Siri ya utajiri - the richest man in babylon

Manyovu

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
78
Reaction score
71
Nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.

Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.

Ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.
 
Attachments

Mkuu naweza kukipata duka gani hapa tz huki kitabu?
 
Nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.

Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.

Ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.

tupe machache juu ya hiki kitabu
 
alaf nktaka vtabu kama hv kwa mfumo wa pdf ntav download wapi cz kuna webst zpo humu za kudownload pdf bt vtabu vng kama hv hamna na nyngne hazna mobile versn..
 
Kinaelezea historia ya mfanyabiashara mkubwa babylon ambaye hapo awali aliukimbia mji sababu ya madeni,ila alikuja kukutana na tajiri mmoja na kumpa siri ya mafanikio ambayo aliitumia mpaka akaja kuwa tajiri mkubwa babylon.
 
Mi natamani kukisoma ila umetumia pdf cwez kudownload kwa cmu plse change and format from microsoft word.
 
alaf nktaka vtabu kama hv kwa mfumo wa pdf ntav download wapi cz kuna webst zpo humu za kudownload pdf bt vtabu vng kama hv hamna na nyngne hazna mobile versn..

tafadhari ni PM nikupatie link. kama unahitaji vitabu kama hivi ila unavisikiliza vipo kwenye mfumo wa sauti( audio books) ni PM japo naweza kukuchaji kidogo.
 
Asante sana MANYOVU nimefikia ukurasa wa 33 kwa ukweli nashauri wajasaliamali wote wasome hiki kitabu! its mind changer!
 
Nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.

Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.

Ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.
Manyovu: Thanks, let me read the book!
 
nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.

Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji kukuza kipato chako.

ningetamani kama angepatikana mtu wa kukitafsiri kitabu hiki au sijui kama kuna aliyekwisha kukitafsri, ili watanzania walio wengi wakakisoma.

kimeshatafsiriwa kwa kiswahili mkuu, kinaitwa "mtu tajiri wa babeli" kinapatikana sinza kamanyola kwa harris kapiga.
 
Naomba intro kidogo. Kinafundisha nini kwa ufupi. Is it mainly about gold business?. What exactly have you learned from it?!
 
sababu nimedownload kazi inabakia kwangu.asante
 
Back
Top Bottom