Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

Marekani inamtegemea israhell kwa mwaka inapokea kiasi gani kutoka israhell
Kwa akili yako unaangalia hela tu? Kuna zaidi ya pesa na vitu. Kuna maswala nyeti zaidi ya pesa. Kuna maswala ya interagency, kuna maswala ya kiufundi,maendeleo ya sayansi.
 
Kwa akili yako unaangalia hela tu? Kuna zaidi ya pesa na vitu. Kuna maswala nyeti zaidi ya pesa. Kuna maswala ya interagency, kuna maswala ya kiufundi,maendeleo ya sayansi.
Kwaakili zako yote hayo unaweza kuyafanya kama huna pesa😁
 
Matacore yako


Hizi biashara zote ni za waisrael


Vipi ile boycott movement ya kususia hizi kampuni za Jews ilifikia wapi ?
****** wako. Kwahiyo hizo kampuni ndio zinaiendesha Marekani!? Huo ni uwekezaji binafsi tu. Ingelikua hivyo Netanyahu asingeomba msaada 2021 usisitishwe pale walipomuua Sherin Abu Akleh. Mbona hayo makampuni hayakuenda kuwekeza Israel?
 
Naona tokea parade lenu safari hii liingie nuksi mumekua na hasira sana
Kama mungekua na akili mungekua munasherehekea kufirana na kusagana
Kuna mfirauni mwenye kuendekeza utamaduni wa kufirana kama waarabu waanzilishi wa uislam?

Hii imerithiwa na watu wa Pwani ndio maana waislam wa Pwani yote ndio wanaongoza kwa idadi ya mashoga.
 
Mtaandika mengi sana lakini ukweli utabaki palepale kwamba Israel ni nchi ambayo nafasi yake kiuchumi imechangiwa na akili za watu wake kuliko rasilimali za asili.

Nchi ya watu milioni 10 kuwa na Nominal GDP karibu dola bilioni 800 kwa mwaka sio mchezo kwani hata Rwanda na Burundi zina watu wengi zaidi ya Israel lakini hawawezi kuwa na Nominal GDP kubwa kama hiyo.

Suala la sarafu ni suala ambalo ni very tricky to say the least.

Kabla ya vita vya Kagera 1978 shilingi ya Tanzania na ya Kenya zilikuwa ni pasu kwa pasu, lakini baada ya vita kwisha 1979 shilingi ya Tanzania ilianza kuporomoka na kuachwa mbali na ile ya Kenya hadi leo na leo hii shilingi 1 ya Kenya ni sawasawa na shilingi 20 za Tanzania....!!!!!

Hiyo tafsiri yake ni kwamba uchumi wa Tanzania uliporomoka vibaya baada ya hivyo vita na haukuweza tena kurudi pale ilipokuwa kabla ya vita.

Angalia Japan hiyo GDP yao ya USD trilioni 4+ imechangiwa na watu wangapi halafu Israel nayo GDP yao ya USD trilioni 790 imechangiwa na watu wangapi ndipo utapata jibu.
 
Mtaandika mengi sana lakini ukweli utabaki palepale kwamba Israel ni nchi ambayo nafasi yake kiuchumi imechangiwa na akili za watu wake kuliko rasilimali za asili.
Iran wasemeje? Jangwa tupu ila wamesurvive miaka 50 je Israel ingeweza toboa hata mwaka!!

Trump mwenyewe alisema bila US hao Israel wanaporomoka ndani ya mwezi tu.
Nchi ya watu milioni 10 kuwa na Nominal GDP karibu dola bilioni 800 kwa mwaka sio mchezo kwani hata Rwanda na Burundi zina watu wengi zaidi ya Israel lakini hawawezi kuwa na Nominal GDP kubwa kama hiyo.
Ireland na Swiss zina watu chini ya 10 million ila zimeacha Israel kwenye nominal GDP!!
 
Angalia Japan hiyo GDP yao ya USD trilioni 4+ imechangiwa na watu wangapi halafu Israel nayo GDP yao ya USD trilioni 790 imechangiwa na watu wangapi ndipo utapata jibu.
GDP inahesabu mpka investment za USA hapo Israel sio raia pekee ingekua raia tu ingeitwa GNP. So US na EU wakichomoa fedha zao hapo Israel watabaki na GDP ya USD 100 Billion pekee. Hivi unajua deni la serikali ya Israel ni USD 500 Billion? Nchi serious inaweza kuwa na deni la 70% ya uchumi wake? Sio himilivu
 
Kuna mfirauni mwenye kuendekeza utamaduni wa kufirana kama waarabu waanzilishi wa uislam?

Hii imerithiwa na watu wa Pwani ndio maana waislam wa Pwani yote ndio wanaongoza kwa idadi ya mashoga.
Wanaoongoza kwa idadi ya mashoga ni wakristo. Ukitaka ushahidi nakuletea. Israel kwa mwaka kila mwezi June inafanya GAY PRIDE PARADE ambao wanahudhuria zaidi ya mashoga milioni 4. Na wote ni wakristo na wayahudi.
 
Iran imepoteza makamanda wake zaidi ya 600 akiwemo kiongozi wao mkuu wa kidini Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hao Magaidi wa Iran bado tu hawajaamua?
Angalia mizoga ya magaidi wa Iran!!
 

Attachments

  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 4
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 4
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 5
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 7
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 5
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 6
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 5
  • IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 6
  • IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 5
  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 4
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 3
Iran imepoteza makamanda wake zaidi ya 600 akiwemo kiongozi wao mkuu wa kidini Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hao Magaidi wa Iran bado tu hawajaamua?
Angalia mizoga ya magaidi wa Iran!!

Duuuh walikuwa wanauliza kama mende. Ina maana jeshi letu lililala? Inaumiza sana
 
Hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…