Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Sijakataa ila nasema nguvu yao inayojulikana ni kutokana na USA na NATO, ukipambana naye jua unapigana nao hao pia. Hata hao wayahudi ambao wanasaidia pale 90% wapo mataifa mengineSiwakubali wayahudi ila ni wapambanaji tu kama zilivyo jamii nyingine , Morocco casablanca wayahudi wapo na wanajiweza kwa kusaidiana kama jamii nyingine tu duniani
Yeah hii ipo wazi kabisa , wanaobisha labda hauwajui kwa mapenzi yao binafsi tuSijakataa ila nasema nguvu yao inayojulikana ni kutokana na USA na NATO, ukipambana naye jua unapigana nao hao pia. Hata hao wayahudi ambao wanasaidia pale 90% wapo mataifa mengine
Waliyoianzisha ile nchi kwa ubabe ndiyo wanatumia nguvu zao kuilindaYeah hii ipo wazi kabisa , wanaobisha labda hauwajui kwa mapenzi yao binafsi tu
YeahWaliyoianzisha ile nchi kwa ubabe ndiyo wanatumia nguvu zao kuilinda
Nimeweka sababu kule juu jifunze kusoma kwa uelewa. Mbona hata China wenye akili mara elfu ya Israel hawapokei hizo grants na aids!? Israel alipo anazi favour USA na Western interests ndio maana. Pia kasome mkono wa AIPAC na Rothschild family ndio utaelewa kwanini Israel inasaidiwa hivyo.Jiulize kwanini Taifa lako halipokei hizo so called "UNCONDTIONAL FINANCIAL AIDS"? Unahisi unapokea tu hata kama vilaza?
Wao hawapewi hata nusu na robo ya msaada wanaopewa israhellRwanda, Burundi, Eswatini, Togo nk, ni vi-nchi vidogo vidogo tu kama Israel lakini ebu jaribu kulinganisha GDP zao na ya Israel tuone.
Ku conclude for leymen.
1:ASHNEKAZI
2: COMMUNITY ECONOMICS
3:GENTRIFICATION
4:Jew to Jew networking
5:Investing in survival mode maana walikuwa persucactaed miaka na miaka.
6; misingi bora ya familia, wayahudi wanathamini familia sana kuliko maelezo
Haya ndio mambo yamewafanya wawe mabingwa katika mali na technology
Kobazi watanuna.
Israil mtoa roho hacheki na magaidi.
Hizo habari tumesoma toka tukiwa shule kipindi hicho tupo hot kufuatilia conspiracy theories. Kama wewe ndo unaanza muda huu pole Sana.Acha Ufala nenda kasome kuhusu AIPAC na Rothschild family na sakata la mwanasesere wa kuimiliki middle east ndio utaelewa kwanini USA na EU wanailinda sana Israel. Sawa we kuku maji!?
Kwa hizo elimu zenu za kukaririshwa ndio useme umeisoma AIPAC!?Hizo habari tumesoma toka tukiwa shule kipindi hicho tupo hot kufuatilia conspiracy theories. Kama wewe ndo unaanza muda huu pole Sana.
Halafu elewa swali uliloulizwa na utoe majibu sawa sawia. Umeulizwa Kwa nini huo upendeleo anaopewa Israel msipewe nyie Tanzania? Kuna ugumu gani kujibu hapo
Kwa hizo elimu zenu za kukaririshwa ndio useme umeisoma AIPAC!?
Sidhani kama hata shule yenyewe ulikua unafaulu wewe,nimeshampa sababu na nimeandika hapo chini nenda kasome vizuri. Pia achana na Tanzania kwanini hata China haipewi hiyo favour!??
Hii wazayuni wa jf watajifanya kama hawaioni hii!!!
Unataka kujinyonga kwa kusikia mafanikio ya Wayahudi?
Wewe wasema!!!Mbona sasa drone technology wamezidiwa hadi na Ukraine na Iran?
Kama wewe hutaki Meza wembe!!Msingi pia wakutoa roho za wenzake upo imara kuliko nchi yyt duniani ..
Na wakristu wanamwita baba wa imani na wanaamini ndio mzaliwa wa kwanzaa aloooo hahahha
Waambie labda wewe watakuelewa!!Ikumbukwe pia kuwa mpaka kufikia mwaka 2026, tayari 25% ya tuzo zote za Nobel za washindi wa sayansi ni waisrael, licha ya kwamba idadi ya waisrael wote duniani ni 0.2% tu.
Waisrael taifa linaloongoza kwa gunduzi nyingi zaidi duniani ambazo zimekuwa na faida kubwa Kwa wanadamu. Hakuna huduma ya kisayansi duniani eg. Matibabu, kijeshi, chakula, internet etc ambazo hazina mchango wa muisrael.
Tofauti na wengi wanavyofikiri, ukweli ni kwamba Marekani ndie anamtegemea muisrael kuendeleza technology yake, na hii ndio sababu kwa nini Marekani hawezi kuacha kusimama na Israel.
Waarabu halisi wanajua nguvu ya myahudi na ndio maana uwa wanaishia tu kubweka ndani ya fensi uku wakiogopa kupambana nae direct.
Mmekosa hoja mmebakiza visingizio-Uchwara!!Unaisifia nchi ambayo inapokea UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS kutoka Ulaya na Marekani!??
Israel haina sifa hizo unazoipa hapa.
Millitary complex USA,economic budget USA and EU. Ndio unakuja kuipa sifa nchi kama hiyo!??