Siri ya kuishi maisha marefu

Siri ya kuishi maisha marefu

huku kwetu afrika tusiongee habari ya kula kidogo sababu huku hatuli kikamilifu na watu wengi wana utapiamlo. badala yake watu wale sana tena matunda mbogamboga na protini kwa wingi. suala la kufanya mapenzi nakubaliana kabisa linasaidia kiafya lkn uwe umeoa au kuolewa au mpenzi unaemwamina
 
kwenye ulaji wa nyama nyekundu sitafaidi maana huku kwetu samaki Au kuku bei kubwa Kama vile unanunua tenga zima la kuku Au samaki.

nitajitahidi hata maharage na mchicha nyama nyeupe Nitasubiri mwaka mpya Au pasaka na Xmas. Angalau niishi Kama ya Mandela.
 
Tunaomba reference hata website ili tuweze ku prove.. Maana shangazi yangu alikatazwa kunywa chai kwa sababu ya matatizo ya tumbo.
 
Angalau nafanya ngono walau mara 2 kwa wiki, mengine hayo ngoja nijipange. Asante sana, useful info
 
MWAKA HUU NA MIMI NAFANYA TAFITI YA KUTAFITI TAFITI.
Nimegundua tafiti zimekuwa nyingi na nyingi zinapingana hivyo kuna umuhimu wa kuzitafiti
 
MWAKA HUU NA MIMI NAFANYA TAFITI YA KUTAFITI TAFITI.
Nimegundua tafiti zimekuwa nyingi na nyingi zinapingana hivyo kuna umuhimu wa kuzitafiti
Ndio inavyotakiwa kwani hata nadharia za kina Aristotle zilifanyiwa kazi mwisho wa siku vikatoka vitu ambavyo ni comprehensive, ila ukimaliza KUZITAFITI HIZO TAFITI urudi JF ili na mie NIITAFITI TAFITI yako
 
Binafsi singependa kuishi zaidi ya miaka 80 zaidi ya hapo kwa hapa bongo utateseka sana na kuwa mzingo kwa wanokutunza.
 
Ili uishi miaka mingi unapaswa uzinagatie yafuatayo:-
1. Kumheshimu Mungu na kumtii pamoja na kumwabudu yeye pekee yake.
2. Waheshimu baba na mama yako.

Soma reference hii Exodus 20:1-12
 
utafiti asante kwa darasa mujarab na kulitendea haki jina lako.

Ila kwa foleni za Dar, nafikiri zinaongeza msongo wa mawazo, panachosha kwakweli ukiongezea na kero za ujenzi wa barabra unaoendelea ndio kabisaa.
 
Asante Samaritan ila inabidi tujitahidi tuepuke huo msongo wa mawazo
 
Last edited by a moderator:
Asante Samaritan ila inabidi tujitahidi tuepuke huo msongo wa mawazo
Ni kweli mkuu, nafikiri njia mojawapo ni kukubaliana na hali halisi na kutafuta njia nyingine ya kufanya kutafuta ufumbuzi wa tatizo badala ya kuendelea kuumia na kitu usichoweza kukibadilisha.

Ila kwa suala la foleni, mie siku hizi Dar mgeni.
 
Usichukulie foleni kua ni tatizo kwako, fanya ni kitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom