Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

Hili lazima hata Hamad Rashid analijua, sasa inakuwaje MTU mzina kama yule anasimama na kusema maneno kama Yale yakuunga mkono hadharani matokeo yale? Huyu ni mnafiki mkubwa sana, ccm wakiunga mkono hilo linaeleweka sasa yeye toka chama cha upinzani tumweleweje?
Huyo akae huko huko Zanzibar na unafiki wake asiulete Dar anakofanya makazi yake
..Katika Kura hizi 58,732 HRM alipata ngapi?
 
hivi list ya matokeo ya kila kituo ikoje na hao watu laki 3 walioenda kupiga kura walipita njia gani ...mbona palikuwa kimya kutwa nzima ....KAILIMA RAMADHANI Alikuwa anahojiwa bila aibu anawaambia waandishi msione mlikuwa mnaenda vituoni mnakuta kimya ..kuna vituo vingi kufikia saa sita kura wengi walishapiga
Angalia hii form utajua wap zilitoka kura
 

Attachments

  • IMG-20160323-WA0005.jpg
    IMG-20160323-WA0005.jpg
    37.7 KB · Views: 42
Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr. shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr. Shein)

Ishu ikawa je tutamtangazaje Shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC, Jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr. Shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauriana na Dr. Shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini Shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).

Baada ya hapo mwenyekiti wa tume Jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.

C&p
hyu atakuwa kubenea kama sikosei
 
Angalia hii form utajua wap zilitoka kura
Kwi kwi kwi .....mbavu zangu mieee
Nao si wangeweka japo wanafunzi wa form four ?! Hasa angalia huo upofu jamaa washaekewa jumla kuu huko juu wapike wenyewe wameshindwa....kwi kwi kwi

Aione dada yangu mpenzi FaizaFoxy (hivi shule huwa wanakwenda kusoma ujinga?)
 
What shame..'


Ina maana hio karatasi ya jecha ndio nini si jamaa anakwambia hio ni siri?

wewe hujuwi maana ya kupanga matokeo?


Mara hii utaratibu wa kutanguliza kura za urais kwa kila JIMBO hazikufanyika. walikimbilia kumtangaza kwa ujumla.


Aibu ilikuwa kubwa. Licha ya kuwashurutisha wafanyakazi hao wachache waliokwenda waliziharibu.


Ni kweli HARAMU HUZAA HARAMU
kaeni tu kalakabao. kila kitu kwenu haramu kama hamjapata nyinyi.
 
Back
Top Bottom