Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

Unaisifia nchi ambayo inapokea UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS kutoka Ulaya na Marekani!??
Israel haina sifa hizo unazoipa hapa.
Millitary complex USA,economic budget USA and EU. Ndio unakuja kuipa sifa nchi kama hiyo!??
Acha ubwege! Kwa hiyo Israel ana uspesho gani mpaka USA na EU wamshokee hivyo? Kwa nini wasiipe Tanzagiza hiyo unconditional aid?
 
Acha ubwege! Kwa hiyo Israel ana uspesho gani mpaka USA na EU wamshokee hivyo? Kwa nini wasiipe Tanzagiza hiyo unconditional aid?
Acha Ufala nenda kasome kuhusu AIPAC na Rothschild family na sakata la mwanasesere wa kuimiliki middle east ndio utaelewa kwanini USA na EU wanailinda sana Israel. Sawa we kuku maji!?
 
Kwa hiyo we mgawa Utamu kama jina lako (Bi Utamu) linavo jinasibu kumbe ni mvaa kipedo pia?
Linda mgongo wako mie sio vitu vyangu
Ila kama ni upande wapili karibu inbox 😊😊😊
 
Israel haina ubora inaopewa kiakili, kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi kama inavyosemwa. Tatizo ni kwamba tunasoma taarifa za upande mmoja tunaruka kuandika nyuzi humu JF. Tujiulize kwanini kuna AIPAC ndani ya Marekani na hata Ulaya kama sio kwa ajili ya kuikuza Israel ki propaganda?
 
Rwanda, Burundi, Eswatini, Togo nk, ni vi-nchi vidogo vidogo tu kama Israel lakini ebu jaribu kulinganisha GDP zao na ya Israel tuone.
 
Nchi yenye watu 6M,

Ikapewa 100B kila mwaka na marekani lazima iendelee,

Rushwa, wizi, umalaya upo tu kila sehemu na ndo maana nentanyahu anakesi ya rushwa.

So, there is nothing special ni muda mrefu wa pesa za bure za marekani ndo zimewafikiaha hapo
 
Unaisifia nchi ambayo inapokea UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS kutoka Ulaya na Marekani!??
Israel haina sifa hizo unazoipa hapa.
Millitary complex USA,economic budget USA and EU. Ndio unakuja kuipa sifa nchi kama hiyo!??
Jiulize kwanini Taifa lako halipokei hizo so called "UNCONDTIONAL FINANCIAL AIDS"? Unahisi unapokea tu hata kama vilaza?
 
Sio kweli labda unaongea chini ya udini tu.

Haiwezekani nchi ya watu kama milioni 10 tu hivi wawe na GDP kubwa hivyo halafu useme tu eti inakuzwa hapo ni kutokutumia akili.

Sasa Tanzania na watu takriban milioni 70 kwa nini wasiwe na GDP kama hiyo au unafikiri GDP zinatolewa kwa kujuana.
 
Wewe acha stori za vijiweni. Tupe ushahidi kwamba wanapewa USD billion 100 kila mwaka.
 
Taifa lina ukubwa sawa na Kigamboni, limezungukwa na mataifa zaidi ya sita ambayo toka miaka ya 1940s yanayotamani kuona ikifutika kwenye uso wa dunia. Ila bado yupo.

Israel ana nguvu ya ushawishi ambayo hakuna Taifa hapa duniani linaifikia. Wamarekani wenyewe kuna muda wanasema Taifa lao linaongozwa na Israel.
 
Rwanda, Burundi, Eswatini, Togo nk, ni vi-nchi vidogo vidogo tu kama Israel lakini ebu jaribu kulinganisha GDP zao na ya Israel tuone.
Unajua uchumi wewe? Umewahi fanya analysis yoyote ya kiuchumi? Huwa unapopima uchumi wa nchi husika unaweka na nchi za "level" yake. Mfano Tanzania utailinganisha na Kenya, UG kupata muktadha alafu ndio una gauge dhidi ya wastani wa AU na baadae OECD, EU, ASEAN n.k

Huwezi weka GDP ya Israel alafu ukashindanisha na China au Japan alafu ukasema per capita anawazidi!!

Mfano Japan ina watoto chini ya miaka 15 takribani million 14 ilihali population nzima ya israel ni million 10!! Sasa mpaka hapo lazima per capita ya Israel itakua juu ila ukipiga hesabu ya GDP nominal tu au PPP Israel imeachwa na Japan zaidi ya mara 7 yaani USD 4.4 Trillion dhidi ya Israel USD 600 Billion.

Pia japan inatumia pegged foreign exchange system kwahiyo pesa yake inashushwa thamani kimaksudi kwa ajili ya faida za kibiashara. Ndio maana hata fedha ya Botswana na Ghana ina thamani dhidi ya Yen lakini je zimeizidi chochote Japan?;
 
Taifa lina ukubwa sawa na Kigamboni, limezungukwa na mataifa zaidi ya sita ambayo toka miaka ya 1940s yanayotamani kuona ikifutika kwenye uso wa dunia. Ila bado yupo.
Bado yupo sababu analindwa na USA, ila bila hivyo angeshapigwa zamani sana. Hata Trump mwenyewe amesema kuwa bila USA hao Israel si lolote si chochote mbele ya iran na wengineo.
Israel ana nguvu ya ushawishi ambayo hakuna Taifa hapa duniani linaifikia. Wamarekani wenyewe kuna muda wanasema Taifa lao linaongozwa na Israel
Hawana ushawishi wwowote WANAHONGA. Hiyo AIPAC ya marekani inahonga mabilioni ya dollar kwa wanasiasa wa marekani ili wapitishe sheria na sera zinazowalinda. Bila hizo rushwa hakuna ushawishi wowote walionao. In fact wanahonga kakundi kadogo ka wanasiasa ila wananchi wa US kwa ujumla wake hawakubali wayahudi.

Kingine wana ile huruma baada ya kunyooshwa na Hitler na ulaya nzima kuwakataa. Hii inaitwa appeasement policy kwa wanadiplomasia wanaelewa kuwa nchi ikipitia madhira fulani basi kuna baadhi ya sera zinapindishwa ili kuwatuliza. Hivyo Israel, Rwanda n.k zinabebwa kwa mbeleko hii ila sio kwamba wana ushawishi per se.
 
Hivi unaelewa hata GDP inahesabiwaje? Nikikwambia uchumi wa Tanzania unakuwa kuliko wa Israel na USA utaamini? Kwa mujibu wa World Bank uchumi wa TZ unakua kwa 6% huku Israel ni 3% na USA ni 2%??

Na hao Israel wana wekezewa pesa nyingi sana kutoka US. Mfano makampuni kama Microsoft, Google n.k zimewekezwa zaidi ya USD 50 Billion.

Hapo sijaongelea israel ni 0 tariff kuuza bidhaa marekani na huuza zaidi ya USD 30 Billion kwa mwaka tofauti na nchi zingine hata za ulaya ambazo zimepewa tariff za kutisha.

Hapa sijaongelea msaada wa fedha kwa jeshi la Israel, ambao tokea umeanza kutolewa ni zaidi ya USD 300 Billion. Sasa kwa kanchi kadogo size ya kigamboni kupewa mabilioni yote hayo ya dollar kwa mwaka kwanini GDP isionekane kubwa?
 
Marekani akiacha kuwalinda na hayo yakadumu na kuwafanya wawe imara, nitaamini kweli umachokisema
Siwakubali wayahudi ila ni wapambanaji tu kama zilivyo jamii nyingine , Morocco casablanca wayahudi wapo na wanajiweza kwa kusaidiana kama jamii nyingine tu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…