Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Bill Cosby,Nakusoma kwa kituo Mzee Mohamed.
Elimu unayotoa hapa Jukwaani Tulitakiwa Tuilipie lkn Kwa Huruma zako unaitoa Bure.
Tunakushkuru Mzee kwa Kutupatia Darasa Murua kabisa.
Hawa watoto vikojozi kina Yericko Nyerere wasikubughudhi kabisa na maneno yao ya Mitaani.
Ktk jamii yyt huwezi kukosa watoto wa Haramu unfortunately hapa Jf wapo wengi tu. Hawajijui hawajitambui lkn kaa ukitambua DARASA LAKO Linasomwa ULIMWENGUNI KOTE JF Ifikapo.
Ktk pita zangu Nimekuta Vijana wa Kitanzania weekend moja Hapa Columbus, OHIO Wamekaa wanatazama Moja ya Lectures zako Kuhusu Historia Ya Uhuru.
Na Kwa pamoja tunasema Ahsanta Mwalimu.
Unachosema ni sawa huyu mpuuzi tu na tapeli wa JF.
Last edited by a moderator:



