Boss-
Watumishi wa serikali ya Bongo tunalipana mishahara midogo sana (sidhani kama rahisi ana tofauti sana) Yet tunajilundikia malipo mengi kwenye marupurupu eg per diem, night out allowances, sitting allowances na ma-allowances mengine ya ajabu ajabu ambayo hata kodi hayakatwi. Huku ni kujidanganya na ndio maana ukienda kwenye ofisi yoyote ya serikali hukuti watu maofisini. Wote wanapiga misele nje ya vituo vyao kujazia kipato. Ambao hawasafiri ndio wadai rushwa wakubwa. Tuweke mishahara inayokidhi haja ubabaishaji utaisha.
Having said that, wekeni nje mshahara wa mkulu tuujadili basi.Come on people.
JAMANI MIMI NALIPWA 1,800,000/= bila malupu lupu
makato kwa mujibu wa sheria ni kama hivi :
PAYE sh 418,585/=
NSSF sh 180,000/=
Net pay =1,201,415
Mke wangu analilpwa sh 830,000/=
Statutory deduction nia kama
PAYE = 150,000/=
NSSF= 80,0000/=
Net pay= 600,000
Kwa hiyo mimi na wife tuna net income ~1,800,000/= (baada ya kodi na NSSF)
Na bajeti yetu kwa mwezi ni kama (kwa vile vitu muhimu):
Kulipia Mkopo wa gari kule BANK( Toyota Vitz) = 350,000/=
Pango ya Nyumba kwa mwezi (upande) = 250,000/=
Gasoline = 200,000/=
chakula Mchana(Mimi na wife kazini), 3500X5X4x2 = 140,000/
Account ya ELimu mtoto (kwa kulipia ADA) = 100,000/=
Shooping ya Matumiza ya Nyumba kwa mwezi
(for non perisable goods) = 200,000/=
Pesa inayoachwa home kila siku 10,000X30 = 300,000/=
TOTAL = 1,500,000/=
Tuna baki na sh 300,000/ kwa mambo mengine na hatuwezi kusave hata kidogo, mimi nafikiria niache kazi niwe mjasiri wa mali maana naona hizi ajira bogo ni uzushi tu , mpaka uibe ndo ufanikiwe
Kwa hiyo mnaona hali halisi
Mimi na Mke wangu wote Magraduate na hali ndo hiyo
Lakina kuna jirani yangu hapa anafanya kazi NEMC na Mkewe anafanya wizara fulani
wao mishahara yao ile basic ukiijumlisha ndio sawa msharaha wa wife peke yake
lakini wenzetu kila siku ni safari za nje , kwa hiyo Nyumba wanayoishi Ghorofa wamenjenga wenyewe na wana Magari 2 LAV4 na Nissan X-trail
Kwa hiyo issue sio Kiwango cha Mshahara bali ni nafasi ya jina lako kuzungukwa na makando kando kama mzee wa vijisent
Mfumoko wa bei na kodi kubwa kwa wafanyakazi ni issue
Hiyo mishahara ya mawaziri na viongozi waandamizi serilikalini ni vungu tu
Income yao kubwa sio mishahara ni makando kando
Hata Rais akilipwa sh 10,000/= provided makando kando bado yanaendekezwa Mshahara huo unatosha sana