Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Mkurugenzi (DED) ndiye mwajiri kwa ngazi ya halmashauri. Sasa, ikiwa ni kazi ya kuomba halmshauri, nani atapitia maombi?? Nani atakuwa mwajiri?RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣....
Ndio maana hizi ni nafasi za uteuzi mkuu. Tatizo ni madiwani kuvutia maslahi yao, na mkurugenzi naye vivyohivyo. Na ndio hasa chanzo cha migogoro mingi.