Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Hivi mnajua kuea kuongea na mwanaharamu unapoteza muda wakoo

Huyu mwanaharamuu anadanganya watuu

Sijui katokea kijiji ganiii

Kuwa na adabu kijana, hakuna binadamu mwanaharamu,

Labda nyie wasomali tuliowapokea hapa tz ndio mjiite ni wanaharamu.
 
Saa saba kamili leo mchana nitakuwa Radio Upland FM inayorusha matangazo yake kutoka Nyanda za Juu kusini Mkoani Njombe - Chaugingi. Nitazungumza hali ya kisiasa Zanzibar baada ya ccm kumfukuza mmoja wa waasisi wa CCM Zanzibar na mmoja wa waasisi wa Muungano.
 
.............haaa ! aiseeh ! :noidea: ......ukitoka huko uje Redio yeyote ya Dar !
Al Alama THE BIG SHOW Ritz, Wacha1
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa historia hii
M2mwembamba,
Ikiwa umeipenda historia hii hebu tafakari na kitabu cha Susan Geiger (angalia chini
wino mwekundu uliokoza):

"Chambuzi za historia zinaeleza katika harakati za kudai ukombozi wa Tanganyika haukuhusisha wanaume pekee, bali hata wanawake walikuwa mstari wa mbele kwa hali na mali wakiongozwa na vuguvugu la kisiasa kuanzia Chama cha Waafrika yaani Tanganyika African Association(TAA) na hadi Chama cha TANU-

Mwanamke mwingine ni Mtumwa Kitete, mpika vitumbua na uji aliyekuwa akiishi Mtaa wa “New Street” sasa Lumumba. Huyu alitoa michango mingi ya hali na mali kuchangia TANU. Ndiye anayetajwa na wachambuzi kuwa alitoa mchango wa pesa za mwisho za kuchangia safari ya Mwalimu Julius Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa (UNO), Marekani kueleza kwamba watu wa Tanganyika wapo tayari kwa uhuru na wanaweza kujitawala wenyewe.

Pia Mwamvua Mrisho aliyekuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Umoja wa Wanawake wa TANU, ambaye pia ni mke wa Abdulwahidi Sykes, ndiye aliyewapa mawazo kina Abdulwahidi, Dossa Aziz na Abass wamwendee Mtumwa Kitete na kumjulisha juu ya hatihati ya kukwama kwa safari ya Mwalimu Nyerere kwenda UNO.

Nyumba ya Mtumwa Kitete ilipovunjwa katika mtaa wa “New Street” (Lumumba) pahali ulikopita mtaa wa Mkunguni, alipewa kiwanja akajenga Mwananyamala hadi kifo chake.Wanawake wengine ni Tatu Mzee. Katika kitabu chake cha “TANU Woman: Gender and Culture in the Making of Tanganyika Nationalism, 1955-1965” kilichoandikwa na Susan Geiger anawataja wanawake walioshiriki harakati za ukombozi kuwa ni Halima Khamis, Mwamvita Mnyamani, Salma Ferouz, Mashavu binti Kibonge, Binti Kipara, Mwasaburi Ali na Fatma Abdallah.

Wengine ni Halima Selengia Kinabo, Mwamvita Salim and Zainab Khatibu, Mario Kinabo, Violet Njiro, Elizabeth Gupta, Kanasia Tade Mtenga, Natujwa Daniel Mashamba na Lucy Lameck.Wanawake wanaungana na akina Bibi Titi Mohammed kwenye mapambano ya uhuru ni pamoja na Agnes Sahani, Aziza Lucas, Tunu Nyembo, Halima Ntungi, Mwajuma Msafiri, Pili Juma, Mwamvua Kibonge, Zuhura Mussa na Chausiku Mzee.

Lakini kwa baadhi ya upande wa wanaume waliofanya kazi kwa karibu na Nyerere wakati wa harakati za ukombozi wa Tanganyika ni Saadani Abdul Kandoro, John Rupia, Dk Luciano Tsere, Makisi Mbwana, Mwinjuma Mwinyikambi, Idd Tulio, Jumbe Tambaza, Idd Tosiri, Fauzi Mafongo, Salum Abdallah, Dk Joseph Mutahangarwa, Abubakar Mwilima, Dk Vedasto Kyaruzi, Dk Wilbard Mwanjisi, George Magembe, Dunstan Omari na Zuberi Mtemvu."

Chanzo: Miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika – Kiongozi

Wanamajlis,
Mtaniwia radhi kwa kujipigia tarumbeta lakini huyo hapo juu
Salum Abdallah ndiyo babu yangu.

Ahsante sana kwa historia iliyojaa ukweli, Huyo Iddi Tulio ni babu yangu na alifariki 1972 kama sikosei na Mwanawe ambaye ni Baba yangu Mkubwa yupo Magomeni Kagera.
 
shukurani sana Mzee Mohammed Saidi I ngawa wapo wanaoumia kwa kusema ukweli, ila panapo ukweli uwongo hujitenga.
 
Mimisiowewe,
Nimefurahi sana kusoma kuwa katika hawa mashujaa waliopigania uhuru
wa Tanganyika mmojawapo ni babu yako Mzee Iddi Tulio.

Faraja yangu ni kuwa unanithibitisha katika kile ninachosema.
Nakuomba utufanyie hisani.

Tuwekee picha ya Mzee Tulio hapa Majlis.
 
shukurani sana Mzee Mohammed Saidi I ngawa wapo wanaoumia kwa kusema ukweli, ila panapo ukweli uwongo hujitenga.

Mimisiowewe,
Hakika historia hii inawachoma wengi.
Sababu ya kuwachoma ni kuwa wao hawana historia.

Hawana wanachoweza kueleza.

Angalia hekima za akina Mzee Tulio mwaka 1958 walivyomaliza ugomvi
wa Sheikh Takadir na Nyerere.

Hawakuishia hapo tu hawakutaka hata lile jambo lizungumzwe tena.
Si kama hawakujua kuwa tatizo lipo.

Walijua sana lakini waliona mbali.

Wangeweka hali ya baadae ya Waislam katika Tanganyika huru iwe agaenda
hii ingeleta fitna kubwa.

Imani yao ilikuwa wakati utakapofika tatizo hilo watalishughulikia wakiwa
na serikali yao huru.

Sisi tuna historia ya wazee wetu na hii leo tunaieleza kila mtu aijue.
 
Mtoa mada kama alivyosema mr mohamed hapo juu,mambo mengi ni mwongo .Hana uhakika na mambo yake.Hii ni hatar kwan anapotosha umma wa Tanzania ambao wengine wanajifunzia hapa forum.Mm niseme uwongo wako pale unasema mwalimu Nyerere hajawahi kuendesha gari hata siku moja.Siyo kweli mtoa mafa.Kasome kitabu cha mandela long walk to freedom page 344 to345,Mandela anaandika hivi.We met Julius Nyerere in Dar es salaam in 1962.I recall that he drove himself in a simple car a little Austin.This impressed me so much.Sasa wewe unakuja na uwongo wako sijui umekula maharage ya wapi.Soma vitabu,tatizo munapenda kuongea tu bila evidence.
jamaa ni mzuri wa `kutaipu`, nahisi anataka kueleweshwa mambo, au anapotosha mambo, au kapokea hivyo. ila angeambatanisha vielelezo kuthibitisha maandiko yake, wengi wanaijua historia ya nyerere hasa wakati wa kudai uhuru,
 
Wanamajlis,
Ikiwa baadhi hamjasoma kitabu hiki kisomeni.

Kuna sura inaitwa, "Stick to Knitting. " Waandishi wanasema ikiwa wewe kazi yako ni kibarua wa fundi muashi fanya juhudi ujue vyema kupiga lipu, kunyoosha koplo na kuchanganya cement na udongo ili fundi wako akupe kazi kila siku.
Unatumia ujuzi wa kurembaremba Kiswahili kumkashif mtu-hii sio sawa
 
Utampa elimu nani we pangu pakavu ?
Copy and paste imeshakuwa Elimu tayari?
Siku JF ikifungwa na Wewe unakufa kifo cha mende miguu juu.!
jf imeibua wengi, mzee wetu mohammed alikuwepo kabla ya hii mitandao akiwapa watu historia ya nchi hii, ila watu wameumbwa na ubishi
 
Ha haaa haaa Mohamed Said kumbe unasomesha historia ya Babu yako haya endelea wengine tukidhani hii ndio historia ya Tanganyika kumbe tulikuwa tunakusuka suka bure samahani sana Ustadhi wa Gerezani.

M2mwembamba,
Ikiwa umeipenda historia hii hebu tafakari na kitabu cha Susan Geiger (angalia chini
wino mwekundu uliokoza):

"Chambuzi za historia zinaeleza katika harakati za kudai ukombozi wa Tanganyika haukuhusisha wanaume pekee, bali hata wanawake walikuwa mstari wa mbele kwa hali na mali wakiongozwa na vuguvugu la kisiasa kuanzia Chama cha Waafrika yaani Tanganyika African Association(TAA) na hadi Chama cha TANU-

Mwanamke mwingine ni Mtumwa Kitete, mpika vitumbua na uji aliyekuwa akiishi Mtaa wa “New Street” sasa Lumumba. Huyu alitoa michango mingi ya hali na mali kuchangia TANU. Ndiye anayetajwa na wachambuzi kuwa alitoa mchango wa pesa za mwisho za kuchangia safari ya Mwalimu Julius Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa (UNO), Marekani kueleza kwamba watu wa Tanganyika wapo tayari kwa uhuru na wanaweza kujitawala wenyewe.

Pia Mwamvua Mrisho aliyekuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Umoja wa Wanawake wa TANU, ambaye pia ni mke wa Abdulwahidi Sykes, ndiye aliyewapa mawazo kina Abdulwahidi, Dossa Aziz na Abass wamwendee Mtumwa Kitete na kumjulisha juu ya hatihati ya kukwama kwa safari ya Mwalimu Nyerere kwenda UNO.

Nyumba ya Mtumwa Kitete ilipovunjwa katika mtaa wa “New Street” (Lumumba) pahali ulikopita mtaa wa Mkunguni, alipewa kiwanja akajenga Mwananyamala hadi kifo chake.Wanawake wengine ni Tatu Mzee. Katika kitabu chake cha “TANU Woman: Gender and Culture in the Making of Tanganyika Nationalism, 1955-1965” kilichoandikwa na Susan Geiger anawataja wanawake walioshiriki harakati za ukombozi kuwa ni Halima Khamis, Mwamvita Mnyamani, Salma Ferouz, Mashavu binti Kibonge, Binti Kipara, Mwasaburi Ali na Fatma Abdallah.

Wengine ni Halima Selengia Kinabo, Mwamvita Salim and Zainab Khatibu, Mario Kinabo, Violet Njiro, Elizabeth Gupta, Kanasia Tade Mtenga, Natujwa Daniel Mashamba na Lucy Lameck.Wanawake wanaungana na akina Bibi Titi Mohammed kwenye mapambano ya uhuru ni pamoja na Agnes Sahani, Aziza Lucas, Tunu Nyembo, Halima Ntungi, Mwajuma Msafiri, Pili Juma, Mwamvua Kibonge, Zuhura Mussa na Chausiku Mzee.

Lakini kwa baadhi ya upande wa wanaume waliofanya kazi kwa karibu na Nyerere wakati wa harakati za ukombozi wa Tanganyika ni Saadani Abdul Kandoro, John Rupia, Dk Luciano Tsere, Makisi Mbwana, Mwinjuma Mwinyikambi, Idd Tulio, Jumbe Tambaza, Idd Tosiri, Fauzi Mafongo, Salum Abdallah, Dk Joseph Mutahangarwa, Abubakar Mwilima, Dk Vedasto Kyaruzi, Dk Wilbard Mwanjisi, George Magembe, Dunstan Omari na Zuberi Mtemvu."

Chanzo: Miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika – Kiongozi

Wanamajlis,
Mtaniwia radhi kwa kujipigia tarumbeta lakini huyo hapo juu
Salum Abdallah ndiyo babu yangu.

Last edited by a moderator:
Ha haaa haaa Mohamed Said kumbe unasomesha historia ya Babu yako haya endelea wengine tukidhani hii ndio historia ya Tanganyika kumbe tulikuwa tunakusuka suka bure samahani sana Ustadhi wa Gerezani.
kwahiyo ulitaka amruke baba yake kuelezea historia? wakati alikuwepo kwanye hilo eneo,
 
Back
Top Bottom