Wewe
Yericko Nyerere.
Wachangiaji wengi tunakufahamu wewe kama ni tapeli.
1. Ulimdhulumu yule kijana fedha yake.
2. Unadanganya hapa kuwa una kampuni tatu. Kama una utajiri, mbona umemtapeli kijana laki mbili tu za ushindi? Tajiri anakunywa kahawa kwa mama ntilie? Unachekesha watu tu ila hujijui.
3. Elimu yako ni ndogo sana. Kwa mtu yoyote aliyekwenda shule hawezi hata mara moja kuandika lugha mbovu katika lugha yake ya kuzaliwa kama amesoma. Jinsi unavyoongea mitaani ndivyo jinsi unavyoandika hapa. Na inaonekana kabisa shule imekupiga chenga halafu unataka kubishana na wasomi. Kawadanganye wajinga wenzako.
4. Kila mmoja anakushangaa. Mpaka hapa hujaonyesha uhusiano wowote baina ya Malkia na Nyerere. Halafu unadai una uwezo wa kufundisha watu! Kama ni Mwalimu wako, ningekupiga bakora kwa kudanganya.
5. Kama umesoma, ungejuwa umuhimu wa kutoa kithibitisho cha uhusiano wa Nyerere na Malkia Elizabeth II. Hapa siyo kijiweni. Watu bado wanasubiri.
Kwa taarifa yako:
John Lupia = John Rupia
Anakili wazi = Anakiri wazi