Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
unataka kunifunda nini?
Naona tufungue darasa la tuition jf tufundwe Namna bora ya kuwa handle kinamama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tufungue darasa la tuition jf tufundwe Namna bora ya kuwa handle kinamama.
umeona eh? mi na konnie tushamwambia lakini hasikii!
najiandaa kugombea arumeru iwapo hatapatikana mshindi!
haya ni mazoezi ati.
Eliza wa T yuko katika wiki ya 37,muda wowote mtasikia ng'ee ng'eee....usicheze na Bishanga,huwa ninapiga panga moja tu mbuyu chini.
Husband kulikonii tena mambo ya avatar??? Mimi hii siitakiii
Kwakeli mahabuba arudishe tu avatar yake maana hii imekaa ki......:shut-mouth:
Hata kama haisimami,, ukitoa hela tu ya maana utagombaniwa hata na wake za watu.
Embu we uwe unawaomba hela baada ya gemu uone kama utapendwa.
Eliza wa T yuko katika wiki ya 37,muda wowote mtasikia ng'ee ng'eee....usicheze na Bishanga,huwa ninapiga panga moja tu mbuyu chini.
Imekaaje my dear
Duh mmenisema ngoja niitoe aise
I love you too darling:smile: umenifurahisha sana, nikutayarishie nini leo?
wallet yako ina rangi gani na uzito gani?
mmmmmmmhhhhhh????????
Naona tufungue darasa la tuition jf tufundwe Namna bora ya kuwa handle kinamama.