Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

Mwaka gani? Ina maana diamond anamtambua kama baba yake?
 
Huyo nae badala ya kutikisika tako zinatikisika nywele
 
Huyu esma siku ingine namuona kama bonge leo namuona kimbau mbau mwenye pic zake tofaut tofaut atume nimuone vizuri
 
Lol nimekimbia mbio nikajua mlinzi wa mondi mwarabu fighter [emoji134] [emoji134]
 
Sasa sisi inatuhusu nini

Tupo kwenye kusheherekea bombadia zetu mapanga shaaa
Wee jamaa naomba uwe rafiki yangu,
Umenchekesha kweli kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa tafsiri ya wazi ni kwamba alikuwa mtu wa kujiuza...kwani kila mtoto na baba yake
 
Huku MATOMBO kuna waarabu kama Esma kibao wanaoga mtoni.
 
Back
Top Bottom