Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

Endelea tu kubwabwaja na Israel itaendelea kuwa juu tu kinyume na Matarajio ya Wafuga Midevu na Majini!!!
 
Endelea kujifariji tu Israel ni Baba lao!!
 
Akili ndogo za Wafuga Midevu na Majini zinakusumbua hata hivyo Israel itaendelea kuwa juu tu na kuwaua magaidi popote waliko!!!
 
Acha Ufala nenda kasome kuhusu AIPAC na Rothschild family na sakata la mwanasesere wa kuimiliki middle east ndio utaelewa kwanini USA na EU wanailinda sana Israel. Sawa we kuku maji!?
Wavaa vipedo wamejaa visinginzio mpaka utosini mwao!!

Wafuga midevu na majini sababu hii ndiyo wanaitumia ili kujifariji!!
 
Unaisifia nchi ambayo inapokea UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS kutoka Ulaya na Marekani!??
Israel haina sifa hizo unazoipa hapa.
Millitary complex USA,economic budget USA and EU. Ndio unakuja kuipa sifa nchi kama hiyo!??
Sio sifa tu bwashehe,ndio uhalisia hakuna namna. Hutaki ndio hivyo hivyo,unataka ndio hivyo hivyo.
Mfano wengi wanadhani Israel inaitegemea Marekani kwenye mambo mengi. Lakini uhalisi Marekani inamtegemea sana Israel.
 
Sijakataa ila nasema nguvu yao inayojulikana ni kutokana na USA na NATO, ukipambana naye jua unapigana nao hao pia. Hata hao wayahudi ambao wanasaidia pale 90% wapo mataifa mengine
Endelea na kuteseka na Taifa teule la Israel!!!
 
Sijakataa ila nasema nguvu yao inayojulikana ni kutokana na USA na NATO, ukipambana naye jua unapigana nao hao pia. Hata hao wayahudi ambao wanasaidia pale 90% wapo mataifa mengine
Wafuga midevu na majini wanabwabwaja sana na hawana cha kulifanya Taifa teule la Israel!!!
 

Attachments

  • a97bc3c48ee47c540b094c3da47c49aa.mp4
    2 MB
Unateseka na Israel kutokea wapi?

Hata hivyi utavwabwaja wee na Israel itaendelea tu kuwa taifa teule!!!
Kibaya zaidi hawawajui na wala hawaitambui hiyo imani yako inakufanya uwaite taifa teule. Wakiulizwa kuhusu masihi wanasema wap hajaja na huyo mnayemwamini ni mhuni tu. Yaani hata nchini kwao Waislamu wamewazidi idadi watu wa imani yako.
 
Wafuga midevu na majini wanabwabwaja sana na hawana cha kulifanya Taifa teule la Israel!!!
Haohao unaowaita wafuga madevu wapo Lebanon wengi na asilimia kubwa ni wakristo kuliko waislamu. Ila watu wa Mungu unaowaita hawaishi kudhalilisha hadi makanisa wanayotumia kusali na wanakejeli hadi madhabahu zao.

Ila kwakuwa una udini na ubongo wako umefagiwa utambuzi na kujazwa mavi ya mbuzi. Utaendelea kutoa shombo za beberu mdomoni
 
Nakuona unaongelea Midevu tu hivi kwa nini huongelei Majini yenu unaogopa nini?
 
Kibaya zaidi hawawajui na wala hawaitambui hiyo imani yako inakufanya uwaite taifa teule. Wakiulizwa kuhusu masihi wanasema wap hajaja na huyo mnayemwamini ni mhuni tu. Yaani hata nchini kwao Waislamu wamewazidi idadi watu wa imani yako.
Uzuri Ukristo Israel unashamiri sana kuliko kwenye nchi za Wafuga Midevu na Majini!!

Kwa hiyo chuki zako wewe kwa wayahudi zimegonga mwamba Israel ni Taifa teule tu minge msipinge hamuwezi kubadiri choxhote kile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…