Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Nicholas, Abunuas hajaumia isipokuwa anastaajabishwa na hiki alichokujanacho Yericko. Yericko anasema tiketi ya safari ya Nyerere imetoka New York... Abunuas anajua kuwa hiyo si kweli hata kidogo. Tiketi ya safari ya New York ilichangwa na wanachaa wa TANU na moja ya taasisi iliyochanga ni Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Union of Tanganyika) na mweka hazina wake alikuwa Idd Faiz Mafongo. Huyu Idd Faiz Mafongo pia alikuwa ndiyo mwekahazina wa TANU HQ pale New Street. Fedha nyingine zilichangwa Tanga na Mwalimu Kihere na ni Idd Faiz Mafongo ndiye aliyezifata Tanga kuzileta TANU HQ Dar es Salaam. Mzee Rupia alitoa fedha nyingi pia. Haya yote nimeeleza kwenye bandiko langu #174 na kwenye kitabu cha Abdul Sykes. Rejea hapo utayaona hayo yote na hao wote niliowataja humo wana historia ndefu katika TAA, TANU na katika kuupigania uhuru wa Tanganyika. Katika bandiko langu hilo hapo juu nimeweka picha ya Nyerere akiwa na Idd Faiz Mafongo, Sheikh Mohamed Ramia, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Taratibu. Abunuas hajaumizwa na chochote. Wanaoungua nyoyo wanajulikana. Lugha zao huwa kali na wakati mwingine hutukana khasa. Historia ya TANU ni maarufu kwetu sisi watoto na hivi sasa ndiyo tunawarithisha wanetu historia hii ili watambue mchango wa babu zao katika kuikomboa Tanganyika. Yericko angekuja na historia inayoingia akilini sisi tungemsikiliza. Tatizo anataka kubandika historia hiyo yake juu ya vichwa na migongo ya wazee wetu. Hapa ndipo lilipo tatizo.
Waliambiwa mchango wao ulikuwa na asilimia ngapi?Kuna mengi unaonekana hujui sana hapa.Km walichangia pocket money km kawaida ya waafrica enzi zile za kusindikizana airport.Zile habari kuwa ukienda huko wasikuone masikini hadi leo scolarship za nje bado kulikuwa na clue za posho ya suti.Wewe utabadili kuiita tiket.Waliinunulia wapi hiyo ticket?Vijana wa dar ,kila kukicha wanapigana na wenzio mashuleni wakiulizwa maswali mepesi tuu kuhusu huko kudai uhuru wanapolilia...kwa sababua wamefundishwa na watu wa aina yako kulazimisha.Hao makuli waliokuwa wanapangwa mstari hadi leo kufuturishwa...walipata wapi hela hiyo ?
 
Taratibu zipi hizo wewe kilaza unazodhani MS alizipitia ambazo zinazidi za Yericko?Hao wazee wake aliwahoji wakiwa ktk dhiki,waiwa ktk kipindi cha mashaka ktk maisha ,kipindi cha watu kuwa wameathiriwa zaidi na waliowafuata kuliko wao walivyoweza waadhiri au kuwafunza.MS km Ayatoullah wa ACT ni rahisi sana kuabuse mapenzi ya walezi,na watu waliokupa nafsi kujifunza kwa kuanza waingizia fikra ambazo zinaweza wafanya kuwa na mashaka na historia haswa wanapoogopa usomi hewa wa majigambo km wa Ayatoullah kwa kiasi cha kukubali fikra zeo kuwa edited.Aina ya MS hata uulizaji wao wa maswali ni elekezi...nani hamjui humu.Labda misukule yake iliyomezwa na mihemko ya kidini inayowaongoza kuunganisha kila kiu na dini na kinachofuatia ni kufunika lolote wasilopenda.Yericko ana records za zilizoandikwa na si kuhadithiwa na waliokuwa akipanga agenda.

Nicholas,
Sikuwahoji wazee wakiwa katika dhiki.
Hebu soma hapa nimeandika nini katika utangulizi wa kitabu changu:

"This work would not have been possible if it were not for the moral and material assistance I received from Ally Sykes. Ally Sykes allowed me to interview him on many occasions in spite of his busy schedules managing his business from his city center office. He allowed me to consult his own private files, personal letters, diaries and other family records. These records were kept in a safe which I was informed remained untouched for over 30 years."

Sasa soma twende Tanga.
Nimekwenda Tanga kuzungumza na Mohamed Kajembe.

Nimemkuta Mzee Kajembe ana duka zuri la vyakula na alinikaribisha ndani
dukani na akafungua fridge kubwa lililojaa vinywaji akanikaribisha.

Soma hapo chini nilivyomwandika Mzee Kajembe:

The group of small traders at Ngamiani Market called a meeting at Tangamano Hall on 5 th September, 1955. Attending the meeting was Hamis Heri, Peter Mhando, Mohamed Kajembe, [1] Tuwa Abdallah, Dhili Mgunya, Abdallah Rashid Sembe, Victor Mkello, [2] Mohamed Sadik, Hassan, Peter Ramadhani Jembe and Ali Mohamed. Peter Ramadhani was already a TANU member in Arusha and was invited to the meeting in order for the pioneers to gain from his experience.

Nicholas,
Punguza ghadhabu na lugha zisizopendeza hapana sababu ya kutukanana.
Huu ni mnakasha tu.

Tunapambanisha hoja.
Hukubaliani nami unasema hivyo na tunaendelea na mjadala.

Hapa tuko kuelimishana hatuko hapa kuonyeshana nani bingwa.

Nimejizuia sana kumweleza babu yangu Salum Abdallah ila nitasema kitu kimoja.
Hakufa masikini.

Kafa ana bibi zangu watatu na kila mmoja anaishi kwenye nyumba yake alojenga babu
yangu.

Babu yangu ni moja ya chanzo kikubwa kwa mimi kuijua historia ya kuuondoa ukoloni
Tanganyika kati ya 1947 - 1961.

Babu yangu kafa 1974.

[1]Kajembe is in possession of a 1955 note-book written in pencil in which he had recorded dates of the meetings and names of TANU founding members. He died in Tanga in June, 1996, and his death was not reported in any media.

[2] Mkello came to be a popular trade unionist leading the powerful union - Tanganyika Plantation Workers' Union (TPWU). In 1964 he was ostracised to Sumbawanga, a remote area in Tanganyika, as punishment for his trade union activities. For information on his tenure as a trade unionist in post independent Tanganyika, see I. G. Shivji, Law, State & the Working Class... 1986, op. cit. pp. 227-229.
 
MS huwa sotimes sipendi sana kulaumu kwani ..nafahamu Wauza unga wengi huishia kuwa mateja....mpika uongo huwa kuna poit humfikia akaaamini sehemu ya uongo wake na kumfikisha kuutumia kujenga uongo na ndoto zake zote.Sishangai sana km sasa hivi na umri kwenda huwa kuna shida sana ktk akini na kuanza kuwa na mashaka na vitu fulani na kujibainisha na belief systems au conspiracies ,woga na kila kitu.Sishangai ktk hotuba na kamba unazowatupia wengine wanaoonyesha hisia,zinazokugeukia,na ukiwageukia nao wanakupa story zile zile ambazo wanahisi kuwa ndizo walizozishuhudia kumbe hawakumbuki kwa vile kuna issue hawakuzitia maanani kwa vile hawakujua kuwa Nyerere angefika hapo.Kwanza makuli walikuwa watu wasio na elimu na vipaumbela tofauti sana ktk ajira na maisha.
 
Nicholas, Sikuwahoji wazee wakiwa katika dhiki. Hebu soma hapa nimeandika nini katika utangulizi wa kitabu changu: "This work would not have been possible if it were not for the moral and material assistance I received from Ally Sykes. Ally Sykes allowed me to interview him on many occasions in spite of his busy schedules managing his business from his city center office. He allowed me to consult his own private files, personal letters, diaries and other family records. These records were kept in a safe which I was informed remained untouched for over 30 years." Sasa soma twende Tanga. Nimekwenda Tanga kuzungumza na Mohamed Kajembe. Nimemkuta Mzee Kajembe ana duka zuri la vyakula na alinikaribisha ndani dukani na akafungua fridge kubwa lililojaa vinywaji akanikaribisha. Soma hapo chini nilivyomwandika Mzee Kajembe: The group of small traders at Ngamiani Market called a meeting at Tangamano Hall on 5 th September, 1955. Attending the meeting was Hamis Heri, Peter Mhando, Mohamed Kajembe, [1] Tuwa Abdallah, Dhili Mgunya, Abdallah Rashid Sembe, Victor Mkello, [2] Mohamed Sadik, Hassan, Peter Ramadhani Jembe and Ali Mohamed. Peter Ramadhani was already a TANU member in Arusha and was invited to the meeting in order for the pioneers to gain from his experience. Nicholas, Punguza ghadhabu na lugha zisizopendeza hapana sababu ya kutukanana. Huu ni mnakasha tu. Tunapambanisha hoja. Hukubaliani nami unasema hivyo na tunaendelea na mjadala. Hapa tuko kuelimishana hatuko hapa kuonyeshana nani bingwa. Nimejizuia sana kumweleza babu yangu Salum Abdallah ila nitasema kitu kimoja. Hakufa masikini. Kafa ana bibi zangu watatu na kila mmoja anaishi kwenye nyumba yake alojenga babu yangu. Babu yangu ni moja ya chanzo kikubwa kwa mimi kuijua historia ya kuuondoa ukoloni Tanganyika kati ya 1947 - 1961. Babu yangu kafa 1974.
[1]Kajembe is in possession of a 1955 note-book written in pencil in which he had recorded dates of the meetings and names of TANU founding members. He died in Tanga in June, 1996, and his death was not reported in any media. [2] Mkello came to be a popular trade unionist leading the powerful union - Tanganyika Plantation Workers' Union (TPWU). In 1964 he was ostracised to Sumbawanga, a remote area in Tanganyika, as punishment for his trade union activities. For information on his tenure as a trade unionist in post independent Tanganyika, see I. G. Shivji, Law, State & the Working Class... 1986, op. cit. pp. 227-229.
Utakufaje masikini wakati TANU ilipoingia walijitajirisha watu wengi wakati wanaua vitu vyote vya umma,kwa ujinga na ulafi,na wengine hadi leo wanabebwa sana kwa kisingizio hicho yeti wanaishia kuiba tuu.Upuuzi wa kujifanya victim na kusema wengine wanatukana unanitia kichefuchefu..na ikizingatiwa ni mzee mzima anaandika haya.KWa tabia hii utakufa na kurithisha watu upuuzi waendelee dai akisicho badala ya kufungua akili na kuandika real life issues,au hata ukaandike fictions ambazo hazichezi na siasa au historia za kweli za maisha ya TZ
 
Waliambiwa mchango wao ulikuwa na asilimia ngapi?Kuna mengi unaonekana hujui sana hapa.Km walichangia pocket money km kawaida ya waafrica enzi zile za kusindikizana airport.Zile habari kuwa ukienda huko wasikuone masikini hadi leo scolarship za nje bado kulikuwa na clue za posho ya suti.Wewe utabadili kuiita tiket.Waliinunulia wapi hiyo ticket?Vijana wa dar ,kila kukicha wanapigana na wenzio mashuleni wakiulizwa maswali mepesi tuu kuhusu huko kudai uhuru wanapolilia...kwa sababua wamefundishwa na watu wa aina yako kulazimisha.Hao makuli waliokuwa wanapangwa mstari hadi leo kufuturishwa...walipata wapi hela hiyo ?

Nicholas,
Nimekusoma.

Mie kila siku husema.
Simlazimishi mtu kuikubali historia hii.

Historia ya TANU imeandikwa na wengi: Iliffe, Barongo, Kimambo, Kandoro,
Chuo Cha Kivukoni
na kila mmoja kaandika kwa kile alichokijua.

Hawa wote hawakugombana.
Nimewasoma wote.

Baada ya kuwasoma na mimi nikaja na kitabu changu.
Sikuwakejeli, kuwabughudhi wala kuwatukana.

Nicholas,
Hakuna wa kukulazimisha kuwa babu yangu alikuwa mmoja wa wanachama wa
mwanzo wa TANU au aliunda TRAU 1955 akiwa mwenyekiti nk. nk.

Unaweza hata kusema Salum Abdallah hakupata hata kuwepo duniani na kwangu
itakuwa sawa.
 
Utakufaje masikini wakati TANU ilipoingia walijitajirisha watu wengi wakati wanaua vitu vyote vya umma,kwa ujinga na ulafi,na wengine hadi leo wanabebwa sana kwa kisingizio hicho yeti wanaishia kuiba tuu.Upuuzi wa kujifanya victim na kusema wengine wanatukana unanitia kichefuchefu..na ikizingatiwa ni mzee mzima anaandika haya.KWa tabia hii utakufa na kurithisha watu upuuzi waendelee dai akisicho badala ya kufungua akili na kuandika real life issues,au hata ukaandike fictions ambazo hazichezi na siasa au historia za kweli za maisha ya TZ

Nicholas,
Wazee wetu TANU imekuja wao tayari hali zao zilikuwa nzuri.
Kleist alitajirika baada ya Vita Kuu Vya Kwanza kumalizika 1918.

Tambaza alirithi mali kutoka kwa wazee wake waliomilika Upanga
yote toka karne ya 19.

Mshume Kiyate katajirika akiwa mfanyabiashara Soko la Kariakoo
toka miaka ya 1940.

Hawa hawakuiba cha mtu sana wao ndiyo waliotoa mali zao kupigania
uhuru wa Tanganyika.

Nicholas,
Nimeandika mengi katika hayo wewe unaita "rea life issues."

Katika ujana wangu nilitaka niwe kama Irving Wallace lakini Allah
hakunijaalia kipaji kile.

Nimeandika "paper" kadha nilizowasilisha kwenye vyuo kadhaa duniani.
Nimechapa pia na wachapaji vitabu wakubwa duniani.
 
Nicholas, Nimekusoma. Mie kila siku husema. Simlazimishi mtu kuikubali historia hii. Historia ya TANU imeandikwa na wengi: Iliffe, Barongo, Kimambo, Kandoro, Chuo Cha Kivukoni na kila mmoja kaandika kwa kile alichokijua. Hawa wote hawakugombana. Nimewasoma wote. Baada ya kuwasoma na mimi nikaja na kitabu changu. Sikuwakejeli, kuwabughudhi wala kuwatukana. Nicholas, Hakuna wa kukulazimisha kuwa babu yangu alikuwa mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU au aliunda TRAU 1955 akiwa mwenyekiti nk. nk. Unaweza hata kusema Salum Abdallah hakupata hata kuwepo duniani na kwangu itakuwa sawa.
Mwandishi gani unayetaka andika vitu huku hujui kulia ni sehmu ya watoto kulazimisha matakwa yao yafanyike..na umelia sana humu.Hembu jibu maswali yangu bhana acha jiliza na kuhamisha eti silazimshi watu nini na nini wakati unachoandika ni kutetea uhai wa uongo mtu na hadih za Ali bin Nacha.Siku zote humu ndani ukinikuta Mimi au Yericko huwa unakimbia thread yeyote.Hata nusu ya Mbio hufiki tunaanza kuburuza na kukuchapa viboko uondoke ktk upuuzi kk akina Ayatoullah wa ACT,mara matusi, mara siongei na watu wenye jazba,mara nyie hamjui,mara nimeongea na fulani....umeongea na wazee wnegine shule hawakwenda cv yao ni makuli,wengine hawajawahi kufikisha kiwango cha madini ya kutosha kabiliana na mahitaji ya ubongo wa mzee ili kusaidia boost kumbukumbu,wengine ni wadini kuliko wewe na wanaona wakianza pamba dini watafaidika na vijisent, shida tupu ndizo unazotaka leta hapa.
 
Nicholas, Wazee wetu TANU imekuja wao tayari hali zao zilikuwa nzuri. Kleist alitajirika baada ya Vita Kuu Vya Kwanza kumalizika 1918. Tambaza alirithi mali kutoka kwa wazee wake waliomilika Upanga yote toka karne ya 19. Mshume Kiyate katajirika akiwa mfanyabiashara Soko la Kariakoo toka miaka ya 1940. Hawa hawakuiba cha mtu sana wao ndiyo waliotoa mali zao kupigania uhuru wa Tanganyika. Nicholas, Nimeandika mengi katika hayo wewe unaita "rea life issues." Katika ujana wangu nilitaka niwe kama Irving Wallace lakini Allah hakunijaalia kipaji kile. Nimeandika "paper" kadha nilizowasilisha kwenye vyuo kadhaa duniani. Nimechapa pia na wachapaji vitabu wakubwa duniani.
Tusiongelee paper ulizotuma..kuna mengi sana yanaweza fanyika paper zikafika huko.Nabii hawezi jishuhudia yeye mwenyewe..Kariakoo paliuzwa nini kiasi cha watu kuwa matajiri?Sykes wana connection nyingine iliyowapa adavntage TZ... Mimisiwezi ita real life issues.....huwezi kwenda ongea na wazee waliopo desperate na wenye views km zako bila kuwa na source nyingine halfu ukakimbia kuandika uchafu kibao na sijui ulipata udhamini wa watu wa upande gani wa dunia.Ndio maana vitabu vitabu vy ahovyo vikakubaliwa viende kwa watu ila havikutiliwa maanani.Wewe na wenzio ndio mmejaza machapisho yanayomficha Mzee Mohamed Mkwawa,Kinyekitile wauza watumwa na washirika wakubwa wa waarabu,mkawafanya mashujaa wa Africa, wakati dunia kuna habari kibao kuhusu mienendo ya mkwawa,abushiri na wengine walipanza kufyumu na makubaliano waliyokuwa wakitaka ili wawapishe wasioingia dili zao waishi kwa amani,mwishowe ndio wakaanza ua wamissionary.Wamissionaryw aliomba msaada ktk serikali zao ndipo mkwawa akakutana na mabepari wenyewe akaishia jinyonga mwenyewe.Yota haya mmeayaficha ili mjenge ground za kuitukuza dini kuwa sehemu ya Mwafrica..hivi kweli kwa akili yako Timamu unaweza sema Dini yoyote ktk dini za Mungu moja ni ya asili ya mwafrica?
 
Huyu Mohamed Said anaweza chosha watu makusudi na habari za hovyo sana.Tambaza alikuwa na hela akaja banana pale makaburini..na hata ujenzi wa pale Mwinyi ndio aliupiga sana Tafu...alikuwa na mali iweje watoto wake waungeunge mambo tuu?Wanalialia tuu serikali isukume issues zao pale.?Wamekuwa wanufaikaji wakubwa wa vimakombo vya serikali kupitia watu waliokuwa na haiba na familia yao au msikiti wa nje kwao.Familia nyinine zote ziliweza maintain utajiri wao ama kupitia elimua u kumiliki nyumba na kila kitu.Huyu mzee hata km wangemfilishi nyumba kipindi kila akabaki na Moja ingekuwa nyumba yenye heshima.hakuna hivyo pale.
 
Tusiongelee paper ulizotuma..kuna mengi sana yanaweza fanyika paper zikafika huko.Nabii hawezi jishuhudia yeye mwenyewe..Kariakoo paliuzwa nini kiasi cha watu kuwa matajiri?Sykes wana connection nyingine iliyowapa adavntage TZ... Mimisiwezi ita real life issues.....huwezi kwenda ongea na wazee waliopo desperate na wenye views km zako bila kuwa na source nyingine halfu ukakimbia kuandika uchafu kibao na sijui ulipata udhamini wa watu wa upande gani wa dunia.Ndio maana vitabu vitabu vy ahovyo vikakubaliwa viende kwa watu ila havikutiliwa maanani.Wewe na wenzio ndio mmejaza machapisho yanayomficha Mzee Mohamed Mkwawa,Kinyekitile wauza watumwa na washirika wakubwa wa waarabu,mkawafanya mashujaa wa Africa, wakati dunia kuna habari kibao kuhusu mienendo ya mkwawa,abushiri na wengine walipanza kufyumu na makubaliano waliyokuwa wakitaka ili wawapishe wasioingia dili zao waishi kwa amani,mwishowe ndio wakaanza ua wamissionary.Wamissionaryw aliomba msaada ktk serikali zao ndipo mkwawa akakutana na mabepari wenyewe akaishia jinyonga mwenyewe.Yota haya mmeayaficha ili mjenge ground za kuitukuza dini kuwa sehemu ya Mwafrica..hivi kweli kwa akili yako Timamu unaweza sema Dini yoyote ktk dini za Mungu moja ni ya asili ya mwafrica?
.

Nicholas,
Unaandika huku umekasirika inakuwa kwangu tabu kuelewa kwa hakika unachosema.
Nimezungumzia "paper" na vitabu kwa kuwa umenishambulia huko.

Jitulize ghadabu zipungue kisha rejea kwenye mnakasha.
 
Huyu Mohamed Said anaweza chosha watu makusudi na habari za hovyo sana.Tambaza alikuwa na hela akaja banana pale makaburini..na hata ujenzi wa pale Mwinyi ndio aliupiga sana Tafu...alikuwa na mali iweje watoto wake waungeunge mambo tuu?Wanalialia tuu serikali isukume issues zao pale.?Wamekuwa wanufaikaji wakubwa wa vimakombo vya serikali kupitia watu waliokuwa na haiba na familia yao au msikiti wa nje kwao.Familia nyinine zote ziliweza maintain utajiri wao ama kupitia elimua u kumiliki nyumba na kila kitu.Huyu mzee hata km wangemfilishi nyumba kipindi kila akabaki na Moja ingekuwa nyumba yenye heshima.hakuna hivyo pale.

Nicholas,
Ni "ovyo," siyo "hovyo."

Ndipo siku zote nakuambieni kabla hamjaandika mngefanya utafiti
lau kidogo.

Hapa tunazungumza historia ya African Association hadi TANU.

Hii ni miaka ya 1929 - 1961 tulipopata uhuru.
Hakika Tambaza wa 1930s si Tambaza wa 1970s.

Umesema kweli ule utajiri haupo tena hii leo.
Ikiwa mimi nakuchosha si unaacha kunisoma upumzike?

Naamini hakuna mtu anaekulazimisha kufanya mjadala na mimi.
Kufanya mjadala na mimi si kazi ndogo.

Mimi mbinu za mnakasha nimesoma kwa Maalim Haruna na katika
jambo alokuwa akitusisitizia sana ni "adab."

Usikasirike, usitukane wala kutisha mtu.
Akitufunza kuwa ingia kwenye mnakasha kwenda kujifunza usichokijua.

Inapodhihirika kuwa huna cha kujifunza kutoka kwa mwenzako sasa
wewe chukua nafasi hiyo kusomesha.

Ndiyo hizo rejea ninazoweka hapa Majlis atakae ajifunze.
Ndiyo haya mapicha naweka hapa Majlis kwani kuona ni kuamini.

Ndiyo maana unaona hapa hata siku moja simtukani mtu.
Sina sababu ya kufanya hivyo.

Hili somo nalimudu sana.
Mie matusi ya nini?

Ikitokea mtu kaleta matusi mie huwa sijibu matusi ila nitamnasihi.
Akiendelea kunitusi basi najitoa katika mjadala.

Yeyote atakaefata mafunzo haya atafanya vyema katika mjadala
wowote.

Dalili za wewe kuchoka niliziona muda mrefu.
Nakushauri upumzike.
 
Nicholus kama unajua historia kinzani na hii ya Mohamed,tujuze kwa kuandika kitabu au hata makala magazetini,vinginevyo utaishia kutukana tuu bila hoja
 
Mohamed Said naomba nikuulize wanachama mashuhuri wa TANU kama Dossa, Abdulwahid, Ally na wengine walipata vyeo gani baada ya uhuru .
Halafu hivi Kuna maandiko yeyote kuhusu mzee Dossa , mzee wetu wa Mlandizi huyu tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunapita nyumbani kwake bila kufahamu yeye ni nani kwenye nchi hii, baada ya kwenda shule na kusoma historia ndiyo tukamfahamu.
Ukipata Muda tafadhali andika chochote Kuhusu Dossa, sisi wengine tunawaheshimu wazee wetu hawa Ingawa tumetofautiana imani.
 
Mwandishi gani unayetaka andika vitu huku hujui kulia ni sehmu ya watoto kulazimisha matakwa yao yafanyike..na umelia sana humu.Hembu jibu maswali yangu bhana acha jiliza na kuhamisha eti silazimshi watu nini na nini wakati unachoandika ni kutetea uhai wa uongo mtu na hadih za Ali bin Nacha.Siku zote humu ndani ukinikuta Mimi au Yericko huwa unakimbia thread yeyote.Hata nusu ya Mbio hufiki tunaanza kuburuza na kukuchapa viboko uondoke ktk upuuzi kk akina Ayatoullah wa ACT,mara matusi, mara siongei na watu wenye jazba,mara nyie hamjui,mara nimeongea na fulani....umeongea na wazee wnegine shule hawakwenda cv yao ni makuli,wengine hawajawahi kufikisha kiwango cha madini ya kutosha kabiliana na mahitaji ya ubongo wa mzee ili kusaidia boost kumbukumbu,wengine ni wadini kuliko wewe na wanaona wakianza pamba dini watafaidika na vijisent, shida tupu ndizo unazotaka leta hapa.

Nicholas,
Mimi nikukukimbie wewe kwa lipi?
Kwani umeandika kipi kikubwa cha kunikimbiza mimi Majlis?

Ila nitakupa kitu huenda kikakusaidia.
Anaweza mtu akawa kweli hana hiyo CV uitakayo.

Anaweza kuwa mtu ni kuli kama usemavyo lakini kwa hivyo alivyo
kuwa hana CV na ni kuli lakini akajaaliwa "ilm" ambayo wewe huna.

Mimi nimesoma mengi kwa watu kama hawa na elimu walonipa watu
hawa nimeifikisha kwingi ndani na nje ya Tanzania.

Elimu nyingine nimeifikisha hapa JF.

Nakuwekea hapa paper niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Kenyatta,
Nairobi mwaka 2006 kutoka darsa walonisomesha waalim wangu
wawili, Al Marhum Sheikh Ali bin Abbas na Mzee "Kissinger."

http://www.mohammedsaid.com/2013/12/regional-conference-of-islam-in-eastern.html

Najifakharisha kwao wao kuwa wamenisomesha si darasani bali
pembezoni mwa vibaraza vya nyumba Kariakoo mimi nikiwa msomi
wa Chuo Kikuu.

Wasomi wengi kutoka Marekani na Ulaya wamenukuu elimu hii katika
vitabu na paper zangu na kutumia katika kazi zao lakini ukweli ni kuwa
chanzo cha elimu hii si mimi bali na hawa ambao wewe unasema hawana
CV na wengine ni makuli.

Hakika Sheikh Ali Abbas alikuwa kuli bandarini katika kampuni ya East
African Cargo Handiling Services na Mzee "Kissinger" yeye hadi leo
anafanya biashara ndogo ndogo barazani pake Mtaa wa Congo.

Nakumalizia kwa kukwambia nimesomeshwa na kuli mwingine Mzee
Abdallah.

Mzee Abdallah 1950 alikuwa "office boy" wa Abdul Sykes Kariakoo Market.

Mzee Abdallah kanisomesha namna akina Kiyate Mshume walivyokuwa
wakifanya biashara pale sokoni na siasa za soko lile wakati TANU inaundwa.

Yeye ndiye aliyeniambia biashara pale sokoni ilikuwa inakwenda kwa kufata
kabila.

Mnyamwezi hauzi samaki.
Samaki ni biashara ya Wamatumbi na Wanyagatwa.

Mzaramo na Mluguru hawauzi tumbaku.
Hiyo biashara ya Wanyamwezi.

Mzee Abdallah kamjua Nyerere pale sokoni Kariakoo 1952 wakati akija
kwa Abdul Sykes kabla Nyerere hajawa maarufu.

Kamuona Abdul Sykes akiuza kadi za TANU ofisini kwake na ugomvi uliotokea
baina yake na Town Clerk Mzungu kuhusu kadi za TANU.

Namuuliza Mzee Abdallah wakati wa ugomvi ule pale sokoni Abdul alikuwa
anasema nini kumjibu Mzungu?

Ananambia, "Yote yakinipita maana walikuwa wakigombana kwa Kiingereza."
Nimesoma mengi kwake.

Laiti nigewadharau watu hawa mimi ningebakia na ujinga wangu na wao
wengekwenda kaburini na elimu yao.

Nicholas,
Mimi silii unaelia ni wewe.
Nikiingia kwenye uzi huwa haudodi.

Hii si dalilli ya kilizi.
 
Kanisa ndio ukoloni wenyewe. Huwezi kutofautisha kanisa na ukoloni.
Moja ya kazi ya ukoloni mi kueneza ukristo. Na hili liliwezekana zaidi nchi ikiwa ndani ya ukoloni.
Hivyo kanisa lilikuwa nyuma ya ukoloni.
Wakoloni walijenga shule na mahospitali kwa fedha za umma na kuzikabidhi makanisa na kuzihudumia bure kwa faida ya kanisa then vyereje kanisa litafute uhuru ambao utakuja kuondoa support hio?
Miaka ya mwisho ya 50s ni kweli kanisa lilikuwa liki msapoti nyerere baada ya muona dhahiri uhuru unakuja. Halikua myuma ya TANU bali nyerere . Walimtia mkononi na akasahau utaifa akaendelea kulipa fursa kama ilivokuwa kabla ya uhuru.

Mwisho hao mapadre unao wataja wote sio watanganyika ni wahudumu wa vatican uhuru wa tanganyika uliwahusu nini?
 
Last edited by a moderator:


Je unajua Mwalimu Julius Nyerere hakupigania uhuru wa Tanganyika yeye kama yeye bali aliandaliwa angali mdogo akakabidhiwa na kanisa katoliki kwa ubia wa Malkia Elizabeth wa Uingereza?

Je unafahamu Mwaliu Julius Nyerere alinusurika mara 18 kwenye majaribio ya mauaji, na alinusurika mara sita kwenye majaribio ya mapinduzi?
Je unajua kuwa Mwalimu Nyerere ni sehemu ya familia ya Malkia Elizabeth na aliachiwa urithi kupitia Fabian Society?
Ufamilia wa Nyerere kwa Malkia Elizaberth ni wakuasili. Ni sawa na ufamilia wa Mkapa kwa Mwalimu Nyerere.

Tofauti moja nikuwa ili uwe mwanafamilia wa Malkia Elizaberth ni lazima ujiunge na Fabian Society ambayo ipo duniani nzima na inamilikiwa na umalkia wa kiingereza,

Zingatia sheria ya Cybercriminal haijasainiwa, rais bado yupo USA anakagua kiwanda cha kutengenezea ndege za Boing ingawa tz haina hata toy la ndenge ya maonyesho kwa wanafunzi tu, wakati huo shirika la ndege linawafanyakazi 120 na wote wanalipwa vizuri kabisa.

Navumilia kuwa mtanzana, sijivunii kuwa mtanzania!

Kwanza naomba tumfahamu Mwalimu Nyerere kuzaliwa na mapito yake,

Aprili 13, mwaka 1922, safari ndefu ya maisha ya Mwalimu Kambarage Nyerere iliyochukua miaka 77 na miezi 6 ilianza Mwitongo kijijini Butiama, kilomita takribani 30 kutoka mji wa Musoma, mashariki mwa Ziwa Victorialililoko kaskazini mwa Tanzania. Siku hiyo mvua kubwa ilinyesha. Mama Mgaya Nyang’ombe, aliyekuwa mke wa tano kati ya 23 wa Chifu Nyerere Burito wa Zanaki,


Alijifungua mwanae wa pili. Kwa desturi za kabila la Wazanaki, mtoto wa kike ama wa kiume aliyezaliwa siku ya mvua alipewa jina la KAMBARAGE (mzimu wa mvua).Kambarage alikuwa mtoto wa maskini kama walivyokuwa watoto wengine kijijini. Ingawa baba yake alikuwa Chifu (Mtemi), cheo hicho alichopewa wakati wa utawala wa Kijerumani hakikuwa na maslahi yoyote ya maana. Kwa desturi za makabila mengi, watoto walilelewa na kutunzwa na mama zao. Kwa hiyo, Mama Mgaya alijitegemea mwenyewe katika kuwalea wanawe 6 alioishi nao kwenye kibanda cha udongo, na paa la nyasi. Kambarage alipofikia umri wa kuelewa mambo, alimuhurumia sana mama yake na kumsaidia kazi kwa kadri alivyoweza.Eneo la Mwitongo lilikuwa na mandhari ya kupendeza ya kilima kidogo kilichozungukwa na vichaka na mawe.


Mtoto Kambarage alicheza michezo ya kujificha kwenye vichaka na kukimbiza pimbi na tumbili kwenye mawe. Alichunga mbuzi za mamaye na alipofikia umri wa kutosha, alienda na vijana wenziwe kuwinda porini. Pamoja kumsaidia mamaye alipata muda wa kuwa karibu na babaye na kujifunza utamaduni wa kizanaki.Siku moja, akiwa na miaka 10 baba yake alimtuma afuatane na mama yake wa kambo kwenda kwenye kijiji kingine kuhudhuria msiba wa jamaa wa mama huyo. Wakati wa kurudi walipewa mbuzi. Kambarage alimfunga kamba mbuzi na kumwelekeza njia. Mbuzi akagoma. Wakati wanakukurushana naye mzee mmoja akamwambia atamrahisishia kazi. Mzee yule akang’oa nywele kidogo kutoka kichwa cha Kambarage na manyoya kidogo toka kichwa cha mbuzi akachanganya na mizizi fulani, akatafuna na kumpa mbuzi akala. Yule mbuzi akamfuata Kambarage mpaka wakafika nyumbani Mwitongo bila kumsumbua!Akiwa na umri wa miaka 11 baba yake akamtolea Kambarage mahari kwa binti mmoja kijijini. Kwa desturi za Kizanaki mzazi alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo ili kuwa na uhakika kwamba hata akifa wanawe wa kiume watakuwa na uwezo wa kuoa.Kambarage hakutegemea kwamba angeliweza kupata nafasi ya kwenda shule kwa sababu baba yake alikuwa hana uwezo wa kuwasomesha wanawe wote. Hata hivyo, alidhihirisha kuwa na akili nyingi zilizo muwezesha kujifunza mambo haraka. Alijifunza kucheza bao kutoka kwa baba aliyependa kucheza bao na mama yake aliyekuwa hodari wa mchezo huo. Kila alipopewa nafasi ya kucheza bao na marafiki wa baba yake Kambarage aliweza kuwafunga! Akili alizozidhihirisha katika mchezo huo ndizo zilizomuwezesha kupata bahati ya kwenda shule. Mmoja wa wazee hao alimshauri Chifu Nyerere amuingize mwanawe shule kwa kuwa alionekana kuwa na akili sana. Ilimuwia vigumu Chifu kuamua lakini mwanawe mkubwa Edward Wanzagi alimshawishi akakubali.
Hatimaye, siku moja ya mwezi Aprili mwaka 1934, Kambarage akiwa na umri wa miaka 12 aliamka mapema kwa furaha kwenda kuanza darasa la kwanza katika shule ya Mwisenge, Musoma mjini. Kambarage aliingia shule akiwa hajui Kiswahili sawasawa. Hata hivyo, haikupita muda akajua Kiswahili, akili alizoonyesha kwenye bao zilidhihirika darasani pia. Ingawa wakati alipoanza shule alikuwa amechelewa kwa miezi mitatu, aliweza kuelewa mambo kwa kasi kuwashinda wengine walioanza mapema. Alipoingia darasa la tatu walimu waliamua kumrusha hadi la nne, akasoma masomo ya miaka minne kwa miaka mitatu tu. Mwaka 1936 alifanya mtihani wa nchi nzima wa kuingia darasa la tano, akawa mtu wa kwanza Tanganyika nzima. Alichaguliwa kuingia shule ya bweni Tabora ambayo ilikuwa na darasa la tano hadi la kumi.


KIJANA KAMBARAGE
Mwaka 1937 Kambarage akiwa kijana wa miaka 15 alianza masomo ya darasa la tano akiwa na ari ya kusoma kwa bidii. Waalimu wake Tabora walimpenda kwa akili zake. Wanafunzi wenziwe nao walimpenda sana kwa sababu alikuwa mcheshi na mwema sana. Waliosoma naye waliwahi kueleza kwamba ingawa alikuwa akienda shule na fedha kidogo sana za matumizi, alikuwa radhi kutoa fedha zote alizokuwanazo kuwasaidia wanafunzi waliokuwa na shida. Pamoja na wema, alionyesha tabia ya kupenda kutetea HAKI. Hakukubali kuona uonevu uliokuwa ukifanywa na ma-kaka dhidi ya wanafunzi. Aliwahi kwenda kwa Mwalimu Mkuu kulalamika kuhusu adhabu ya kufungwa miguu na mikono aliyopewa mwanafunzi mmoja na kaka wa bweni. Kwenye kuamua shauri hilo Mwalimu Mkuu alimpendelea kaka na alimpa mwanafunzi huyo adhabu nyingine ya viboko. Kambarage aliamuriwa kumchapa, ilibidi amchape ingawa hakupenda kabisa kufanya hivyo! Hata hivyo, Kambarage hakuuacha msimamo wake wa kuwatetea waliokuwa wakionewa. Hatimaye, Waalimu waliamua kumpa naye cheo cha ‘Kaka’ lakini hiyo haikuwa dawa. Haikupita muda, alianzisha mgomo wa kupinga mtindo wa ma-kaka kupata upendeleo wa kujigawia chakula kingi kuliko wanafunzi wengine ingawa naye alikuwa kaka!Pamoja na kutetea haki za wanafunzi wenziwe, alidhihirisha uhodari wa kutetea kile alichoamini. Siku moja wakati wa kipindi cha majadiliano, mada ya “Tanganyika iendelee kuwa chini ya utawala wa Waingereza” ilikuwa ikijadiliwa. Katika kuchangia, bila woga wowote mbele ya Mwalimu Mkuu (Mwingereza) Kambarage alipinga kwa nguvu hoja ile na kuelezea waziwazi uovu mwingi uliokuwa ukifanywa na Serikali ya Uingereza katika kuitawala nchi kwa mabavu na kwa misingi ya ubaguzi wa rangi. Mwalimu Mkuu alimkatisha na kumwamuru akae chini asiendelee kuzungumza. Kambarage alihamaki na kuamua kutoka kwenda bwenini kubeba sanduku lake ili akapande gari moshi (treni) kurudi kwao Butiama! Ilibidi Mwalimu Mkuu atume watu kumshawishi arudi shuleni.


JULIUS KAMBARAGE
Akiwa shuleni Tabora Kambarage aliweza kubatizwa na kuwa Mkatoliki akajipa jina la ‘JULIUS’. Mwalimu aliwahi kusimulia kwamba ingawa alianza kuingia kwenye mafundisho ya dini akiwa shuleni Mwisenge, hakuweza kubatizwa kwa sababu mapadri walidhani kwamba angeweza kumrithi baba yake uchifu na hatimaye kuwa na wake wengi! Wamisionari walijaribu sana kumhubiria Chifu Nyerere Burito ajiunge na ukristo bila mafanikio. Mara nyingi mapadri walipomfuata kumhubiria aliishia yeye kuwahubiria wao! Kambarage aliweza kubatizwa baada ya baba yake kufariki mwaka 1942. Wasiwasi wa mapadri ulikuwa umeisha kwa sababu aliyerithi u-chifu alikuwa Edward Wanzagi.Baada ya masomo shuleni Tabora, Julius Kambarage alifanikiwa kwenda Chuo Kikuu cha Makerere. Akiwa huko kidogo kidogo alianza kujihusisha na mambo ya kisiasa. Alianzisha cha chake cha siasa kilichoitwa Tanganyika African Welfare Associate TAWA, na kisha kukifuta na kufungua tawi la chama cha TAA kilichokuwa kimeanzishwa Dar es Salaam kama chama cha kutetea maslahi ya Watumishi wa Serikali waliokuwa wakinyanyaswa na kudhulumiwa na Wakoloni.


MWALIMU JULIUS KAMBARAGE
Mwaka 1945 Julius Kambarage Nyerere alifaulu masomo yake na kupata Diploma ya ualimu. Akarudi kijijini Butiama na kumjengea mama yake nyumba kabla ya kwenda kuanza kazi Tabora. Uamuzi wake wa kutaka kuajiriwa kwenye shule ya misheni ya Mtakatifu Maria Tabora ni kielelezo kimoja cha msimamo wake kuhusu HAKI. Alikuwa amepokea barua mbili za ajira – moja kutoka Serikalini ikimpa nafasi ya kufundisha kwenye shule ya Sekondari ya Tabora na nyingine kutoka kwenye shule ya misheni ya Mtakatifu Maria (St. Marys). Barua kutoka Serikalini ilimweleza juu ya mshahara atakaopata na marupurupu ya malipo ya pensheni na kwamba shule za misheni hazikuwa na marupurupu yoyote. Julius hakupendezwa na utaratibu wa marupurupu ya walimu wa serikali na misheni kutofautiana. Akaamua kwenda kufundisha shule ya Sekondari ya misheni isiyo na marupurupu yoyote.Tabia yake ya kupenda haki iliendelea kujidihirisha katika shughuli mbalimbali alizofanya akiwa Tabora. Aliendelea kujihusisha na chama cha TAA akawa katibu wa tawi la chama hicho mjini Tabora. Alishiriki kwenye midahalo ya shule za Sekondari na hoja alizotoa zilivutia sana. Katika mdahalo mmoja uliokuwa na mada “Mali ni bora kuliko Elimu” Julius alipinga vikali hoja. Akasema kwamba alichagua kazi ya ualimu ili iwawezeshe watu kuelewa mambo na kwamba wakielewa wanakuwa na furaha, si kwa sababu wana mali. Unaweza kuwa mtu mwenye mali lakini huna furaha!Mwalimu Julius alikuwa na hamu sana ya kwenda ng’ambo kwa masomo ya juu lakini kutokana na msimamo aliokuwanao dhidi ya Serikali, wakoloni hawakutaka kumpa nafasi hiyo. Hatimaye kwa kutetewa na rafiki yake aliyekuwa padri wa kizungu (Father Walsh mwenye nasaba ya Marlknol sisters) aliweza kupewa scholarship na Serikali kwenda Chuo Kikuu cha Edinburgh kuchukua masomo ya historia na uchumi. Akalipenda sana somo la filosofia. Mawazo ya kuingia kwenye siasa yalianza kujengeka wakati huo. Akiendelea na msimamo wake wa utetezi wa haki aliweza kuandika makala mbali mbali. Mbili alizopeleka kwenye mashindano alipata zawadi ya kwanza. Makala moja ilihusu ‘kuonewa wanawake’ akielezea kuhusu unyonge wa wanawake katika maisha ya makabila nchini. Ya pili ilikuwa na kichwa cha habari “Matatizo ya Ubaguzi wa Rangi katika Afrika Mashariki”. Katika makala hiyo alisema Wazungu alikuwa anatawala kudumisha umaarufu wao kwa njia ya unafiki.... Bepari Mhindi alikuwa anapata chakula chake kwa wizi mtupu au ujanja-ujanja na unafiki... Mwafrika naye alikuwa mnafiki alijipendekeza kwa Mzungu wakati moyoni anapasuka kwa wivu na chuki!Alimaliza vema masomo yake huko Edinburgh na kuwa Mwafrika wa kwanza nchini Tanzania kupata Stashahada ya Juu. Aliporudi nyumbani alipokelewa na mchumba wake Maria Magige aliyemchagua mwenyewe si yule aliyetolewa mahari na baba yake. Ikambidi afanye tena zoezi la kujenga nyumba kwa ajili yake na Maria watakapofunga ndoa. Wanakijiji walimshangaa walipomuona msomi kama yeye akichanganya simenti na mchanga kufyatua matofali kwa ajili ya kujengea. Wasomi hawakupaswa kufanya kazi kama hizo! Julius na Maria walifunga ndoa tarehe 24 Januari 1953 kwenye kanisa Katoliki Musoma. Katika maisha yao ya ndoa waliweza kuwapatia watoto 7, watatu wa kike na wanne wa kiume.


AWA KIONGOZI
Baada ya mapumziko yake Butiama Mwalimu Nyerere alienda kuanza kazi ya kufundisha katika shule aliyopangiwa ya Pugu Sekondari, Dar es Salaam. Mwaka huo wa 1953 akiwa Pugu alianza kujihusisha kikamilifu na shughuli za chama cha TAA. Aliitembea kwa miguu na wakati mwingine kwa baiskeli ya kua zima umbali wa maili 12 kwenda mjini Dar es Salaam kuhudhuria mikutano na shughuli za chama hicho. Haikupita muda akili na uwezo mkubwa aliokuwanao ulidhihirika akachaguliwa kukiongoza. Kutokana na uongozi wake mahiri chama cha TAA kikabadilishwa kuwa chama kamili cha siasa tarehe 7 Julai 1954, kikaitwa TANU.Chini ya uongozi wake baada ya kuanzishwa kwa chama cha TANU zilianza rasmi harakati za kupigania Uhuru. Pamoja na juhudi zote za Wakoloni kuchelewesha kupatikana kwa Uhuru hatimaye mwaka 1960 nchi ya Tanganyika ilifanikiwa kupata Serikali ya Madaraka. Desemba 9 1961 ikapata Uhuru kamili ,Mwalimu akawa Waziri Mkuu. 1962 nchi ya Tanganyika ikawa Jamhuri akawa Rais wa Kwanza wa Tanganyika Huru.Simulizi kuhusu uongozi uliotukuka miaka 24 wa Mwalimu Nyerere akiwa Rais wa Tanzania unahitaji makala nyingine nyingi. Hakuna maelezo mafupi yanayoweza kutosheleza historia ya uongozi wake. Itoshe kusema alikuwa kiongozi shupavu sana aliyepigania uhuru wa nchi yake na wa nchi zingine za Afrika. Alijishusha na kuwa pamoja na wananchi aliowaongoza – shida zao aliziona ni zake, zilimgusa na kumnyima usingizi! Akaondoa ubaguzi na kufuta matabaka ya walionacho na wasionacho. Akafuta ukabila na udini nchini. Watanzania wakaishi kidugu. Akafanikiwa kujenga AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO akiongozwa na dira ya MAENDELEO YANAYOLENGA WATU WOTE. Akafanya Tanzania ijulikane kuwa kisiwa cha AMANI duniani.


Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipendwa na kuheshimika sana ndani na nje ya nchi. Mwaka 1985 aliamua kwa hiari yake mwenyewe kuacha uongozi wa Taifa ili apumzike. Alizunguka nchi nzima kuwaaga Watanzania. Kwa mapenzi makubwa wakampa zawadi za kila aina. Wananchi walionyesha wazi huzuni waliyokuwanayo kwa uamuzi aliouchukua. Walimuaga wakilia machozi!Yote aliyoyaanza tangu utoto wake yalifikia kikomo tarehe 14 Oktoba 1999 alipoaga dunia kwenye kitanda cha hospitali ya Mtakatifu Thomas mjini London alikokwenda kwa matibabu. Kabla hajafariki dunia aliwakumbuka Watanzania wake akasema: “Najua nitakufa sitapona ugonjwa huu. Ninasikitika kuwaacha Watanzania wangu, najua watalia sana. Lakini nami nitawaombea kwa Mungu.” Naam, Watanzania wake walilia sana walipopata taarifa za kifo chake. Mwili wake ulipoletwa nchini waliomboleza kwa uchungu mno. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizikwa kijijini kwake Mwitongo Butiama kwa heshima zote na wananchi wa Tanzania, na wa mataifa mbalimbali wakiwemo viongozi mashuhuri waliokuja kwa ajili hiyo.Ni dhahiri msingi wa yale yote aliyoyaamini na kuyasimamia utaendelea kudumu ndani ya mioyo ya kizazi chake, kizazi hiki na vizazi vijavyo kutokana na mchango mkubwa alioutoa akiwa Muasisi na Baba wa Taifa katika kujenga taifa la Tanzania. Huyo ndiye mtoto aliyezaliwa siku ya mvua na kupewa jina la mzimu wa mvua KAMBARAGE; mwana wa Chifu Nyerere Burito na Mgaya wa Nyang’ombe. Ni dhahiri, tarehe aliyozaliwa – 13 Aprili mwaka 1922, Mgaya hakujua kwamba alikuwa amejifungua mtoto ambaye angekuja kuwa kiongozi maarufu sana nchini na duniani, aliyewapenda binadamu wote na kuwatumikia Watanzania kwa moyo wake wote, akili na nguvu zake zote!



Sasa tuje kwenye uwanda wa harakati za ukombozi na ukweli wa mambo, nitaelezea kwa ufupi jinsi kanisa la Tanganyika lilivyoshiriki harakati za ukombozi wa Tanganyika na madhila liliyokumbana nayo. Ifahamike kuwa vyama vya harakati za ukombozi Tanganyika vilikuwa vingi sana, na vipo vilivyokuwa vikipingana vyenyewe kwa vyenyewe. Mwaka 1927 – 1929 kanisa Katoliki nchini chini Joseph Gabriel Zelger, lilibainika kuingiza siasa katika utendaji kazi zake, kitendo hiki kiliwakwaza wakuu wa mamlaka ya kikoloni na kupelekea majasusi wakikoloni wapendekeze aachishwe uongozi wa kanisa nchini. Ni kweli tarehe 12 februari 1929 Zelger alistaafu wadhifawake kwa lazima.

Kisa hiki kinasema, Kanisa lilianzisha mafundisho yenye kuchochea fikra za kimaasi, nalilifanikiwa kuandaa wakufunzi maalumu kwenda katika majimbo yote ya kihuduma Tanganyika, hilo lilipelekea kuleta mtafaruku na dola ya mkoloni wa kiingereza ambapo ilimgharimu kiongozi huyu wa kiroho kuachia madaraka yake. Alipoingia askofu Edger Aristide Maranta mwaka 1930, ikiwa kama vile mwendelezo wa mtangulizi wake, Askofu Maranda alianzisha harakati za kuwashawishi viongozi wengine wa majimbo kuendeleza kutoa mafundisho yenye kumfanya mtanganyika ajitambue na adai uhuru wake, Mfano: 23 mei 1938 wakati makanisa saba ya Kilutheri yakiwa kwenye hatua za mwanzo za mchakato wa kuungana,

Askofu maranda aliomba kuhudhuria kikao cha tarehe 8 mwezi wa sita kilichofanyika Mjini Arusha, Askofu Maranda aliudokeza mpango ule wa siri wa katoliki katika kikao hicho, japokuwa kulikuwa na hofu ya kutoaminiana, lakini uthabiti wa malengo hayo ulijipembua baadae na kuwa wamafaa. Juhudi za kanisa kupigania ukombozi ziliendelea kushika kasi huku zikiendeshwa kwa siri sana kwamfumo wa neno la kiroho, na ilipofikia miaka ya 1950+ kanisa sasa lilikuwa tayari linanguvu ya ushawishi kufuatia mafanikio ya harakati za kanisa katika nyanja za ukombozi barani afrika.

Mtihani mkubwa kwa kanisa ilikuwa ni namna gani linaweza kuingia rasmi kudai uhuru wa Tanganyika. Katika kipindi hiki tangu harakati za kanisa zianze, Askofu Maranta pamoja na mapadre wa baadhi ya mikoa, walikuwa tayari ameshafanya juhudi kadhaa za kukutana na Mashehe waliokuwa na ushawishi mkubwa, mfano 05/02/1948, Askofu Maranda alikutana Shehe Issa bin Amir kiongozi wa kiroho katika msikiti wa Ilala - mchikichini. Shehe Issa Bin Amir alizaliwa 1846 katika viunga vya mchikichini Mzizima na kuhudumu katika wadhifa wa shekhe katika msikiti uliokuwa hapohapo viwanja vya nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 34 tu, hiyo ni mwaka 1880 hadi 1953 Nje ya kuhudumu katika uislamu, alikuwa ni mvuvi aliyevua pamoja na Ally Ramadhan mwekahazina wa kwanza wa AA,

Shehe Issa Bin Amir kwa kabila alikuwa Mzaramo na akiishi hadi kifo chake Mchikichini pale nyuma ya kilipo kiwanda cha bia leo (TBL) Shehe Issa Bin Amir rafiki kipenzi wa Padre Maranta na mzee wa hekima za kilele za cha zama hizo, mtu aliyekuwa kiungo muhimu kati ya uislamu na ukristu, Mtu ambae Mwalimu Cesil Matola rais wa kwanza wa AA na Klest Sykes katibu mkuu wakwanza wa AA, na wanachama wengine waliokuwa AA walimheshimu sana kwa hekima zake! Mazungumzo yao yalihusu harakati za ukombozi, Shehe Issa alimshauri Askofu kuwa ikiwa makanisa na misikiti yanapigwa marufuku na mkoloni kujihusisha na siasa za ukombozi basi watafute baadhi ya vyama vya harakati za ukombozi na waviunge mkono, wazo hilo lilimvutia Askofu lakini akajenga hofu kama je ndani ya vyama hivyo watapata vijana wasomi?.

Siku chache baada ya makutano yake na Shehe Issa, Askofu Maranta aliletewa mapendekezo kutoka kwa Attilio Beltramino kassi wa katoliki aliyehudumu kule Iringa, mapendekezo ya kasisi huyu yalikuwa ni, Umishonari makao makuu uruhusu udurufu wa biblia zisomeke kwa makabila ya wahusika wa eneo, ndani ya biblia hizo yaongezwe mafundisho ya haki ya kujitambua na kujitawala wenyewe. Pendekezo hili lilimvutia sana Maranta hivyo akalipa baraka zake, kwa hakika lilifanikiwa na ndio lilizaa hisia kali za mwamko wa kudai uhuru, mfano biblia ya lugha ya kihehe ilikuwa inaeleza wazi athari za kutawaliwa.

Harakati za Ukombozi za Mwalimu Nyerere zililivutia kanisa na likaamua kumuunga mkono, mfano mwaka 1953 wakati TAA kikiwa chama chenye nguvu, Askofu Maranta alimwalika ofisini kwake Mwalimu Nyerere, walizungumza mengi lakini kubwa nikuwa alimsifu kwa juhudi za kujipambanua bila kuwaogopa wakoloni na akamweleza jinsi kanisa linavyounga mkono juhudi za ukombozi wa Tanganyika, kisha akamshauri kuwa ajaribu kuvishawishi baadhi ya vyama vya harakati za ukombozi viungane ili kuvipa nguvu ya kudai uhuru na kanisa litasaidia. Wazo la Askofu Maranta lilimkaa Mzee Nyerere na mwaka 1954, alianza juhudi za kuwaunganisha vijana wenzake wa kariakoo ambao walikuwa ndani ya TAA na wenye nguvu ya ushawishi lakini wakikabiliwa na matatizo makubwa mawili katika lengo lao ambayo ni Elimu, Woga.

Ikumbukwe kuwa mwaka 1953 baada ya harakati za ukombozi kupamba moto na kamata kamata ya wanaukombozi, Askofu Edger Aristide Maranta alihamishiwa Zanzibar na nafasi yake ikachukuliwa na Vicar Apostolic, lakini bado aliendelea kuwa mshauri imara wa Mwalimu Nyerere.
Jambo la kushangaza kama si kufurahisha, mwaka huohuo mwezi wa 8, Edger Aristide Maranta alirudishwa tena Dar es Saalam, na sasa mbinyo dhidi ya ukoloni ikahika mkondo wake. Mnamo tarehe 7/7/1954, Vijana (wazee wa kariakoo) wakiongozwa na Julius Kambarage Nyerere, walikubaliana wazo la kuhuisha chama kutoka TAA kwenda TANU, chini ya uratibu wa karibu wa kanisa Katoliki (Askofu Maranta) na Waislamu (Shehe Issa bin Amir) ijapokuwa alikuwa amefariki mwaka mmoja nyuma, lakini hekima za Shehe huyu zilisaidia! Na zaidi ni kuwa safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere ya kwenda UNO 05/03/1955 , Kanisa Katoliki lilitoa msaada kwa chama cha TANU wa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi, lilifanya hivyo kupitia shirika lake la Maryknoll Sisters la New York Marekani,

Si hivyo tu bali katika moja ya utani wa Mwalimu wenye ukweli ndani yake aliwahi kusema kuwa Kasisi Art Wille wa Shirika la Maryknoll ni boss wake, akikumbuka malipo ya shilingi 600 kila mwezi angali ameacha kazi ya ualimu akiwa kijijini Butiama

Kuna mengi sana yamefichwa kuhusu historia ya nchi yetu na hata duniani kwa ujumla, na hizi taarifa hufichwa kwa maslahi fulani fulani hv, ILA SIE KIZAZI CHA KATI NA CHA KESHO TUSIPOKUWA WADADISI TUTABAKI KUDANGANYWA SANA........................................... Ila kila kitabu kina zama zake pia,
 
Nicholas, Ni "ovyo," siyo "hovyo." Ndipo siku zote nakuambieni kabla hamjaandika mngefanya utafiti lau kidogo. Hapa tunazungumza historia ya African Association hadi TANU. Hii ni miaka ya 1929 - 1961 tulipopata uhuru. Hakika Tambaza wa 1930s si Tambaza wa 1970s. Umesema kweli ule utajiri haupo tena hii leo. Ikiwa mimi nakuchosha si unaacha kunisoma upumzike? Naamini hakuna mtu anaekulazimisha kufanya mjadala na mimi. Kufanya mjadala na mimi si kazi ndogo. Mimi mbinu za mnakasha nimesoma kwa Maalim Haruna na katika jambo alokuwa akitusisitizia sana ni "adab." Usikasirike, usitukane wala kutisha mtu. Akitufunza kuwa ingia kwenye mnakasha kwenda kujifunza usichokijua. Inapodhihirika kuwa huna cha kujifunza kutoka kwa mwenzako sasa wewe chukua nafasi hiyo kusomesha. Ndiyo hizo rejea ninazoweka hapa Majlis atakae ajifunze. Ndiyo haya mapicha naweka hapa Majlis kwani kuona ni kuamini. Ndiyo maana unaona hapa hata siku moja simtukani mtu. Sina sababu ya kufanya hivyo. Hili somo nalimudu sana. Mie matusi ya nini? Ikitokea mtu kaleta matusi mie huwa sijibu matusi ila nitamnasihi. Akiendelea kunitusi basi najitoa katika mjadala. Yeyote atakaefata mafunzo haya atafanya vyema katika mjadala wowote. Dalili za wewe kuchoka niliziona muda mrefu. Nakushauri upumzike.
Acha Longo longo Hovyo na ovyo ni sahihi ,na haya maneno yanategemea maneno yaliyotangulia au kufuata ktk sentence...na hi H inaweza kuwa -Ve au ikabeba sifa ya meneno ya msingi ktk sentensi.Pengine hujawa dynamics kihiyo ndio maana ukadhani iaokoa roho yako hapa.
 
Sasa hicho kidiploma cha miaka miwili cha makerere na hio master ya miaka miwili huoni ni giza tu ? Ameanza dkuli akiwa na 12 Ndani ya miaka nane kenda makerere yaani sawa na darasa la saba ! Then kenda kuchukua master ya saikoloji ili kuja kutuzuga kwa lugha ? Khaa
Kwani ulitaka nini Quantity au Quality..Quantity si huwa mnajazia pialu na ndizi...Km ni miaka miwili mbona aliwaongoza wote km kondoo..na hamkufurukuta..na kila mkimkuta alikuwa anawapiga maswali mnaenda jipanga upya bila fimbo.
 
Kanisa ndio ukoloni wenyewe. Huwezi kutofautisha kanisa na ukoloni. Moja ya kazi ya ukoloni mi kueneza ukristo. Na hili liliwezekana zaidi nchi ikiwa ndani ya ukoloni. Hivyo kanisa lilikuwa nyuma ya ukoloni. Wakoloni walijenga shule na mahospitali kwa fedha za umma na kuzikabidhi makanisa na kuzihudumia bure kwa faida ya kanisa then vyereje kanisa litafute uhuru ambao utakuja kuondoa support hio? Miaka ya mwisho ya 50s ni kweli kanisa lilikuwa liki msapoti nyerere baada ya muona dhahiri uhuru unakuja. Halikua myuma ya TANU bali nyerere . Walimtia mkononi na akasahau utaifa akaendelea kulipa fursa kama ilivokuwa kabla ya uhuru. Mwisho hao mapadre unao wataja wote sio watanganyika ni wahudumu wa vatican uhuru wa tanganyika uliwahusu nini?
Aha..umejifunza wapi...?mpuuzi mkubwa wewe.Hizo ndizo kampeni alizoeneza Ghaddafi bila ibu waandishi wetu nao wakaleta umbea huo kwa hila za kiarabu zilizonunua Kitengo cha polotical science akina Shivji,na Haroub othma na wengine km MS..wakawabadili makatili wauza watumwa akina kinjekiltile,Mushrii,Miambo,Mkwawa na wengine kuwa mashujaa...kumbe ni mujahideen...ndio maana akina Kitila Mkumbo na wengine pale UDSM wamellaniwa sana.Sasa wapo na ACT wanalilia Democrasia kumbe wanalilia udictator....Kinjekitile na wayao wamalawi wanwajua,Mkwawa na vita za kipuuzi km za alashabaab zilikuwa na malengo ya kuvunja himaya z machief wengine na kuwachukua km watumwa kwa sababu za kipuuzi km alshabaam..waliwashika kwa vile waliwaita makafiri...walipopita wamissionary kuwaleimisha watu,kuweka shule etc Mkwawa na waarabu wakaamua waweka kundi moja wakoloni Mapepari na Wamissionary..na mara zote alikuwa akiwapiga vita za kidini kuliko za kisecular...Leo hii wahehe wanavalishwa mavazi ya kitumwa na bado wanadanganywa kuwa ndio jadi yao na Misomi yote inacheka...bado hizi tabia kwa kuliisha unafiki watu wanaendekeza.Zinaandikwa na uzao wauza watumwa wa Dar na miji mingine ya Pwani..hadi leo akili za pwani ni kwamba Bara ni watumwa wao..na wao ni mamwinyi ,madalali wa baishara za watumwa..waliofulia na kuinshi ktk laana za damu za watu..wamanyema na wayao ndio wapo busy ktk ubadili hiztoria,ndio waow anakimbizana kutengeneza makundi ya wazee ya kichawi na kishirikina na kibaguzi ili walinde uharamu
 
Back
Top Bottom