Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Hata kama haisimami,, ukitoa hela tu ya maana utagombaniwa hata na wake za watu.

Embu we uwe unawaomba hela baada ya gemu uone kama utapendwa.
 
Eliza wa T yuko katika wiki ya 37,muda wowote mtasikia ng'ee ng'eee....usicheze na Bishanga,huwa ninapiga panga moja tu mbuyu chini.

Hahahaaa....we mkariiii,bado unaongeza tu mzee mwenzangu?
 
Bishanga! utendaji wako wa kazi ukiwa kwenye sita kwa sita ndio umekupa bigup but na change nayo inamatter kwa wasichana wa kizazi hiki ila angalia ile kitu inamaliza nguvu usije pata utapiamlo bureeeeeeeeeee....
 
Eliza wa T yuko katika wiki ya 37,muda wowote mtasikia ng'ee ng'eee....usicheze na Bishanga,huwa ninapiga panga moja tu mbuyu chini.

Bishanga ila uwe makini si kote utapita tuu kuwe salama...sijui kama ulisikia ile story ya kule kenya jamaa kamparamia mke wa mtu kumbe kuna mtego kitu kikangangania peleka hospitali wapi so usijisifie sana...tukaja sikia machungu hapa...
 
Naona tufungue darasa la tuition jf tufundwe Namna bora ya kuwa handle kinamama.

I'm in.

usjali mtafundwa sana tu ukifungua hilo darasa.
Majibu kama ya arabianfalcon mshindwe wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…