Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn mkuu, kwani mbaya..?Sijawahi kuipenda shape yake.
hiyo shape balaa kama box
Mmh! Ilo umbo daah.
Mmh! Ilo umbo daah.
Bora kujikubali tu tulivyojaliwa na muumba.
Hahaa. Utawaweza kwa kuongopa. Aibu itampata siku shepu itakapo momonyoka.Alivyo muongo eti anasema ndo kaumbwa hivyo wakati maimartha anasema alimuuzia madawa ya kutengeneza shape na tako