Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

Acheni kumdhalilisha mama wa watu!
Azae na mhindi,mjerumani ni yy!

Muacheni jamani!!!
 
Hata kama ni Muarabu koko yale mambo yao ya asili hawaachi wale
 
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.

Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.

sHE DONT LOOK ARAB TO ME.
 
Labda mwarabu wa Kayenze au Tinde au akina mwarabu fighter.
 
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.

Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.

Haya tumesikia na wewe tuambie mama yako alitoka na nani mpaka ukazaliwa?
 
Back
Top Bottom