Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Usijali... R' simsogelei tena! lol... Hata mimi sasa namuogopa.... hahaha:scared:

AshaDii taa ikiwaka mwanga wake huwezi kufunika kwa karatasi bado itaendelea kutoa mwanga tuu
Palipo na upendo hata uweke uchafu wa aina gani love will always shine
So hata Konnie akimwaga ***** bado mwanga wa upendo utaendelea kuwepo tuu na kuonekana
 
THANK God umetaja upendo na shemeji yangu ataelewa kabisa. Mimi upendo juu yako sana tu ila Mapenzi yako kwa Mupenzi.... lol
 
Najua ndo maana naweka ulinzi shirikishi...... incase mtu haipendi dental formula yake, na do the needful

Usiwe na wasi kabisa shem.... roho bado yadundia kwake..... Hivo huna haja kabisaaa ya kulinda.
 
THANK God umetaja upendo na shemeji yangu ataelewa kabisa. Mimi upendo juu yako sana tu ila Mapenzi yako kwa Mupenzi.... lol

Hahahah Nimetegeka aise hapo sina ujanja
Ila no matter what love is there and will remain there for real.
 
Hapo hata mimi kwa kweli nimefurahi... ngoja niserebuke kwanza..:violin:

Hao wana mapenzi ya dhati hadi wamevaa viatu sare kwenye sherehe! Wamenigusa.... Wapo old and together...
 
Hahahah Nimetegeka aise hapo sina ujanja
Ila no matter what love is there and will remain there for real.

Uzuri wa lugha yetu ya Kiswahili ni tajiri saana. Kiingereza upendo na Mapenzi yote ni Love. hahaha.... Sijakutega!!
 
Hao wana mapenzi ya dhati hadi wamevaa viatu sare kwenye sherehe! Wamenigusa.... Wapo old and together...
Sasa huyo ndo ODM na mama Matesha wakishangilia mavuno mazuri ya matango na matikiti maji kule Mabwepande.
 
Uzuri wa lugha yetu ya Kiswahili ni tajiri saana. Kiingereza upendo na Mapenzi yote ni Love. hahaha.... Sijakutega!!

True aise kwa kiswahili lina maana moja
Nishategeka na kurudi nyuma sitaweza tena
Ila nakubaliana na uhalisia
 
Nikupe hela kwa lipi?

Mtu mwenyewe hadi ufungwe P.O.P ndo unasimama, ushindwe!
Labda alikuwa Eliza wa Tegeta.

Hahahaaaa Kongosho umenikumbusha Eliza wa Tegeta, wapi yeye?
Bishanga hebu tuambie ukweli unasifiwa ama unajisifia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…