Si kweli kwamba kila Mwanadamu ana Roho wa Mungu ndani yake. Wenye Roho wa Mungu ndani yao ni wale walio ndani ya Kristo Yesu tu. Na hawa ndio watu wanaomwabudu Mungu katika Roho na KweliRoho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man).
Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake.
Je nifanye nini hili roho wa bwana(holy spirit) ndani yangu aweze kuniongoza
Samweli 16:13
Roho wa Bwana akamjia Daudi kwa nguvu tangu siku ile na kuendelea
Kwanza Mungu au roho wa bwana anakaa sehemu ambayo haina dhambi au uovu.
Ili uweze kutembea na roho wa bwana nilazima baadhi ya tabia inabidi uachane nazo katika maisha yako , Tabia hizo ni kama
-kuishi kwa kinyongo(visasi), non forgiviness
-kutokuwa na upendo
-chuki
-hila kwa ndugu, jamaa na marafiki
-zinaa(ngono)
-kuto mtafuta Mungu(God)
-Ego(hofu, stress, validation)
Hizo ni baadhi ya tabia zinaweza kuweka mbali na roho wa bwana(holy spirit)
Je naweza kuacha hizo tabia, ndio unaweza kuacha kwa ku surrender(kujisalimisha kwa Mungu), Mungu(God)atakupa strength ambayo hizo tabia utashinda na utaishi maisha yenye amani na mafanikio.
Kitu cha kuanza anza kumtafuta Mungu kupitia kusoma Bibilia, Kuomba na kuacha kufutilia mambo yanayokusababisha kufanya hizo tabia, futilia makala za Mungu na utapo surrender kwa Mungu basi vitu hivyo utavishinda.
Surrender kwa maana yake ni kuamini Mungu ndiye anaweza kukupa nguvu pale ambapo nguvu zako aziwezi kushinda hizo tabia zako.
Faida ya roho wa bwana(holy spirit) ndani yako
-Maisha yako yanaanza kuwa na maana(peace, no stress, hofu kuondoka)
Wagalatia 5:22–23
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu…
-kuwa na hekima(wisdom) kwenye maamuzi yako.
-mafanikio yako ayachoshi roho yako
-ulinzi wa kiroho
-kukusaidia kukwepa hatari mfano ajali , hii kama ushawai sikia mtu roho yake inasita kupanda gari fulani na baadae anasikia lile gari ambalo akupanda limepata ajali, Hapo ni roho wa bwana ndio imemsaidia kukwepa hatari
-favor kwenye shughuri zako , kazi, biashara
-pia watoto roho wa bwani ndio anaowasaidia kwenye hatari mbalimbali
-anakupa nguvu kwenye changamoto
Waamuzi 6:34 (Gideoni)
“Roho wa Bwana akamvika Gideoni…”
Note: ayo ni baadhi ya mambo unayapata ukitembea na roho wa bwana
, , meshatz
Bora umwambie , wenye hizo mambo ni nyie walokole tu na sio kila mtu anataka kuwa nazoSi kweli kwamba kila Mwanadamu ana Roho wa Mungu ndani yake. Wenye Roho wa Mungu ndani yao ni wale walio ndani ya Kristo Yesu tu. Na hawa ndio watu wanaomwabudu Mungu katika Roho na Kweli
Soma WARUMI 8:9
Upo sahihi. Haya ni mambo ya hiari.Bora umwambie , wenye hizo mambo ni nyie walokole tu na sio kila mtu anataka kuwa nazo
Hivi jukwaa la dini lilienda wapi?
Umejuaje kila binadamu ana roho wa huyo bwana ako ? Mimi sina sasa
Najua wewe unaelezea kulingana na ufahamu wa kidini zaidi, Mimi natoa ufahamu wa spirtuality, ufahamu wa spirituality(kiroho), unakufunulia vitu vingi nje ya dini zinavyoelezaSi kweli kwamba kila Mwanadamu ana Roho wa Mungu ndani yake. Wenye Roho wa Mungu ndani yao ni wale walio ndani ya Kristo Yesu tu. Na hawa ndio watu wanaomwabudu Mungu katika Roho na Kweli
Soma WARUMI 8:9
Jibu swaliMimi siongelei dini, namuelezea Mungu, ambaye alikuepo ata kabla ya dini kuanzishwa na Mwanadamu.
🚮🚮Najua wewe unaelezea kulingana na ufahamu wa kidini zaidi, Mimi natoa ufahamu wa spirtuality, ufahamu wa spirituality(kiroho), unakufunulia vitu vingi nje ya dini zinavyoeleza
NakaziaSi kweli kwamba kila Mwanadamu ana Roho wa Mungu ndani yake. Wenye Roho wa Mungu ndani yao ni wale walio ndani ya Kristo Yesu tu. Na hawa ndio watu wanaomwabudu Mungu katika Roho na Kweli
Soma WARUMI 8:9
Hakuna haja ya kubishana na WATU Kila mara unapokuwa na uamizibgulani usipende KUWA mkorofi Kwa Kila kitu .Hivi jukwaa la dini lilienda wapi?
Umejuaje kila binadamu ana roho wa huyo bwana ako ? Mimi sina sasa
Roho wa Bwana (Holly spirit)Najua wewe unaelezea kulingana na ufahamu wa kidini zaidi, Mimi natoa ufahamu wa spirtuality, ufahamu wa spirituality(kiroho), unakufunulia vitu vingi nje ya dini zinavyoeleza
Nimepokea ushauri , ila usinipangie cha kufanya , hili nijukwaa huru hapa sio kanisani.🙏Hakuna haja ya kubishana na WATU Kila mara unapokuwa na uamizibgulani usipende KUWA mkorofi Kwa Kila kitu .
Waavhe wenye mambo ya dini na Imani waendelee mambo yao wewe njoo Kwa juma muuza bia
Sawa komaaNimepokea ushauri , ila usinipangie cha kufanya , hili nijukwaa huru hapa sio kanisani.🙏
Tuliza wenge sasaSawa komaa
Kama ndio hivyo badili kichwa andika ROHO YA MWANADAMU na sio ROHO WA MUNGU. Maana kila Mwanadamu ana Roho yake ingawa sio kila ndani ya Roho ya Mwanadamu kuna Roho wa Mungu. Tofautisha Kati ya Roho ya Mwanadamu na Roho wa MunguNajua wewe unaelezea kulingana na ufahamu wa kidini zaidi, Mimi natoa ufahamu wa spirtuality, ufahamu wa spirituality(kiroho), unakufunulia vitu vingi nje ya dini zinavyoeleza
Hivi roho huwa ni kitu gani ndani ya mwili wa binadamu?Kama ndio hivyo badili kichwa andika ROHO YA MWANADAMU na sio ROHO WA MUNGU. Maana kila Mwanadamu ana Roho yake ingawa sio kila ndani ya Roho ya Mwanadamu kuna Roho wa Mungu. Tofautisha Kati ya Roho ya Mwanadamu na Roho wa Mungu