Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Unaweza ukaingia Kanisani ukawaona waumini karibu wote wapo vizuri kiuchumi na ukafikiri hali hiyo haijaandaliwa "ni miujiza"ila kiuhalisia ni mchakato kabambe uliusukwa na kusukika na ukajengewa mazingira ya kuwa endelevu.
Kinachofanyika ni Mchungaji kuandaa mtandao wa kuwainua watu wake kiuchumi kwa kuwapatia watu kadhaa aliowafanyia scrutiny mitaji kama "mbegu"ambapo wanufaika huandaliwa mazingira mazuri pamoja na wateja "washirikwa hujengwa kuhakikisha wanawaunga mkono wanufaika hao kwa namna tofauti tofauti kwa kujua au kutokujua".
Baada ya mkakati huo kupangwa vizuri na kuingia katika utekelezaji wanufaika huandaliwa katika mazingira ya kuhakikisha wanawainua wengine kama wao walivyoinuliwa kiuchumi "hapa unakuwa na succession na mgawanyo unaonagalia zaidi kukua kwa wengi na siyo walewale.
Usishangae ukakuta nje ya Kanisa kuna parking kubwa ya magari ya waumini ambao ukiangalia kwa ndani ni zaidi ya waumini yaani ni watu wanaoishi kama "capital acumen".
Kanisa ni social capital kubwa sana kwa wanaoelewa kucheza na mfumo ni mara chache sana wanakosea shabana wanapotagia konaganaga kwenye mfumo.
Suala la msingi ni kuelewa mfumo na siyo kucheza na mfumo,ukicheza na mfumo utaishia kwenye majungu na maneno ya umbea oooh wananitumia... huku na wewe unatamani kuwa kama wao.
Mfumo haujawahi kuwaachia vibaya wanaoujua,wanaanza nao na wanakufa nao. Suala la msingi narudia tena ni "kuelewa mfumo "
Umasikini ni dhambi kama zilivyo dhambi nyingine.