Siri ya mafanikio

Siri ya mafanikio

OGOPASANA

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2009
Posts
262
Reaction score
144
Heshima kwenu GT,
Nina shauku sana ya kujua siri za mafanikio, njia halali walizotumia, mbinu na ujuzi waliotumia watu waliofanikiwa kibiashara hapa kwetu Tanzania ili wengine tujifunze kupitia kwao na kufuata nyayo zao. Kwa yoyote anayejua zinazohusu watu aina hiyo atujuze, tafadhali.
 
Kujituma, kukubali kujifunza vitu vipya, heshima hekima na busara, kujinyima luxury pale inapobidi, kukubali ku-take risk n.k n.k...
 
Kujiamini,pre study kitu unachotaka kukifanya,hardworking,kutokuridhika
 
Use Eagle style to grab a prey!
Prey=opportunities
 
Use Eagle style to grab a prey!
Prey=opportunities
 
Back
Top Bottom