Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Jopo la wataalamu wa elimu kutoka Tanzania na Kenya walikuwa wanalijadili hili swala sasa hivi katika BBC Swahili .Wamesema wale wanafunzi wanachoma moto zile shule kwa sababu wako katika msongo wa mawazo,hali mbaya ya shule,usimamizi mbaya wa shule,na sera mbaya za Waziri wao wa Elimu ambaye wamempa jina "Magufuli".
