Unakataa??? wewe umefanya Utafiti? hii ni sawa na kuupa ule msemo wa Miafrika ndiyo tulivyo....Utafiti mzuri ila kuhusu chai hilo siyo kweli.
nyingi sanamara 2 kwa wiki ndogo au nyingi....?
mh...unajua klm...? basi ndio tunapiga hivyo....nyingi sana
Au wali njegereMhh jaman kweli utafit mzuri lkn wali na maharagwe Ile kdg ucshibe ahha hiyo ngumu
Ndio inavyotakiwa kwani hata nadharia za kina Aristotle zilifanyiwa kazi mwisho wa siku vikatoka vitu ambavyo ni comprehensive, ila ukimaliza KUZITAFITI HIZO TAFITI urudi JF ili na mie NIITAFITI TAFITI yakoMWAKA HUU NA MIMI NAFANYA TAFITI YA KUTAFITI TAFITI.
Nimegundua tafiti zimekuwa nyingi na nyingi zinapingana hivyo kuna umuhimu wa kuzitafiti
Hata ukiogopa mambo yajayo wakati hujafikisha huo umri unapunguza siku za kuishi (utafiti mwingine huu)Binafsi singependa kuishi zaidi ya miaka 80 zaidi ya hapo kwa hapa bongo utateseka sana na kuwa mzingo kwa wanokutunza.
Hata ukiogopa mambo yajayo wakati hujafikisha huo umri unapunguza siku za kuishi (utafiti mwingine huu)
Ni kweli mkuu, nafikiri njia mojawapo ni kukubaliana na hali halisi na kutafuta njia nyingine ya kufanya kutafuta ufumbuzi wa tatizo badala ya kuendelea kuumia na kitu usichoweza kukibadilisha.Asante Samaritan ila inabidi tujitahidi tuepuke huo msongo wa mawazo
Ni kweli mkuu, nafikiri njia mojawapo ni kukubaliana na hali halisi na kutafuta njia nyingine ya kufanya kutafuta ufumbuzi wa tatizo badala ya kuendelea kuumia na kitu usichoweza kukibadilisha.
Ila kwa suala la foleni, mie siku hizi Dar mgeni.