Nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.
Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.
Ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.
Mkuu naweza kukipata duka gani hapa tz huki kitabu?
Nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.
Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.
Ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.
Hardcopy nenda World Book, pale Business Park Shekilango. Quality Centre pia vipo ila aghari kidogo.Mkuu naweza kukipata duka gani hapa tz huki kitabu?
alaf nktaka vtabu kama hv kwa mfumo wa pdf ntav download wapi cz kuna webst zpo humu za kudownload pdf bt vtabu vng kama hv hamna na nyngne hazna mobile versn..
Manyovu: Thanks, let me read the book!Nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.
Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.
Ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.
nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.
Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.
ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.
mkuu naweza kukipata duka gani hapa tz huki kitabu?
Naomba intro kidogo. Kinafundisha nini kwa ufupi. Is it mainly about gold business?. What exactly have you learned from it?!