Elections 2010 Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

Elections 2010 Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

Kama ni hivi nami nataka kuwa rais ili nikafute sheria hii ili wote wanufaike na rasilimali za taifa sio wengene waliostaafu mika ya 80 leo wanalipwa kiinua mgngo cha shilingi elfu ishirini na moja (21,000) huku wengine wakijichotea hata baada ya kuuza na kujiuzia rasilimali zetu lukuki huku yeye na mkewe wakifaidi rasilimali za taifa .
 
Rais Kibaki analipwa paundi 280,000 wanaojua mahesabu wanaweza calculate, JK inaonekana bado ni siri sana!

hii ya kenya soma hapa



Corrections,

In December parliament voted to nearly triple Mr Kibaki's salary, taking his total package to £280,000. After a public outcry the president, whose family is one of the richest in Kenya, refused the award.



.
 
It seems were are nowhere yet. We are still guessing right? My hypothesis is getting +. No conclusion yet but believe me ,the president is underpaid. Check the Kenyan counterpart, Uganda etc. You may wish to compare it with some Directors like TANROAD BOSS. I am not trying to defend their misdeed like doing business in the white house. Wanasema Simba akizidiwa hula majani.
Boring but fact. president haihitaji kucreate visafari ili apate chochote kama analipwa fresh au vipi wakuu? I sound like defending the president and I hate it, but have to say it.Utumishi saidieni basi kuweka point straight.

we are paying the price of creating uncertainties to the decision makers, hata kama ningepewa urais leo if incase the amount is as mentioned (the average of the mentioned 2m-4m) I would have done the same of what they are blaimed to be doing. Until we confess the social sin we are commiting we will continue with the trend; worse enough it will intensify the struggle for power in the name of the babtism 'helping the poor wananchi' while actually the opposite is true..transfering the uncertainty to the large group (Main tax payers= poor wananchi aka rural peasants).
 
Pesa nyingi yote hivi ya nini?? Umri wa binadamu ni miaka 80 tu! Tz ukiwa na bahati basi miaka 90!

Sasa pesa zote na majumba na magari ya nini?

Halafu kodi ya watu maskini wa kutupwa!!!
 
Pesa nyingi yote hivi ya nini?? Umri wa binadamu ni miaka 80 tu! Tz ukiwa na bahati basi miaka 90!

Sasa pesa zote na majumba na magari ya nini?

Halafu kodi ya watu maskini wa kutupwa!!!

Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SDD1-09.
 
Tunaweza kuwa na sheria zote nzuri ambazo tunazijua duniani lakini kama hazikidhi mahitaji ya jamii inayohusika bado hazina msaada kwani hazitekelezeki katika reality context.

So as for me kulipa au kutokulipa kodi kwa rais sioni tatizo tatizo lipo kwetu sote tunapoamua kutofikirisha vichwa vyetu ili kumpa Rais alternatives zitakazosidia the whole society (To reduce poverty for its not a secret we are income poor) badala yake individualism imetawala na self interests huku tukifanya unafiki kwa Rais ili kulinda images zetu.

Sidhani kama mtu akimshauri Rais alternatives ambazo pia zina linda maslahi yake binafsi atakataa, maslahi binafsi na maana ya zile za personality na basic needs plus life insurance zake as an individual na zile za kitaasisi bila kuwa na hidden agenda nyuma yake kama political gains or gaining opportunities ambazo ziko far tu social optimal. Tatizo mara nyingi tunavaa ngozi za kondoo na kumbe tu mbwa mwitu wakali na Rais kama human being lazima a calculate risks involved katika kuchukua hatua ya either kukubali au kukataa ushauri.

This is true to any human being hata kama ungekuwa wewe kama sivyo kwanini tunatoa maoni kwakuficha Identity zetu? Because we are rational we have calculated the risks and decided to take a position where risk is minimum.

Nikiwa upinzani nitataja jina ili kugain politically issues ambazo zitaniwezesha kufanya hivyo; nikiwa in the rulling then if not influancial nita take cover na wengine tupo hatuna position ila experience ita determine.
 
Che Nkapa anaomba Mungu asipelekwe mahakamani tu .....ila. Anaishi kama yuko peponi..na aizoiba ndio balaa kabisa mipesa yote ya nini sasa??heri angegawia yatima waemekwiba saba Anna wake.
 
Nimeshajua kwa kina zaidi kwa nini nchi hii iko hivi ilivyo.

Ndio maana wagombea uRais wanatumia njia yoyote kushinda uchaguzi. Ndio maana wako tayari kuua wapiga kura, kutumia mabillioni ya fedha kushinda n.k.

Kumbe!!!!!!!!!!

Safari ni ndefu sana, sana, sana, sana...........I see!!!!
 
Mbona tunamuandama Mkapa peke yake? Mwinyi nae si anapata hizo hizo? Bado hatujaangalia mwawaziri wakuu wastaafu, wakina Sumaye, Salim Ahmed Salim, Warioba, Malecela, Kawawa.....! Halafu maspika, majaji wakuu n.k. Wote hawa wanavuta. Katika nchi ambayo kwa kila kipimo ni masikini wa kutupwa!

Hivi laundry man na domestic servant hawawezi kuwa mtu mmoja?

Ninachosikitika kuwa ni katika demokrasia tunayojivunia, mshahara wa viongozi wa juu bado tunafanya siri. Hata jirani zetu wakenya wameweka wazi. Bila huu uwazi hatuwezi kufika popote.

Amandla......
 
- Huko nyuma niliwahi kuyasema haya, hii sheria ilipitishwa kwanza kabisa rais akiwa Mwinyi, baadaye ilifanyiwa marekebisho under Mkapa na waliosuggest huu mswaaada walikuwa wanajikomba kwa Mkapa, ili asiwasahau kwenye ufalme wake wa term ya pili.

- na yalipitishwa baada ya Mkapa kugundua kuwa hawezi kupata term ya tatu kama mkewe alivyotaka baada ya kuunguliwa na nyumba kule Ikulu. Tunahitaji mfano wa US ambao wao wameamua kuanzia Joji Kichaka, watapewa mafao kwa 10 years tu basi no more!

Wazee wa sauti ya umeme FMES!
 
The same for VP, PM, Chief Secretary.. Mnalipia wengi.. Kinyambiss 2025 thts wots UP... I want a crib pale msasani penninsula too!
 
ayo matumizi ma rais wetu wastaafu wanastahili kwa ajili hata wa nchi za nje wanapata hivyo
tatizo pamoja na kuwa na uwakika wa pension wao(mkapa) wanazidi rushwa.......
sasa kwa nini kiwete anaendekeza dili kupitia rostam na wengineo....
 
Imepinda, Nyerere hakusoma M.A LLD (Edin) alisoma Economics and History.
Halafu Makerere alisomea stashahada au shahada?

The wikipedia page needs some editing, wanasema Nyerere alikuwa Mtanzania wa kwanza kusoma katika a British University, kwanza Tanzania haikuwapo, halafu hata kama unaongelea Tanzania ya leo kuna mzee wao kina Mwapachu alisoma Uingereza miaka ya 1920's.

Julius Nyerere - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu Pundit... go on and edit it. Wikipedia as you know is open to editing by anyone as long as you cite your sources.
 
Kama ndivyo hivi, basi kila mmoja wetu walau apate kuwa Rais mara moja maishani......

Kwa kweli mafao haya na malupulupu yote ni kama kufuru vile...

Three words: Poor Tanzania, Shame!!!!!!


SteveD.

hizi ni falsafa za akina socrates, plato, aristotle, n.k. sasa hawa watu (viongozi wetu) wanazitumia vibaya. utaielezeaje hii hali? mtu unapewa kila kitu unachohitaji maishani-life after presidency, bado unalimbikiza. nadhani panahitajika msamiati mwingine.
 
naoana haya mafao anazungumziwa mkapa tu, lakini tujue hata nyerere alikuwa anapata kabla ya kufa na mwinyi yupo kwenye list, ukweli ni kwamba kama kuna raisi alikuwa mwadilifu wakati wa uongozi wake, haya marupurupu sio tatizo kabisa na wananchi tungekuwa radhi,
 
Why do they have to steal from us for God's sake? These guys are simply greedy,selfish and inhuman!!! I am sure God is watching!!!
 
Back
Top Bottom