Mkurugenzi (DED) ndiye mwajiri kwa ngazi ya halmashauri. Sasa, ikiwa ni kazi ya kuomba halmshauri, nani atapitia maombi?? Nani atakuwa mwajiri?RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha π€£....
Kwahiyo unatetea haya mambo?Kwakuwa tayari Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es Salaam Amos Makalla ( Mzee wa Masebene ya Congo DR ) ameshawapatanisha inatosha na hizi Ngojera zako za Majungu na Umbea wala hatuzitaki na baki nazo tu Rohoni Kwako na Moyoni Mwako pia sawa?
Wakiajiriwa na Halmashauli husika itasaidia sana kwenye chaguzi.Ushauri mzuri Sana huu lkn CCM wataupinga. CCM ni vichaa.
Kila mwaka tunasherehekea siku ya uhuru, lakini ukweli ni kwamba bado tuna tawaliwa. Na mbaya zaidi tunatawaliwa na kaburu mweusi (CCM).RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha π€£....
CCM si KABURU , bado tunaitafutia jina, maana wezi wamepatanishwa na wameambiwa wagombane ofisini si kwenye kamera, wale taratibu bila kugusa wanyonge.Kila mwaka tunasherehekea siku ya uhuru, lakini ukweli ni kwamba bado tuna tawaliwa. Na mbaya zaidi tunatawaliwa na kaburu mweusi (CCM).
Yaani wezi wa fedha za wananchi wanapatanishwa ili waendelee kuiba kwa maelewano badala ya kuchukuliwa hatua?
Haijalishi ni miaka mingapi ijayo lakini uhuru wa kweli uenda ukapatikana pale CCM itakapo ondolewa madarakani.
SUKUMA GANG, bado wanajishikiza , hawaamini mahco yao.Kwahiyo unatetea haya mambo?
Hakika CCM hamjifichi!
Yes, Pia ndiye aliiba kura kule kigoma wakati flani, huwa anapelekwa maeneo korofi kwa kazi maalum.