Siri ya utajiri ni kufanya yasiyofanywa au kufanya yaliyoshindikana

Ivi iyo siri ya utajiri ipo wapi wakuu??
Maana naona kila mtu anakuja na uzi ukitaka kuwa tajiri fanya ivi!!
Mbona hamueki mambo straight ni siri zipi izo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…