Siri ya shule kuchomwa moto Kenya imejulikana

Siri ya shule kuchomwa moto Kenya imejulikana

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,451
Jopo la wataalamu wa elimu kutoka Tanzania na Kenya walikuwa wanalijadili hili swala sasa hivi katika BBC Swahili .Wamesema wale wanafunzi wanachoma moto zile shule kwa sababu wako katika msongo wa mawazo,hali mbaya ya shule,usimamizi mbaya wa shule,na sera mbaya za Waziri wao wa Elimu ambaye wamempa jina "Magufuli".
 
Nilidhani utahusisha na mambo ya freemason.

Maana wewe akili zako zimekaa ki-fremason mason...
 
Sasa hawa wakenya wanatutafuta uchokozi yaani wanamwita waziri wao wa elimu Magufuli ????.
 
Hali mbaya ya mabweni Kenya, unawalaza wanafunzi wa sekondari na primary katika mabweni yanayofanana na mabanda ya kuku wa kisasa kwa wingi wa wanafunzi katika bweni moja.

Jaribuni kuwa kama shule zetu za Tanzania ambapo unalipa pesa ya karo (school fees) na mazingira ya mabweni ni mazingira-rafiki kama haya ya chini (msitoke povu Jirani zetu ni utani tu):

upload_2016-7-28_17-57-52.jpeg
images

Wakati mabweni ya shule za Kenya mnajenga picha hapo chini ''hall'' kubwa na kurundika wanafunzi mia moja ktk ''dormitory moja'' kwani shule imekuwa jela ya Shimo la Tewa huko Coast Mombasa?

upload_2016-7-28_18-1-52.jpeg
upload_2016-7-28_18-2-22.jpeg
upload_2016-7-28_18-2-36.jpeg
 
Back
Top Bottom