Siri ya kuishi maisha marefu

Siri ya kuishi maisha marefu

Ni mpenzi mkubwa wa chai hasa green tea!love fruits and sleeping longer...i pray to god inshallah to live longer!
 
Yote naweza kuyaIngatia... Ila la kufanya mapenzi mara mbili kwa wiki mbona ni gumu kwangu????
 
hapo kwenye kufanya mapendo hapo je kama hauna mwenza????au mpo mbalimbali siku mkikutana na kufidia je ni sawa,na hapo kwenye vyakula ingekuwa ni vyema kama wataalamu wangesema kiasi na age au group kwa mfano watoto wanatakiwa wale kiasi gani,wajawazito lakin pia hata wanandoa wachanga,ila pia je kufanya mapenzi sana kunapunguza siku za kuish??
 
Nice article, je kama natumia kahawa Mara kwa mara inakuwaje? Nipeni elimu.
 
Back
Top Bottom