma kifungu hichi cha bibilia
Samweli 16:13

Roho wa Bwana akamjia Daudi kwa nguvu tangu siku ile na kuendelea
 
Ni viwango vya vibration TU vinatofautiana kutokana na mizigo uliobeba kama imekuelemea au lah!!

Maisha Yana Menhi sana,lakin huwezi kwenda nje ya script ulioandikiwa kucheza na aliekuumba hata ujifanyaje itakua hivyo hivyo!!
Ni kweli kuna watu wanapitia changamoto zilizotokana na vizazi vilivyopita, njia ya kutoka ni ku surrender kwa Mungu, atakupa nguvu ya kushinda

Matendo ya Mitume 1:8

“Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu…”
 

Nami Siku HOLY SPIRIT Akinajalia,,Nitakuja Na Simulizi Tamu Ya HOLY SKANKA....​
 

Nami Siku HOLY SPIRIT Akinajalia,,Nitakuja Na Simulizi Tamu Ya HOLY SKANKA....​
Anza kuishi kwa kufuata njia za Mungu , kusoma bibilia, kuomba, Mengine Mungu mwenyewe atakuongoza na kuishi maisha ya amani na yasiyokuwa na hofu
 
Anza kuishi kwa kufuata njia za Mungu , kusoma bibilia, kuomba, Mengine Mungu mwenyewe atakuongoza na kuishi maisha ya amani na yasiyokuwa na hofu
(1)Kwani Una Uhakika Gani Siishi Kwa Kufuata Njia Za Mungu...??Njia Za Mungu Ni Zipi Hizo..??
(2)Kwani Una Uhakika Gani Sisomi Biblia..??Na Wasio Jua Kusoma Je..??
(3)Kwani Una Uhakika Gani Siombi...??Shida Sio Kuomba,,Je Unaombaje..?Na Si Kila Uombalo Lazima Upatiwe...Kama Kuomba Ni Rahisi Sihitaji Kumuomba Mungu..Naomba Nikuombe Wewe,Kama Hutojali Lakini,,,Kabla Ya Huyo Mungu,,Ili Utimize Mapenzi Yake Ewe Mtumishi Mwenzangu.....
(4) Mengine Kama Yapi Baba Muumba Ataniongoza Mwenyewe..??Na Pia Kwani Kuna MAISHA Ya Amani Yenye Hofu...??
 
Muhimu MNO.

Anakusaidia kuepuka mabaya na kusogelea mazuri, anakuwezesha kuwa ndani ya mipango ya mwenye enzi Mungu (ambayo kwa kuijua utajua kusudi lako kisha kuliishi na hivyo kuwa fulfilled).
 
Muhimu MNO.

Anakusaidia kuepuka mabaya na kusogelea mazuri, anakuwezesha kuwa ndani ya mipango ya mwenye enzi Mungu (ambayo kwa kuijua utajua kusudi lako kisha kuliishi na hivyo kuwa fulfilled).
Amen, Mungu akubariki
 
Asante kwa maoni yako ndugu , Mungu anatupenda sana, Roho wa Mungu amewatumia sana Mitume wake kama mfano Musa , daud before ata bwana yesu ajaa duniani, usi ishi kwa kufuata dini, Ishi kwa kufuata Mungu anachosema, Hapo roho wa bwana atakusaidia, Mungu ana dini anatupenda watu wote.

Soma kifungu hichi cha bibilia
Samweli 16:13

Roho wa Bwana akamjia Daudi kwa nguvu tangu siku ile na kuendelea
Kwa mitume kwenye agano la kale Roho wa Bwana alikaa juu yao yaani alikua kama mafuta ambayo yalikua yanaweza kuisha pia ndio maana walihitaji kila wakati wa Mission ndio anashuka juu yao juu ya hilo wanaloenda kulifanya,
Ila alipokuja Yashua Hamashiach yeye ndie Roho alikua ndani yake so
Baada ya Yesu Kristo wote wamuaminio wanapokea Roho Mtakatifu ndani yao kwa Kubatizwa na kujazwa Roho ndio maana Yesu aliwaambia Ufalme wa Mungu upo ndani yenu tubuni na kuiamini Injili!
 
Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man).

Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake.

Je nifanye nini hili roho wa bwana(holy spirit) ndani yangu aweze kuniongoza

Samweli 16:13
Roho wa Bwana akamjia Daudi kwa nguvu tangu siku ile na kuendelea

Kwanza Mungu au roho wa bwana anakaa sehemu ambayo haina dhambi au uovu.

Ili uweze kutembea na roho wa bwana nilazima baadhi ya tabia inabidi uachane nazo katika maisha yako , Tabia hizo ni kama

-kuishi kwa kinyongo(visasi), non forgiviness
-kutokuwa na upendo
-chuki
-hila kwa ndugu, jamaa na marafiki
-zinaa(ngono)
-kuto mtafuta Mungu(God)
-Ego(hofu, stress, validation)

Hizo ni baadhi ya tabia zinaweza kuweka mbali na roho wa bwana(holy spirit)

Je naweza kuacha hizo tabia, ndio unaweza kuacha kwa ku surrender(kujisalimisha kwa Mungu), Mungu(God)atakupa strength ambayo hizo tabia utashinda na utaishi maisha yenye amani na mafanikio.

Kitu cha kuanza anza kumtafuta Mungu kupitia kusoma Bibilia, Kuomba na kuacha kufutilia mambo yanayokusababisha kufanya hizo tabia, futilia makala za Mungu na utapo surrender kwa Mungu basi vitu hivyo utavishinda.

Surrender kwa maana yake ni kuamini Mungu ndiye anaweza kukupa nguvu pale ambapo nguvu zako aziwezi kushinda hizo tabia zako.


Faida ya roho wa bwana(holy spirit) ndani yako


-Maisha yako yanaanza kuwa na maana(peace, no stress, hofu kuondoka)

Wagalatia 5:22–23

Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu…


-kuwa na hekima(wisdom) kwenye maamuzi yako.
-mafanikio yako ayachoshi roho yako
-ulinzi wa kiroho
-kukusaidia kukwepa hatari mfano ajali , hii kama ushawai sikia mtu roho yake inasita kupanda gari fulani na baadae anasikia lile gari ambalo akupanda limepata ajali, Hapo ni roho wa bwana ndio imemsaidia kukwepa hatari
-favor kwenye shughuri zako , kazi, biashara
-pia watoto roho wa bwani ndio anaowasaidia kwenye hatari mbalimbali

-anakupa nguvu kwenye changamoto

Waamuzi 6:34 (Gideoni)

“Roho wa Bwana akamvika Gideoni…”



Note: ayo ni baadhi ya mambo unayapata ukitembea na roho wa bwana

, , meshatz
kuwa na hekima(wisdom) kwenye maamuzi yako.
upendo na mwanga vikuongeze nmejifunza hiki na naendelea kukitumia katika maisha yangu
 
Back
Top Bottom