Siri ya Simba SC kushida kwa Mkapa

Siri ya Simba SC kushida kwa Mkapa

Kizoda

Senior Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
130
Reaction score
302
Siku nyingi nnilikuwa nikijiuliza hivi kwanini hawa simba wana win saana apa nyumbani ?
Je ni uchawi au Nini ?

Nilichokuja kugundua ni kuwa sio uchawi bali simba wana jiamini saana wakiwa nyumbani kwao yaani wana ule msemo wa kuwa lolote na liwe ni lazima wajitume ndo uchawi wao uo
Yanga tungelikuwa najituma kimataifa kama vile tunavyo jituma tukikutana na simba
Hakika sasa hivi tungelikuwa na kombe la afrika mikononi mwetu

Sasa na sisi msimu ujao kimataifa tunakwenda na kauli
Ile ya mwinyi zahera tunakwenda kupindua meza na amini inawezekana
NA sema ivo tuanze kucheza saana ugenini kwasababu ya mashabiki wetu hawa nao wanachangia kushuka kwa timu yetu wao wanacho jua ni kutukana tu kama walivyo kuwa wanamtukana molinga

Hawajui mchezaji kuna kipindi ana shuka na kupanda
instagram_1648592146284.jpg
 
Uzi wako kichwa cha mbuzi,kiwiliwili cha ng'ombe na mkia wa mbwa!
 
Ngojaa wake Wana yanga wenzio na venye vilee mpo na Azam leo ,wanawatoa bikra mlioyokaa nayo kwa muda ss
 
Siku nyingi nnilikuwa nikijiuliza hivi kwanini hawa simba wana win saana apa nyumbani ?
Je ni uchawi au Nini ?

Nilichokuja kugundua ni kuwa sio uchawi bali simba wana jiamini saana wakiwa nyumbani kwao yaani wana ule msemo wa kuwa lolote na liwe ni lazima wajitume ndo uchawi wao uo
Yanga tungelikuwa najituma kimataifa kama vile tunavyo jituma tukikutana na simba
Hakika sasa hivi tungelikuwa na kombe la afrika mikononi mwetu

Sasa na sisi msimu ujao kimataifa tunakwenda na kauli
Ile ya mwinyi zahera tunakwenda kupindua meza na amini inawezekana
NA sema ivo tuanze kucheza saana ugenini kwasababu ya mashabiki wetu hawa nao wanachangia kushuka kwa timu yetu wao wanacho jua ni kutukana tu kama walivyo kuwa wanamtukana molinga

Hawajui mchezaji kuna kipindi ana shuka na kupandaView attachment 2177908
Kwanza tuambie umetumia njia gani kuthibitisha hilo?
 
Kuna mzee yupo kulwa kivinje.

Huyu mzee ndiye anaye excel kila kitu.

Nadhani wakubwa tumeelewana.
 
Back
Top Bottom