Siri ya shape ya Wema Sepetu ndo hii hapa

Siri ya shape ya Wema Sepetu ndo hii hapa

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Kutokana na Wema Sepetu kubreak internet kwa vazi lake liloonyesha umbo lake umbo/shape matata. Wadau wanauliza hiyo shape imetoka wapi kwasababu mwaka jana alikuwa wakawaida. Camera za shilawadu zikammurika wema anachofanya GYM.

IMG_20170629_130710.jpg
 
Alivyo muongo eti anasema ndo kaumbwa hivyo wakati maimartha anasema alimuuzia madawa ya kutengeneza shape na tako
Mmh! Ilo umbo daah.

Bora kujikubali tu tulivyojaliwa na muumba.
 
Alivyo muongo eti anasema ndo kaumbwa hivyo wakati maimartha anasema alimuuzia madawa ya kutengeneza shape na tako
Hahaa. Utawaweza kwa kuongopa. Aibu itampata siku shepu itakapo momonyoka.
 
Kabreak Internet wapi? mbona mie naitumia hapa na haijabreak ipo poa tu!
 
Back
Top Bottom