Siri ya utajiri wa Majizzo

Dj majey for shizzle. Hii suala la ngada lina kuwa kwa kasi sijui kama lina ukweli japo kuna shaka sehemu fulani.

Duniani kote watu wanaodeal na entertainment industry ni rahisi kwao kupata faida wakiuza ngada. Wenye nightclubs,casinos,radio station sababu wateja wao wengi ni vijana.
Kuna rafiki yake majizo mmoja sasa ni marehemu alipata ajali ya gari prado mtwara akitokea kwa kaburu kijana wa ilala mtoto wa matehemu mzee mafunguo alihusishwa na hii biashara ya ngusa. Na huyu ndio alikuwa kichwa cha kumsomesha tajiri mama sweya wafungue redio enzi hizo.

In kweli mama sweya former Kilimanjaro beer brand manager ndio mmiliki halali na biggest shareholder wa Ent masters wamiliki was maisha basement na e mediaz
 
Haya ndiyo nasema wabongo wanapenda majungu huyo majizo mbal na kuwa DJ lakin alikuwa anaanda sana zile school bash karibia mikoa kibao na alikuwa anatengeneza pesa za kutosha tu like fiesta za kina ruge . jamaa anaendesha club zile maisha club si ni za kwake na bado anawekeza kwenye vyanzo vingi vya pesa . tuache majungu na fitna za kishamba kuchafua watu. Ukiwa na discipline ya pesa na ukawa unafanya uwekezaji kwa umakin lazima utafika mbali tu. Binafsi nasema acheni majizo atoe ajira na funzo kwa wengine kuwekeza ni muhimu na lazima utoboe tu. Naona hata wale mawingu FM wanalialia kijana anawaumiza kichwa mtambo wake wa TV E SIO wa ki mchezo mchezo na bado kwa hapa dar E fm inakuja kwa kasi sana na hii ni habar njema KWA wasaani hasa waliokuwa wananyanyaswa sana na cloudsfm kwa fitna zao . efm wakifika mikoan clouds FM wajipange vizur zaid na tabia zao pia waweke mahusiano mazur waachee kujenga matabaka
 
Naona wale walioamua kwamba watakufa Masikini wanafarijiana hapa!!!
 
Watakuja kukutia siku moja punguza chuki za kishamba Fanya kaz kumchukia majizo hakukupi nafuu ya maisha usiwe kama bwege
 
Wewe aliyekwambia efm na maisha club ni za majizzo nani? Acheni kuleta maneno ya vijiweni jf....

Hizo zote ni Mali za mama sweya, majizzo ni msimamizi tu.
 
Ujie ili iweje? Wewe mbona mtaji na madeni yako hujayataja? Tuache ujinga jamani
 
Acha kamba we jamaa! kufungua simple station ya radio haizidi mil 60
Tatizo watanzania tunapenda sana kudanganyana kuhusu biashara tunazofanya . Nenda benki tu waambie unataka kufungua redio na wao wakwambie mkopo wa redio unaaaanza shing ngapi. Afu nenda tcra. 60 unamaliza kwenye vifaa vya studio tu.
 
Wabongo bana, swali moja tu rahisi watu mmekuwa wakali na majibu milioni moja na nusu...na mngeweza tu kujibu 'sijui/sifahamu'

Tuna ulemavu wa ajabu sana wa kudhania unapofanikiwa kwenye jamii basi hiyo ni siri yako na unapaswa kufa nayo, na
hii tabia ndio inawaponza Watanzania wengine wengi kuamini kwamba wanaweza kuombewa na kupata utajiri, au kufuata masharti ya Waganga wakawa matajiri.

Kama hupendi chanzo cha mapato yako kujulikana basi na usitamani kuwa bilionea, au la hakikisha vitabu vyako vipo clean kwanza ndio ujitokeze/uingie kwenye ushindani.
 
Jamani mi nilisikia mmiliki wa efm na maisha club ni mwanamke , ambaye picha yake ni hii,

Anaitwa mama sweya, kwa taarifa zaidi pitia hapo na tukaze sana kila kitu kinawezekana kama tukiacha majungu.

KIBONGOBONGO: JE MNAUKUMBUKA MSIBA HUU?
 

Wewe uko tayari kuweka source ya income yako?
 
Nimegundua maskini na watu wasionashughuli wanawivu na chuki sana kwa waliofanikiwa
 

Mkuu fanya yako usipo badilika hutofanikiwa daima
 
Connecting dots..
 
Never mind. I don't speak slow, so you wouldn't follow.
alaaa kumbeee..Ukiona mtu anajibost bost ni sign moja ya low self esteem. Utasikia wewe ligi yangu huifikii mara sijui nachoongea wewe ghuwezi kuelewa au Kwendraaaaa kajambe ulaleeee..Smart people never claim to be smart. Jaribu tena muda mwingine 😀
 

How ironic you mentioned self esteem issues, and smart people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…