Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Haha unamkaribisha huyu mzee, yeye anajua habari za gerezani na viunga vya ghahawa tu
Mo saidi anajua mengi sana ya wakati ule hata mi namsubiri akuje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha unamkaribisha huyu mzee, yeye anajua habari za gerezani na viunga vya ghahawa tu
Kama hujui mambo madogo tu utajuaje makubwa hayo?
Lete ukweli
Tanzania haikuwa koloni la mwingireza ilikuwa koloni la mjerumani.Baada ya mjerumani kushindwa vita ya dunia mwingereza alikabidhiwa aiangalie Tanzania (protectorate) hadi watu wake wakiwa tayari kujitawala awakabidhi nchi.Ndio akina Nyerere na wengine wakaanza kudai uhuru wa kujitawala wakapewa bila kupigana vita sababu mwingereza alikuwa akiwajibika kufanya hivyo hakupewa nchi kama koloni lake maana ule mkataba wa Berlin wa kugawa afrika Tanzania ilikuwa ya mjerumani si mwingereza.
Nyerere na wenzie walidai uhuru wakapewa
nauri ya kwenda umoja wa mataifa miaka ile ilitoka kwenye familia ya RUPIA na sio kwa RC kama mleta mada anataka kutuaminisha,kumbuka jf sio ya watu mbumbu hivyo rudi ujipange upya
Duuh mkuu,
Kwanini usiombe kufunzwa mambo haya? Ruhusu mambo mapya yaingie kichwani mwako mkuu
Jibu hoja za wanajukwaa usilete majib ya kimipasho.
mapya kabsa