babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mambo mengine tunatakiwa kumezea manake ukiyachambua sana unaweza kukuta unapata jibu la lini mleta mada amepata smartphone! Hiyo video ni ya zamani kweli kweli tena na kuisahau nilishaisahau!!Jamani huyo si Esma anayejulikana hadi amachemka ovyo au?
Bombampenzi/bombampendwaSasa sisi inatuhusu nini
Tupo kwenye kusheherekea bombadia zetu mapanga shaaa
Kashatemwa kitaambo huyo....mbeba pochi nae akatemwa na mwenye mapochi.Huyu binti kuna picha zililetwa hapa kwamba kaolewa na mbeba pochi ya wema hivi bado wakonae au yalisha mshinda?
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.
Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.
Wewe ni mnyakyusa????Sasa Esma nae hajulikani?????
Af diva the bawse hapo mwishon mwa video vepeee[emoji23][emoji23][emoji23]...
We mama wewe mbona unafika mbali hivyo?Mambo mengine jamani
hivi unauhakika gani kama wewe ni mtoto wa baba yako;
au unamtaka mama diamond;
Tinde au igusureLabda mwarabu wa Kayenze au Tinde au akina mwarabu fighter.
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.
Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.
Hapana...Wewe ni mnyakyusa????
Tumia ulicho nacho kupata utakacho....kumbe Esma mwarabu, sasa mbona anatudanganya nywele zake zinarefushwa na yale mafuta anayotangaza Insta.!?
Tinde au igusure