Siri ya Meya Kinondoni kugombana na Mkurugenzi

Kwakuwa tayari Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es Salaam Amos Makalla ( Mzee wa Masebene ya Congo DR ) ameshawapatanisha inatosha na hizi Ngojera zako za Majungu na Umbea wala hatuzitaki na baki nazo tu Rohoni Kwako na Moyoni Mwako pia sawa?
SUKUMA-GANG roho inawauma, mfuateni mwendazake alipo kama hamuopendi Tanganyika.
 
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣.

Je nini kiini cha mgogoro huo unaodaiwa kumalizwa na Makalla?

UTANGULIZI: Songoro mnyonge ni Diwani wa CCM akitokea Mwananyamala Msisiri, na amejenga nyumba yake kwenye bonde pale karibu na mahakama ya kinondoni na na wanao pafahamu panaitwa BWAWANI-NI ENEO LA SERIKALI, siyo kiwanja ila kavamia kajenga na nyumba yake huzungikwa na maji kila wakati na utaiona ikionyeshwa na ITV , amejenga nyingine Tegeta kwahiyo kipindi cha Mvua hukimbilia Tegeta.
Ni kati ya madiwani waliofuja na wanasadikika kupiga sana fedha za miradi japo hana elimu yeyote.

Sipora Liana ndio master mind, wakala wa SATAN kuiba, kuengua, kuandika barua feki dhidi ya wapinzani, ni SUKUMA-GANG,

1. Kulitokea udanganyifu kwenye malipo ya ukusanyaji wa taka. Wenyeviti wa mitaa wakishirikiana na watendaji walikusanya fedha lakini wakatoa risiti zenye figures pungufu. Mkurugenzi akaagiza wakamatwe. Lakini katika hali ya kushangaza watendaji wakachiwa, wakabaki wenyeviti na wajumbe peke yao. Ikaonekana ni double standards. Kwanini kosa wafanye wote lakini wengine waachiwe na wengine washikiliwe?

Wenyeviti wakiwa rumande wakawalilia madiwani wao. Madiwani wakamhoji Mkurugenzi. Akajibu kuwa watendaji walipewa dhanana. Lakini jambo la kustaajabisha Wenyeviti walipoomba dhamana walinyimwa. Mkurugenzi anadaiwa kutoa maelekezo wasitoke hadi sikukuu ya Eid ipite.

Meya akaingilia kati. Akamwambia Mkurugenzi ni kosa kuweka watu ndani siku 5 bila kuwapeleka mahakani. Kama wanatuhumiwa kula pesa za taka wafunguliwe mashtaka na wapelekwe mahakamani. Otherwise wapigiwe hesabu walipe waachiwe. Kukatokea mabishano. Mgogoro ukatiwa ndimu.

2. Mwaka jana Halamshauri hiyo ilitenga Bilioni 1.5 kujenga vyumba vya madarasa ktk shule mbalimbali. Lakini Baraza la madiwani walipokagua walikuta shule nyingi ujenzi haujakamilika. Shule moja walikuta ujenzi upo kwenye hatua ya msingi. Wakatahamaki kwa sababu ujenzi huo unatakiwa kukamilika kabla mwaka mpya wa fedha yani July 1.

Wakamuuliza Mwalimu mkuu akajibu kuwa hajaletewa fedha kutoka Halmashauri. Mkurugenzi aliposikia hivyo akampigia simu mwalimu huyo na kumpa vitisho. Mwalimu akamrekodi na kumtumia Meya. Meya akamuuliza Mkurugenzi kwanini unatisha walimu? Je mwalimu huyo alifanya kosa gani kusema hajapelekewa pesa?

Mkurugenzi akaeleza kuwa Mwalimu huyo alimletea dokezo juzi, hivyo kulaumiwa kwa kutopeleka hela ni kumuonea. Lakini nyaraka zinaonesha kuwa dokezo lipo ofisi ya Mkurugenzi tangu mwezi April. Kama alipewa dokezo April lakini anasema ni "juzi" je alitaka apewe lini ili aone hajaonewa? Mgogoro ukaendelea.

3. Mkurugenzi ametoa tuhuma kuwa Halmashauri ina genge la wezi. Tuhuma hizo ni za mara kwa mara. Meya akamwambia si jambo la busara kila wakati Mkurugenzi kulalamika. Ni vizuri ataje hilo genge la wezi na tuhuma zao ili wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria. Lakini kulalamika kwamba kuna genge la wezi halafu huchukui hatua yoyote si sahihi. Mgogoro ukazidi.

4. Mkurugenzi kujihisi yupo juu ya Meya alisema "mimi natekeleza maagizo kutoka juu, kwenye mamlaka iliyoniteua". Meya akamwambia sheria ya serikali za mitaa no.8 ya mwaka 1982 inamtaka Mkurugenzi kutekeleza maagizo ya baraza la madiwani, sio mamlaka ya uteuzi. Mkurugenzi kusikia hivyo akapanic na kusema "nina sms ya maelekezo kutoka juu nitaisoma mwisho wa kikao" Meya akamuuliza unamtisha nani? Mgogoro ukazidi kukolezwa moto.

#MyTake:
Ni bahati mbaya sana kwamba Wakurugenzi wengi hawajui mipaka ya utendaji wao. Kuna wakurugenzi wana-behave kama maDC, wengine kama mameya, wengine kama maDAS, wengine kama wenyeviti wa CCM wilaya. Yani kila mmoja na akili zake zinavyomtuma. Wakurugenzi wachache sana wanaowaheshimu wenyeviti wao wa halmashauri/Mameya na kujua kwamba hao ndio maboss zao. Kuna wakurugenzi hudhani wanaweza kutoa amri hata kwa vyombo vya dola . Futuhi.!

Sipora alipokua Mkurugenzi wa jiji alimsumbua sana Meya Isaya Mwita. Na kwa kuwa Isaya alitokana na Chadema basi Sipora hakumpa nidhamu anayostahili. Alimburuza na wakati mwingine walibishana hadi kwenye vikao. Kuna siku Sipora alimwambia Isaya "mimi ndiye boss wa jiji la Dar" Nikacheka sana. Nikasema kumbe huyu mama hajui Meya ni boss wake 🤣.

USHAURI.

Kuna haja ya kufanya marekebisho ya sheria ili Wakurugenzi waajiriwe katika level za halmashauri. Tumpunguzie Rais mzigo wa kufanya teuzi. Nafasi za Ukurugenzi zitangazwe na Halmashauri husika, watu wenye sifa waombe. Baada ya usaili atakayeajiriwa anaripoti kwa baraza la madiwani kama mamlaka yake ya kazi na nidhamu. Awajibike kwa maslahi ya halmashauri husika. Kwa kufanya hivyo itapunguza migogoro na itasaidia halmashauri nyingi kupiga hatua za kimaendeleo.
Maelezo yako yamenyooka na nimeyapenda, hata kama ni majungu basi ni majungu yaliyokwenda skuli. Sipora Liana!!
Mama anayependa kusikika kwa Mabifu kama Shilole. Mwanamke mwenye mawazo mgando kwamba ili uonekane Mkurugenzi mzuri basi waumize wapinzani au wanaoonekana watenda haki.
Sipira Liana;
Mwanamke kiburi anayeamini hakuna wa kumfanya chochote kwa vile yuko upande wa system.
Safari hii hatimaye ameonekana udhaifu wake baada ya kukosa mpinzani wa kuonea ameamua kuwarudi aliowabeba. Anafanya hivyo akiwa anajua wazi hakuna wa kumgusa maana yeye ndiye aliyewaweka hapo kwa kura za wizi. Watamwambia nini wakati ushindi wao haramu akiyeuhalalisha ni yeye?
 
Hao waliowachagua hao madiwani wakomba pesa ndio waliona wanawafaa.
HAKUNA UCHAGUZI, kura ziliibwa nchi nzima acha kuhalalisha damu isiyo na hatia wewe.
Unaweza kwenda kanisani kumshukuru Mungu kwa ushindi kweli ? acheni dhihaka kwa Mungu
 
Magufuli aliharibu kila kitu.Haya hayakuwepo, Wacha Mungu atende kazi yake. Tungelikuwa wapi kama Mungu asingelite da kazi yake. Liana aliwatesa sana wapinzani. Sukuma gang, naye atapigwa chinni, tusubiri uteuzi
Una umri gani?
 
Wenyewe kwa wenyewe wanapalulana sisi kimyaa si wapinzani wanachelewesha maendeleo
 
Kale kamama inaonekana hata kutoa unyumba kwa mume wake ni ka tata sana
 
Mkuu tatizo lililopo ni serikali kuu kuingilia mamlaka ya serikali za mitaa kwa kujua au kutokujua, kimsingi, kama serikali za mitaa zingekuwa na mamlaka yake kamili zingekuwa zinaajiri kila mtumishi kuanzia mkurugenzi kwenye maeneo yao. Inavyoonekana sasa serikali kuu imechukua vyanzo vingi vya mapato vya halmashauri na kuna halmashauri zinaweza zisijiendeshe endapo serikali isingetoa ruzuku kugharamia shughuli mbalimbali......sasa mkurugenzi anajikuta anawajibika kwa rais aliyemteua, ina maana serikali kuu na hapo hapo anawajibika kwa baraza la madiwani. Je, ni wapi mizania inatakiwa iwekwe ili mkurugenzi asionekane analiburuza baraza la madiwani, kwa mamlaka aliyonayo kutokana na nafasi yake ya uteuzi kutokea ndani ya serikali kuu....
 
Mkurugenzi wa halmashauri anatakiwa aajiriwe na halmashauri.Kuteuliwa wakurugenzi na mamlaka nyingine ni dosari kubwa sana ya katiba tuliyo nayo.
Hivi vyeo vingine Rais wampunguzie uteuzi...viwe watu wanaapply na vyombo vilivyo safi na umakini vitumike kuwapata na kwa transparency,na kuhakikisha due deligency na vetting kama nchi zingine zilizo serious kwenye mambo ya uongozi.....kazi iendelee.
 
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣.

Je nini kiini cha mgogoro huo unaodaiwa kumalizwa na Makalla?

UTANGULIZI: Songoro mnyonge ni Diwani wa CCM akitokea Mwananyamala Msisiri, na amejenga nyumba yake kwenye bonde pale karibu na mahakama ya kinondoni na na wanao pafahamu panaitwa BWAWANI-NI ENEO LA SERIKALI, siyo kiwanja ila kavamia kajenga na nyumba yake huzungikwa na maji kila wakati na utaiona ikionyeshwa na ITV , amejenga nyingine Tegeta kwahiyo kipindi cha Mvua hukimbilia Tegeta.
Ni kati ya madiwani waliofuja na wanasadikika kupiga sana fedha za miradi japo hana elimu yeyote.

Sipora Liana ndio master mind, wakala wa SATAN kuiba, kuengua, kuandika barua feki dhidi ya wapinzani, ni SUKUMA-GANG,

1. Kulitokea udanganyifu kwenye malipo ya ukusanyaji wa taka. Wenyeviti wa mitaa wakishirikiana na watendaji walikusanya fedha lakini wakatoa risiti zenye figures pungufu. Mkurugenzi akaagiza wakamatwe. Lakini katika hali ya kushangaza watendaji wakachiwa, wakabaki wenyeviti na wajumbe peke yao. Ikaonekana ni double standards. Kwanini kosa wafanye wote lakini wengine waachiwe na wengine washikiliwe?

Wenyeviti wakiwa rumande wakawalilia madiwani wao. Madiwani wakamhoji Mkurugenzi. Akajibu kuwa watendaji walipewa dhanana. Lakini jambo la kustaajabisha Wenyeviti walipoomba dhamana walinyimwa. Mkurugenzi anadaiwa kutoa maelekezo wasitoke hadi sikukuu ya Eid ipite.

Meya akaingilia kati. Akamwambia Mkurugenzi ni kosa kuweka watu ndani siku 5 bila kuwapeleka mahakani. Kama wanatuhumiwa kula pesa za taka wafunguliwe mashtaka na wapelekwe mahakamani. Otherwise wapigiwe hesabu walipe waachiwe. Kukatokea mabishano. Mgogoro ukatiwa ndimu.

2. Mwaka jana Halamshauri hiyo ilitenga Bilioni 1.5 kujenga vyumba vya madarasa ktk shule mbalimbali. Lakini Baraza la madiwani walipokagua walikuta shule nyingi ujenzi haujakamilika. Shule moja walikuta ujenzi upo kwenye hatua ya msingi. Wakatahamaki kwa sababu ujenzi huo unatakiwa kukamilika kabla mwaka mpya wa fedha yani July 1.

Wakamuuliza Mwalimu mkuu akajibu kuwa hajaletewa fedha kutoka Halmashauri. Mkurugenzi aliposikia hivyo akampigia simu mwalimu huyo na kumpa vitisho. Mwalimu akamrekodi na kumtumia Meya. Meya akamuuliza Mkurugenzi kwanini unatisha walimu? Je mwalimu huyo alifanya kosa gani kusema hajapelekewa pesa?

Mkurugenzi akaeleza kuwa Mwalimu huyo alimletea dokezo juzi, hivyo kulaumiwa kwa kutopeleka hela ni kumuonea. Lakini nyaraka zinaonesha kuwa dokezo lipo ofisi ya Mkurugenzi tangu mwezi April. Kama alipewa dokezo April lakini anasema ni "juzi" je alitaka apewe lini ili aone hajaonewa? Mgogoro ukaendelea.

3. Mkurugenzi ametoa tuhuma kuwa Halmashauri ina genge la wezi. Tuhuma hizo ni za mara kwa mara. Meya akamwambia si jambo la busara kila wakati Mkurugenzi kulalamika. Ni vizuri ataje hilo genge la wezi na tuhuma zao ili wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria. Lakini kulalamika kwamba kuna genge la wezi halafu huchukui hatua yoyote si sahihi. Mgogoro ukazidi.

4. Mkurugenzi kujihisi yupo juu ya Meya alisema "mimi natekeleza maagizo kutoka juu, kwenye mamlaka iliyoniteua". Meya akamwambia sheria ya serikali za mitaa no.8 ya mwaka 1982 inamtaka Mkurugenzi kutekeleza maagizo ya baraza la madiwani, sio mamlaka ya uteuzi. Mkurugenzi kusikia hivyo akapanic na kusema "nina sms ya maelekezo kutoka juu nitaisoma mwisho wa kikao" Meya akamuuliza unamtisha nani? Mgogoro ukazidi kukolezwa moto.

#MyTake:
Ni bahati mbaya sana kwamba Wakurugenzi wengi hawajui mipaka ya utendaji wao. Kuna wakurugenzi wana-behave kama maDC, wengine kama mameya, wengine kama maDAS, wengine kama wenyeviti wa CCM wilaya. Yani kila mmoja na akili zake zinavyomtuma. Wakurugenzi wachache sana wanaowaheshimu wenyeviti wao wa halmashauri/Mameya na kujua kwamba hao ndio maboss zao. Kuna wakurugenzi hudhani wanaweza kutoa amri hata kwa vyombo vya dola . Futuhi.!

Sipora alipokua Mkurugenzi wa jiji alimsumbua sana Meya Isaya Mwita. Na kwa kuwa Isaya alitokana na Chadema basi Sipora hakumpa nidhamu anayostahili. Alimburuza na wakati mwingine walibishana hadi kwenye vikao. Kuna siku Sipora alimwambia Isaya "mimi ndiye boss wa jiji la Dar" Nikacheka sana. Nikasema kumbe huyu mama hajui Meya ni boss wake 🤣.

USHAURI.
Kuna haja ya kufanya marekebisho ya sheria ili Wakurugenzi waajiriwe katika level za halmashauri. Tumpunguzie Rais mzigo wa kufanya teuzi. Nafasi za Ukurugenzi zitangazwe na Halmashauri husika, watu wenye sifa waombe. Baada ya usaili atakayeajiriwa anaripoti kwa baraza la madiwani kama mamlaka yake ya kazi na nidhamu. Awajibike kwa maslahi ya halmashauri husika. Kwa kufanya hivyo itapunguza migogoro na itasaidia halmashauri nyingi kupiga hatua za kimaendeleo.
Nakubaliana na ushauri wako. Kwani hakuna Job description ya ded? Au kwa vile wanateuliwa na raisi ndiyo wanakuwa na kiburi kiasi hicho? Kazi zingine wawe wanatupa sisi tuwafundishe kazi.
 
Tanzania Mtu akiteuliwa tu na Rais,Basi na yeye hujiona kama nae ni Rais,tena anakuwa mbabe sana kuliko hata Rais mwenyewe!!
 
Maelezo yako yamenyooka na nimeyapenda, hata kama ni majungu basi ni majungu yaliyokwenda skuli. Sipora Liana!!
Mama anayependa kusikika kwa Mabifu kama Shilole. Mwanamke mwenye mawazo mgando kwamba ili uonekane Mkurugenzi mzuri basi waumize wapinzani au wanaoonekana watenda haki.
Sipira Liana;
Mwanamke kiburi anayeamini hakuna wa kumfanya chochote kwa vile yuko upande wa system.
Safari hii hatimaye ameonekana udhaifu wake baada ya kukosa mpinzani wa kuonea ameamua kuwarudi aliowabeba. Anafanya hivyo akiwa anajua wazi hakuna wa kumgusa maana yeye ndiye aliyewaweka hapo kwa kura za wizi. Watamwambia nini wakati ushindi wao haramu akiyeuhalalisha ni yeye?
SIYO MAJUNGU, hizi ni habari za ndani kabisa ambazo akina paschal mayala walipaswa kuziibua, hii nchi imeoza sana na huyu mama alikuwa kiongozi mkuu wa kufundisha genge la wakurugenzi namna ya kuhujumu chaguzi, Msimtetee.
 
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣.

Je nini kiini cha mgogoro huo unaodaiwa kumalizwa na Makalla?

UTANGULIZI: Songoro mnyonge ni Diwani wa CCM akitokea Mwananyamala Msisiri, na amejenga nyumba yake kwenye bonde pale karibu na mahakama ya kinondoni na na wanao pafahamu panaitwa BWAWANI-NI ENEO LA SERIKALI, siyo kiwanja ila kavamia kajenga na nyumba yake huzungikwa na maji kila wakati na utaiona ikionyeshwa na ITV , amejenga nyingine Tegeta kwahiyo kipindi cha Mvua hukimbilia Tegeta.
Ni kati ya madiwani waliofuja na wanasadikika kupiga sana fedha za miradi japo hana elimu yeyote.

Sipora Liana ndio master mind, wakala wa SATAN kuiba, kuengua, kuandika barua feki dhidi ya wapinzani, ni SUKUMA-GANG,

1. Kulitokea udanganyifu kwenye malipo ya ukusanyaji wa taka. Wenyeviti wa mitaa wakishirikiana na watendaji walikusanya fedha lakini wakatoa risiti zenye figures pungufu. Mkurugenzi akaagiza wakamatwe. Lakini katika hali ya kushangaza watendaji wakachiwa, wakabaki wenyeviti na wajumbe peke yao. Ikaonekana ni double standards. Kwanini kosa wafanye wote lakini wengine waachiwe na wengine washikiliwe?

Wenyeviti wakiwa rumande wakawalilia madiwani wao. Madiwani wakamhoji Mkurugenzi. Akajibu kuwa watendaji walipewa dhanana. Lakini jambo la kustaajabisha Wenyeviti walipoomba dhamana walinyimwa. Mkurugenzi anadaiwa kutoa maelekezo wasitoke hadi sikukuu ya Eid ipite.

Meya akaingilia kati. Akamwambia Mkurugenzi ni kosa kuweka watu ndani siku 5 bila kuwapeleka mahakani. Kama wanatuhumiwa kula pesa za taka wafunguliwe mashtaka na wapelekwe mahakamani. Otherwise wapigiwe hesabu walipe waachiwe. Kukatokea mabishano. Mgogoro ukatiwa ndimu.

2. Mwaka jana Halamshauri hiyo ilitenga Bilioni 1.5 kujenga vyumba vya madarasa ktk shule mbalimbali. Lakini Baraza la madiwani walipokagua walikuta shule nyingi ujenzi haujakamilika. Shule moja walikuta ujenzi upo kwenye hatua ya msingi. Wakatahamaki kwa sababu ujenzi huo unatakiwa kukamilika kabla mwaka mpya wa fedha yani July 1.

Wakamuuliza Mwalimu mkuu akajibu kuwa hajaletewa fedha kutoka Halmashauri. Mkurugenzi aliposikia hivyo akampigia simu mwalimu huyo na kumpa vitisho. Mwalimu akamrekodi na kumtumia Meya. Meya akamuuliza Mkurugenzi kwanini unatisha walimu? Je mwalimu huyo alifanya kosa gani kusema hajapelekewa pesa?

Mkurugenzi akaeleza kuwa Mwalimu huyo alimletea dokezo juzi, hivyo kulaumiwa kwa kutopeleka hela ni kumuonea. Lakini nyaraka zinaonesha kuwa dokezo lipo ofisi ya Mkurugenzi tangu mwezi April. Kama alipewa dokezo April lakini anasema ni "juzi" je alitaka apewe lini ili aone hajaonewa? Mgogoro ukaendelea.

3. Mkurugenzi ametoa tuhuma kuwa Halmashauri ina genge la wezi. Tuhuma hizo ni za mara kwa mara. Meya akamwambia si jambo la busara kila wakati Mkurugenzi kulalamika. Ni vizuri ataje hilo genge la wezi na tuhuma zao ili wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria. Lakini kulalamika kwamba kuna genge la wezi halafu huchukui hatua yoyote si sahihi. Mgogoro ukazidi.

4. Mkurugenzi kujihisi yupo juu ya Meya alisema "mimi natekeleza maagizo kutoka juu, kwenye mamlaka iliyoniteua". Meya akamwambia sheria ya serikali za mitaa no.8 ya mwaka 1982 inamtaka Mkurugenzi kutekeleza maagizo ya baraza la madiwani, sio mamlaka ya uteuzi. Mkurugenzi kusikia hivyo akapanic na kusema "nina sms ya maelekezo kutoka juu nitaisoma mwisho wa kikao" Meya akamuuliza unamtisha nani? Mgogoro ukazidi kukolezwa moto.

#MyTake:
Ni bahati mbaya sana kwamba Wakurugenzi wengi hawajui mipaka ya utendaji wao. Kuna wakurugenzi wana-behave kama maDC, wengine kama mameya, wengine kama maDAS, wengine kama wenyeviti wa CCM wilaya. Yani kila mmoja na akili zake zinavyomtuma. Wakurugenzi wachache sana wanaowaheshimu wenyeviti wao wa halmashauri/Mameya na kujua kwamba hao ndio maboss zao. Kuna wakurugenzi hudhani wanaweza kutoa amri hata kwa vyombo vya dola . Futuhi.!

Sipora alipokua Mkurugenzi wa jiji alimsumbua sana Meya Isaya Mwita. Na kwa kuwa Isaya alitokana na Chadema basi Sipora hakumpa nidhamu anayostahili. Alimburuza na wakati mwingine walibishana hadi kwenye vikao. Kuna siku Sipora alimwambia Isaya "mimi ndiye boss wa jiji la Dar" Nikacheka sana. Nikasema kumbe huyu mama hajui Meya ni boss wake 🤣.

USHAURI.
Kuna haja ya kufanya marekebisho ya sheria ili Wakurugenzi waajiriwe katika level za halmashauri. Tumpunguzie Rais mzigo wa kufanya teuzi. Nafasi za Ukurugenzi zitangazwe na Halmashauri husika, watu wenye sifa waombe. Baada ya usaili atakayeajiriwa anaripoti kwa baraza la madiwani kama mamlaka yake ya kazi na nidhamu. Awajibike kwa maslahi ya halmashauri husika. Kwa kufanya hivyo itapunguza migogoro na itasaidia halmashauri nyingi kupiga hatua za kimaendeleo.
Hii makala umeiandika kama Boniface Jacob!
 
Maelezo yako yamenyooka na nimeyapenda, hata kama ni majungu basi ni majungu yaliyokwenda skuli. Sipora Liana!!
Mama anayependa kusikika kwa Mabifu kama Shilole. Mwanamke mwenye mawazo mgando kwamba ili uonekane Mkurugenzi mzuri basi waumize wapinzani au wanaoonekana watenda haki.
Sipira Liana;
Mwanamke kiburi anayeamini hakuna wa kumfanya chochote kwa vile yuko upande wa system.
Safari hii hatimaye ameonekana udhaifu wake baada ya kukosa mpinzani wa kuonea ameamua kuwarudi aliowabeba. Anafanya hivyo akiwa anajua wazi hakuna wa kumgusa maana yeye ndiye aliyewaweka hapo kwa kura za wizi. Watamwambia nini wakati ushindi wao haramu akiyeuhalalisha ni yeye?
Kwa ule uongeaji atakuwa ni single mother. Hakuna mwanaume ataishi na mwanamke jeuri vile maana kila siku atakuwa ana kushawishi kumbutua makofi na kumpa kichapo.
 
Mkurugenzi wa halmashauri anatakiwa aajiriwe na halmashauri.Kuteuliwa wakurugenzi na mamlaka nyingine ni dosari kubwa sana ya katiba tuliyo nayo.

Halmashauri ya Kinondoni iajiri Mkurugenzi? Wataajiri muuza madawa ya kulevya mwenzao!!! Utaratibu huu ni mzuri ili mradi madiwani wachaguliwe kwa haki na wananchi!! Matatizo yanakuja pale madiwani wote ni waccm na wanajuana wizi wao hivyo wanashindana!!!
 
Back
Top Bottom