Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hulka ya raisi mwenyewe kutaka kuanika mshahara wake ila kama una mizengwe ya apa na pale hautakaa uujue watakwambia ni siri
suala lake sio mshaara, maana mshaara waweza kuwa ni 100,000 lakini matumizi mengine ambayo serikali inaingia kwake.mana yeye ndio aneiendesha nchi na ndie anaetoa amri sio mwingine...Ni hulka ya raisi mwenyewe kutaka kuanika mshahara wake ila kama una mizengwe ya apa na pale hautakaa uujue watakwambia ni siri
suala lake sio mshaara, maana mshaara waweza kuwa ni 100,000 lakini matumizi mengine ambayo serikali inaingia kwake.mana yeye ndio aneiendesha nchi na ndie anaetoa amri sio mwingine...
wale wasaidizi wakipewa oda alafu wasifanye ipasavyo ndo uwa unakuta mtu anahamishwiwa kwingine au anapotezwa tu katika nafasi aliyonayo..
kwa ufupi mshahara uwa wanaufanya siri na hata kwa wanaoujua uwa hawajui allowance nyingine
Najua mpaka wakati Ali Hassan Mwinyi anatoka kwenye urais total package kwa mwezi ilikuwa Tshs 30m.
Ni muda mrefu umepita sijajua kwa sasa total package kwa mwezi ni shilingi ngapi
Kuna siku nigoogle dunia nzima ili nione mkwere analipwa ngapi in vain. Sijaona sababu ya msini ya kutufanya tusifahamu ni ngapi analipwa. Ukiuliza usishangae kuambiwa NI KWA USALAMA WA TAIFA, so what?
Najua mpaka wakati Ali Hassan Mwinyi anatoka kwenye urais total package kwa mwezi ilikuwa Tshs 30m.
Ni muda mrefu umepita sijajua kwa sasa total package kwa mwezi ni shilingi ngapi
Nimejaribu kweka salaries za maraisi wa nchi za africa na kule US unachatoakiawa kijaribu kuangalia possibility TZ tutakuwa na mshahara kiasi gani kwa Rais.
Kwa nini tujaribu kuangalia uwezekano raisi wetu analipwa mshahara kiasi gani kwa kuangalia maraisi wegine wa nchi jirani wanalipwa kiasi gani? Kilicho kigumu kupata kiasi cha uhakika kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kipi? Sioni sababu yoyote ya kuhisihisi raisi wa Tanzania analipwa msharahara kiasi gani.