Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Waliambiwa mchango wao ulikuwa na asilimia ngapi?Kuna mengi unaonekana hujui sana hapa.Km walichangia pocket money km kawaida ya waafrica enzi zile za kusindikizana airport.Zile habari kuwa ukienda huko wasikuone masikini hadi leo scolarship za nje bado kulikuwa na clue za posho ya suti.Wewe utabadili kuiita tiket.Waliinunulia wapi hiyo ticket?Vijana wa dar ,kila kukicha wanapigana na wenzio mashuleni wakiulizwa maswali mepesi tuu kuhusu huko kudai uhuru wanapolilia...kwa sababua wamefundishwa na watu wa aina yako kulazimisha.Hao makuli waliokuwa wanapangwa mstari hadi leo kufuturishwa...walipata wapi hela hiyo ?
 

Nicholas,
Sikuwahoji wazee wakiwa katika dhiki.
Hebu soma hapa nimeandika nini katika utangulizi wa kitabu changu:

"This work would not have been possible if it were not for the moral and material assistance I received from Ally Sykes. Ally Sykes allowed me to interview him on many occasions in spite of his busy schedules managing his business from his city center office. He allowed me to consult his own private files, personal letters, diaries and other family records. These records were kept in a safe which I was informed remained untouched for over 30 years."

Sasa soma twende Tanga.
Nimekwenda Tanga kuzungumza na Mohamed Kajembe.

Nimemkuta Mzee Kajembe ana duka zuri la vyakula na alinikaribisha ndani
dukani na akafungua fridge kubwa lililojaa vinywaji akanikaribisha.

Soma hapo chini nilivyomwandika Mzee Kajembe:

The group of small traders at Ngamiani Market called a meeting at Tangamano Hall on 5 th September, 1955. Attending the meeting was Hamis Heri, Peter Mhando, Mohamed Kajembe, [1] Tuwa Abdallah, Dhili Mgunya, Abdallah Rashid Sembe, Victor Mkello, [2] Mohamed Sadik, Hassan, Peter Ramadhani Jembe and Ali Mohamed. Peter Ramadhani was already a TANU member in Arusha and was invited to the meeting in order for the pioneers to gain from his experience.

Nicholas,
Punguza ghadhabu na lugha zisizopendeza hapana sababu ya kutukanana.
Huu ni mnakasha tu.

Tunapambanisha hoja.
Hukubaliani nami unasema hivyo na tunaendelea na mjadala.

Hapa tuko kuelimishana hatuko hapa kuonyeshana nani bingwa.

Nimejizuia sana kumweleza babu yangu Salum Abdallah ila nitasema kitu kimoja.
Hakufa masikini.

Kafa ana bibi zangu watatu na kila mmoja anaishi kwenye nyumba yake alojenga babu
yangu.

Babu yangu ni moja ya chanzo kikubwa kwa mimi kuijua historia ya kuuondoa ukoloni
Tanganyika kati ya 1947 - 1961.

Babu yangu kafa 1974.

[1]Kajembe is in possession of a 1955 note-book written in pencil in which he had recorded dates of the meetings and names of TANU founding members. He died in Tanga in June, 1996, and his death was not reported in any media.

[2] Mkello came to be a popular trade unionist leading the powerful union - Tanganyika Plantation Workers' Union (TPWU). In 1964 he was ostracised to Sumbawanga, a remote area in Tanganyika, as punishment for his trade union activities. For information on his tenure as a trade unionist in post independent Tanganyika, see I. G. Shivji, Law, State & the Working Class... 1986, op. cit. pp. 227-229.
 
MS huwa sotimes sipendi sana kulaumu kwani ..nafahamu Wauza unga wengi huishia kuwa mateja....mpika uongo huwa kuna poit humfikia akaaamini sehemu ya uongo wake na kumfikisha kuutumia kujenga uongo na ndoto zake zote.Sishangai sana km sasa hivi na umri kwenda huwa kuna shida sana ktk akini na kuanza kuwa na mashaka na vitu fulani na kujibainisha na belief systems au conspiracies ,woga na kila kitu.Sishangai ktk hotuba na kamba unazowatupia wengine wanaoonyesha hisia,zinazokugeukia,na ukiwageukia nao wanakupa story zile zile ambazo wanahisi kuwa ndizo walizozishuhudia kumbe hawakumbuki kwa vile kuna issue hawakuzitia maanani kwa vile hawakujua kuwa Nyerere angefika hapo.Kwanza makuli walikuwa watu wasio na elimu na vipaumbela tofauti sana ktk ajira na maisha.
 
Utakufaje masikini wakati TANU ilipoingia walijitajirisha watu wengi wakati wanaua vitu vyote vya umma,kwa ujinga na ulafi,na wengine hadi leo wanabebwa sana kwa kisingizio hicho yeti wanaishia kuiba tuu.Upuuzi wa kujifanya victim na kusema wengine wanatukana unanitia kichefuchefu..na ikizingatiwa ni mzee mzima anaandika haya.KWa tabia hii utakufa na kurithisha watu upuuzi waendelee dai akisicho badala ya kufungua akili na kuandika real life issues,au hata ukaandike fictions ambazo hazichezi na siasa au historia za kweli za maisha ya TZ
 

Nicholas,
Nimekusoma.

Mie kila siku husema.
Simlazimishi mtu kuikubali historia hii.

Historia ya TANU imeandikwa na wengi: Iliffe, Barongo, Kimambo, Kandoro,
Chuo Cha Kivukoni
na kila mmoja kaandika kwa kile alichokijua.

Hawa wote hawakugombana.
Nimewasoma wote.

Baada ya kuwasoma na mimi nikaja na kitabu changu.
Sikuwakejeli, kuwabughudhi wala kuwatukana.

Nicholas,
Hakuna wa kukulazimisha kuwa babu yangu alikuwa mmoja wa wanachama wa
mwanzo wa TANU au aliunda TRAU 1955 akiwa mwenyekiti nk. nk.

Unaweza hata kusema Salum Abdallah hakupata hata kuwepo duniani na kwangu
itakuwa sawa.
 

Nicholas,
Wazee wetu TANU imekuja wao tayari hali zao zilikuwa nzuri.
Kleist alitajirika baada ya Vita Kuu Vya Kwanza kumalizika 1918.

Tambaza alirithi mali kutoka kwa wazee wake waliomilika Upanga
yote toka karne ya 19.

Mshume Kiyate katajirika akiwa mfanyabiashara Soko la Kariakoo
toka miaka ya 1940.

Hawa hawakuiba cha mtu sana wao ndiyo waliotoa mali zao kupigania
uhuru wa Tanganyika.

Nicholas,
Nimeandika mengi katika hayo wewe unaita "rea life issues."

Katika ujana wangu nilitaka niwe kama Irving Wallace lakini Allah
hakunijaalia kipaji kile.

Nimeandika "paper" kadha nilizowasilisha kwenye vyuo kadhaa duniani.
Nimechapa pia na wachapaji vitabu wakubwa duniani.
 
Mwandishi gani unayetaka andika vitu huku hujui kulia ni sehmu ya watoto kulazimisha matakwa yao yafanyike..na umelia sana humu.Hembu jibu maswali yangu bhana acha jiliza na kuhamisha eti silazimshi watu nini na nini wakati unachoandika ni kutetea uhai wa uongo mtu na hadih za Ali bin Nacha.Siku zote humu ndani ukinikuta Mimi au Yericko huwa unakimbia thread yeyote.Hata nusu ya Mbio hufiki tunaanza kuburuza na kukuchapa viboko uondoke ktk upuuzi kk akina Ayatoullah wa ACT,mara matusi, mara siongei na watu wenye jazba,mara nyie hamjui,mara nimeongea na fulani....umeongea na wazee wnegine shule hawakwenda cv yao ni makuli,wengine hawajawahi kufikisha kiwango cha madini ya kutosha kabiliana na mahitaji ya ubongo wa mzee ili kusaidia boost kumbukumbu,wengine ni wadini kuliko wewe na wanaona wakianza pamba dini watafaidika na vijisent, shida tupu ndizo unazotaka leta hapa.
 
Tusiongelee paper ulizotuma..kuna mengi sana yanaweza fanyika paper zikafika huko.Nabii hawezi jishuhudia yeye mwenyewe..Kariakoo paliuzwa nini kiasi cha watu kuwa matajiri?Sykes wana connection nyingine iliyowapa adavntage TZ... Mimisiwezi ita real life issues.....huwezi kwenda ongea na wazee waliopo desperate na wenye views km zako bila kuwa na source nyingine halfu ukakimbia kuandika uchafu kibao na sijui ulipata udhamini wa watu wa upande gani wa dunia.Ndio maana vitabu vitabu vy ahovyo vikakubaliwa viende kwa watu ila havikutiliwa maanani.Wewe na wenzio ndio mmejaza machapisho yanayomficha Mzee Mohamed Mkwawa,Kinyekitile wauza watumwa na washirika wakubwa wa waarabu,mkawafanya mashujaa wa Africa, wakati dunia kuna habari kibao kuhusu mienendo ya mkwawa,abushiri na wengine walipanza kufyumu na makubaliano waliyokuwa wakitaka ili wawapishe wasioingia dili zao waishi kwa amani,mwishowe ndio wakaanza ua wamissionary.Wamissionaryw aliomba msaada ktk serikali zao ndipo mkwawa akakutana na mabepari wenyewe akaishia jinyonga mwenyewe.Yota haya mmeayaficha ili mjenge ground za kuitukuza dini kuwa sehemu ya Mwafrica..hivi kweli kwa akili yako Timamu unaweza sema Dini yoyote ktk dini za Mungu moja ni ya asili ya mwafrica?
 
Huyu Mohamed Said anaweza chosha watu makusudi na habari za hovyo sana.Tambaza alikuwa na hela akaja banana pale makaburini..na hata ujenzi wa pale Mwinyi ndio aliupiga sana Tafu...alikuwa na mali iweje watoto wake waungeunge mambo tuu?Wanalialia tuu serikali isukume issues zao pale.?Wamekuwa wanufaikaji wakubwa wa vimakombo vya serikali kupitia watu waliokuwa na haiba na familia yao au msikiti wa nje kwao.Familia nyinine zote ziliweza maintain utajiri wao ama kupitia elimua u kumiliki nyumba na kila kitu.Huyu mzee hata km wangemfilishi nyumba kipindi kila akabaki na Moja ingekuwa nyumba yenye heshima.hakuna hivyo pale.
 
.

Nicholas,
Unaandika huku umekasirika inakuwa kwangu tabu kuelewa kwa hakika unachosema.
Nimezungumzia "paper" na vitabu kwa kuwa umenishambulia huko.

Jitulize ghadabu zipungue kisha rejea kwenye mnakasha.
 

Nicholas,
Ni "ovyo," siyo "hovyo."

Ndipo siku zote nakuambieni kabla hamjaandika mngefanya utafiti
lau kidogo.

Hapa tunazungumza historia ya African Association hadi TANU.

Hii ni miaka ya 1929 - 1961 tulipopata uhuru.
Hakika Tambaza wa 1930s si Tambaza wa 1970s.

Umesema kweli ule utajiri haupo tena hii leo.
Ikiwa mimi nakuchosha si unaacha kunisoma upumzike?

Naamini hakuna mtu anaekulazimisha kufanya mjadala na mimi.
Kufanya mjadala na mimi si kazi ndogo.

Mimi mbinu za mnakasha nimesoma kwa Maalim Haruna na katika
jambo alokuwa akitusisitizia sana ni "adab."

Usikasirike, usitukane wala kutisha mtu.
Akitufunza kuwa ingia kwenye mnakasha kwenda kujifunza usichokijua.

Inapodhihirika kuwa huna cha kujifunza kutoka kwa mwenzako sasa
wewe chukua nafasi hiyo kusomesha.

Ndiyo hizo rejea ninazoweka hapa Majlis atakae ajifunze.
Ndiyo haya mapicha naweka hapa Majlis kwani kuona ni kuamini.

Ndiyo maana unaona hapa hata siku moja simtukani mtu.
Sina sababu ya kufanya hivyo.

Hili somo nalimudu sana.
Mie matusi ya nini?

Ikitokea mtu kaleta matusi mie huwa sijibu matusi ila nitamnasihi.
Akiendelea kunitusi basi najitoa katika mjadala.

Yeyote atakaefata mafunzo haya atafanya vyema katika mjadala
wowote.

Dalili za wewe kuchoka niliziona muda mrefu.
Nakushauri upumzike.
 
Nicholus kama unajua historia kinzani na hii ya Mohamed,tujuze kwa kuandika kitabu au hata makala magazetini,vinginevyo utaishia kutukana tuu bila hoja
 
Mohamed Said naomba nikuulize wanachama mashuhuri wa TANU kama Dossa, Abdulwahid, Ally na wengine walipata vyeo gani baada ya uhuru .
Halafu hivi Kuna maandiko yeyote kuhusu mzee Dossa , mzee wetu wa Mlandizi huyu tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunapita nyumbani kwake bila kufahamu yeye ni nani kwenye nchi hii, baada ya kwenda shule na kusoma historia ndiyo tukamfahamu.
Ukipata Muda tafadhali andika chochote Kuhusu Dossa, sisi wengine tunawaheshimu wazee wetu hawa Ingawa tumetofautiana imani.
 

Nicholas,
Mimi nikukukimbie wewe kwa lipi?
Kwani umeandika kipi kikubwa cha kunikimbiza mimi Majlis?

Ila nitakupa kitu huenda kikakusaidia.
Anaweza mtu akawa kweli hana hiyo CV uitakayo.

Anaweza kuwa mtu ni kuli kama usemavyo lakini kwa hivyo alivyo
kuwa hana CV na ni kuli lakini akajaaliwa "ilm" ambayo wewe huna.

Mimi nimesoma mengi kwa watu kama hawa na elimu walonipa watu
hawa nimeifikisha kwingi ndani na nje ya Tanzania.

Elimu nyingine nimeifikisha hapa JF.

Nakuwekea hapa paper niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Kenyatta,
Nairobi mwaka 2006 kutoka darsa walonisomesha waalim wangu
wawili, Al Marhum Sheikh Ali bin Abbas na Mzee "Kissinger."

http://www.mohammedsaid.com/2013/12/regional-conference-of-islam-in-eastern.html

Najifakharisha kwao wao kuwa wamenisomesha si darasani bali
pembezoni mwa vibaraza vya nyumba Kariakoo mimi nikiwa msomi
wa Chuo Kikuu.

Wasomi wengi kutoka Marekani na Ulaya wamenukuu elimu hii katika
vitabu na paper zangu na kutumia katika kazi zao lakini ukweli ni kuwa
chanzo cha elimu hii si mimi bali na hawa ambao wewe unasema hawana
CV na wengine ni makuli.

Hakika Sheikh Ali Abbas alikuwa kuli bandarini katika kampuni ya East
African Cargo Handiling Services na Mzee "Kissinger" yeye hadi leo
anafanya biashara ndogo ndogo barazani pake Mtaa wa Congo.

Nakumalizia kwa kukwambia nimesomeshwa na kuli mwingine Mzee
Abdallah.

Mzee Abdallah 1950 alikuwa "office boy" wa Abdul Sykes Kariakoo Market.

Mzee Abdallah kanisomesha namna akina Kiyate Mshume walivyokuwa
wakifanya biashara pale sokoni na siasa za soko lile wakati TANU inaundwa.

Yeye ndiye aliyeniambia biashara pale sokoni ilikuwa inakwenda kwa kufata
kabila.

Mnyamwezi hauzi samaki.
Samaki ni biashara ya Wamatumbi na Wanyagatwa.

Mzaramo na Mluguru hawauzi tumbaku.
Hiyo biashara ya Wanyamwezi.

Mzee Abdallah kamjua Nyerere pale sokoni Kariakoo 1952 wakati akija
kwa Abdul Sykes kabla Nyerere hajawa maarufu.

Kamuona Abdul Sykes akiuza kadi za TANU ofisini kwake na ugomvi uliotokea
baina yake na Town Clerk Mzungu kuhusu kadi za TANU.

Namuuliza Mzee Abdallah wakati wa ugomvi ule pale sokoni Abdul alikuwa
anasema nini kumjibu Mzungu?

Ananambia, "Yote yakinipita maana walikuwa wakigombana kwa Kiingereza."
Nimesoma mengi kwake.

Laiti nigewadharau watu hawa mimi ningebakia na ujinga wangu na wao
wengekwenda kaburini na elimu yao.

Nicholas,
Mimi silii unaelia ni wewe.
Nikiingia kwenye uzi huwa haudodi.

Hii si dalilli ya kilizi.
 
Kanisa ndio ukoloni wenyewe. Huwezi kutofautisha kanisa na ukoloni.
Moja ya kazi ya ukoloni mi kueneza ukristo. Na hili liliwezekana zaidi nchi ikiwa ndani ya ukoloni.
Hivyo kanisa lilikuwa nyuma ya ukoloni.
Wakoloni walijenga shule na mahospitali kwa fedha za umma na kuzikabidhi makanisa na kuzihudumia bure kwa faida ya kanisa then vyereje kanisa litafute uhuru ambao utakuja kuondoa support hio?
Miaka ya mwisho ya 50s ni kweli kanisa lilikuwa liki msapoti nyerere baada ya muona dhahiri uhuru unakuja. Halikua myuma ya TANU bali nyerere . Walimtia mkononi na akasahau utaifa akaendelea kulipa fursa kama ilivokuwa kabla ya uhuru.

Mwisho hao mapadre unao wataja wote sio watanganyika ni wahudumu wa vatican uhuru wa tanganyika uliwahusu nini?
 
Last edited by a moderator:

Kuna mengi sana yamefichwa kuhusu historia ya nchi yetu na hata duniani kwa ujumla, na hizi taarifa hufichwa kwa maslahi fulani fulani hv, ILA SIE KIZAZI CHA KATI NA CHA KESHO TUSIPOKUWA WADADISI TUTABAKI KUDANGANYWA SANA........................................... Ila kila kitabu kina zama zake pia,
 
Acha Longo longo Hovyo na ovyo ni sahihi ,na haya maneno yanategemea maneno yaliyotangulia au kufuata ktk sentence...na hi H inaweza kuwa -Ve au ikabeba sifa ya meneno ya msingi ktk sentensi.Pengine hujawa dynamics kihiyo ndio maana ukadhani iaokoa roho yako hapa.
 
Kwani ulitaka nini Quantity au Quality..Quantity si huwa mnajazia pialu na ndizi...Km ni miaka miwili mbona aliwaongoza wote km kondoo..na hamkufurukuta..na kila mkimkuta alikuwa anawapiga maswali mnaenda jipanga upya bila fimbo.
 
Aha..umejifunza wapi...?mpuuzi mkubwa wewe.Hizo ndizo kampeni alizoeneza Ghaddafi bila ibu waandishi wetu nao wakaleta umbea huo kwa hila za kiarabu zilizonunua Kitengo cha polotical science akina Shivji,na Haroub othma na wengine km MS..wakawabadili makatili wauza watumwa akina kinjekiltile,Mushrii,Miambo,Mkwawa na wengine kuwa mashujaa...kumbe ni mujahideen...ndio maana akina Kitila Mkumbo na wengine pale UDSM wamellaniwa sana.Sasa wapo na ACT wanalilia Democrasia kumbe wanalilia udictator....Kinjekitile na wayao wamalawi wanwajua,Mkwawa na vita za kipuuzi km za alashabaab zilikuwa na malengo ya kuvunja himaya z machief wengine na kuwachukua km watumwa kwa sababu za kipuuzi km alshabaam..waliwashika kwa vile waliwaita makafiri...walipopita wamissionary kuwaleimisha watu,kuweka shule etc Mkwawa na waarabu wakaamua waweka kundi moja wakoloni Mapepari na Wamissionary..na mara zote alikuwa akiwapiga vita za kidini kuliko za kisecular...Leo hii wahehe wanavalishwa mavazi ya kitumwa na bado wanadanganywa kuwa ndio jadi yao na Misomi yote inacheka...bado hizi tabia kwa kuliisha unafiki watu wanaendekeza.Zinaandikwa na uzao wauza watumwa wa Dar na miji mingine ya Pwani..hadi leo akili za pwani ni kwamba Bara ni watumwa wao..na wao ni mamwinyi ,madalali wa baishara za watumwa..waliofulia na kuinshi ktk laana za damu za watu..wamanyema na wayao ndio wapo busy ktk ubadili hiztoria,ndio waow anakimbizana kutengeneza makundi ya wazee ya kichawi na kishirikina na kibaguzi ili walinde uharamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…