Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
alikuwa ana akili zipi!? wakati walishindwa mpaka alipokuja Nyerere ndio mambo yakaenda fresh...Wanajamvi, hebu someni sehemu ya ngano za huyu mzee Mohamed Said, kutoka kwenye kitabu chake anavyomfifisha na kumdhihaki Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Mkuu TOKYO40,nilishasema huyu ni mchekeshaji tuu wa JF -Court jester per excellence-Atuonyeshe hata paper moja ya kitafiti/kisomi kama kazi yake,vinginevyo ni mu.huni tu.
alikuwa ana akili zipi!? wakati walishindwa mpaka alipokuja Nyerere ndio mambo yakaenda fresh...
Hiyo ndio maajabu ya Mohamed Said
Huna uwezo wa kuelimisha mtu na ugonjwa wako.
Unahitaji dawa za "anti psychotic" ASAP.
Jaribu kutumia Thorazine au Loxapine.
Utapata nafuu na pengine utajuwa jinsi ya kutowa kithibitisho ulichoombwa na wachangiaji karibuni wote. Tuonyeshe umepona na unaelewa maana ya "kithibitisho" badala ya kuruka ruka mpaka hapa.
Mzee issue zingine anawaongopea Wanamajlis
Uongo wako uishie misikitini na viunga vya kariakoo tu,
Nje ya japo utakosolewa na kufunzwa hata kama hutaki.
Mzee issue zingine anawaongopea Wanamajlis
Habari za siku ni nzuri Wabara, hiyo historia ya Mohammed Said ameiandika yeye mwenyewe kwa kusimuliwa haijalishi amesimuliwa uongo au ukweli ukiomba rejea anarejea kwenye maandishi yake...Khabari za siku !
Nipo hapa kipembeni najaribu kupitia changizi za wana Barza hapa!
Alhabiib Mohamed Said tarikhi /historia aitoayo hutuekea na reference/s kitu ambacho kwa sahib yako Yericko Nyerere hajakifanza au weye mwanziwetu mebahatika pata japo sahifa moya ya wapi tukajirishe khabari alizotuletea hapa !?
Pia maneno muyatumiayo kama si stahiki yenyu khasa kwa namna mudhaniwavyo na hadhira au sivyo !?
Na ni kweli biniyadamu yu namapungufu yake, mfano weye na mie Mbaara, sasa yale mapungufu yangu nieleze /nisahihishe kwa kunigeiya rejea!
Shukraan na tuendelee na Darsa!
Mohammed Said wapo wengi , msidhani bado tupo wakati ule , wapo vijana wengi wanafahamu vizuri historia ya nchi yao na mchango wa wazazi wao kudai uhuru. Zile story za Kivukoni sasa zimepitwa na wakatiMohamed Said katika mlango wa nyuma anakili wazi kuwepo kwa nguvu ya ukatoli katika kudai uhuru.
Uungqana ni vitendo, mtapindapinda lakini mwisho mtakubali kama hivi
Hahaa anawalisha pumba tupu vijana wake wa madrasa
Umeielewa mada husika?
Wewe Yericko Nyerere.
Wachangiaji wengi tunakufahamu wewe kama ni tapeli.
1. Ulimdhulumu yule kijana fedha yake.
2. Unadanganya hapa kuwa una kampuni tatu. Kama una utajiri, mbona umemtapeli kijana laki mbili tu za ushindi? Tajiri anakunywa kahawa kwa mama ntilie? Unachekesha watu tu ila hujijui.
3. Elimu yako ni ndogo sana. Kwa mtu yoyote aliyekwenda shule hawezi hata mara moja kuandika lugha mbovu katika lugha yake ya kuzaliwa kama amesoma. Jinsi unavyoongea mitaani ndivyo jinsi unavyoandika hapa. Na inaonekana kabisa shule imekupiga chenga halafu unataka kubishana na wasomi. Kawadanganye wajinga wenzako.
4. Kila mmoja anakushangaa. Mpaka hapa hujaonyesha uhusiano wowote baina ya Malkia na Nyerere. Halafu unadai una uwezo wa kufundisha watu! Kama ni Mwalimu wako, ningekupiga bakora kwa kudanganya.
5. Kama umesoma, ungejuwa umuhimu wa kutoa kithibitisho cha uhusiano wa Nyerere na Malkia Elizabeth II. Hapa siyo kijiweni. Watu bado wanasubiri.
Kwa taarifa yako:
John Lupia = John Rupia
Anakili wazi = Anakiri wazi
hahahahaha... ukiona mada imeanzishwa na yeriko nyerere, basi si ya kuamini 100% HUYU JAMAA ANA phd YA UWONGO!!! SINTOSAHAU ALIPOSEMA MWALIMU NYERERE NI BABAYAKE....!