Siri ya utajiri wa Majizzo

Siri ya utajiri wa Majizzo

Fanya kazi acha kufatilia maisha ya mwanaume aliefanikiwa hayatakusaidia
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari

Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.

Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Akili ndogo sana hizi,kumiliki kituo cha redio na tv kwa kuanzia huhitaji hata zaidi ya 400 milion,kazi ni kuvinyanyua.
Ukiona mtu anatangaza tujadili ukwasi wa mtu ujue huyo ameshafeli maisha,muda si mrefu atakuwa mchawi
 
Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.

hahahah hilo jiwe hiloo , lazima limgonge mtu
 
Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.
ukiona mtu anafanya reference kwa huyo akili ndogo jua na yeye ni akili ndogo anayejidai ana masters hebu muulizeni dissertation yake topic ilikuwa nini 😀😀😀
 
Kisa redio yake sio rafiki wa ccm mbona siri ya utajiri wa kitwanga,rzimoko,masele,ruge n.hamsemi ubwabwa on the way
 
Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.
Wanasema wanampenda kweli eti ni msema kweli.
 
E-FM ni ya mama Sweya mmiliki wa maisha club... Majizzo wapambe tu... Kama clouds mpambe rugemalira ila mmiliki joe kusaga (kusaga family)
Kwani Majizzo naye si mtoto wa mama Sweya?..Yeye na wadogo zake ndio wanasimamia Maisha Clubs zote
 
Acha kulisha watu matangoporu.... Mmiliki wa DTV ni Azim Dewij, anamiliki na CTV, Channel Ten Na Magic FM vilevile... Majizzo alikua mfanyakazi pale, Kama alivyo mfanyakazi pale EFm na TV. Nenda kaulizie mwanamke anayeitwa Mama Sweya ni nani utapewa info za kutosha... Huyo ndo mmiliki wa mzigo wote... Issue za majizzo kuuza ngada mnamsingizia bure mkaka wa watu.
Hivi mama Sweya ndo mama yake mtangazaji Paul James au!?
Hebu tupe habari vizuri Mkuu, nimeona mawazo yako yanafaa hasa kuelimisha umma.
 
Tatizo ni kuanzisha redio au tatizo ni kuwa na redio yenye ubunifu wa hali ya juu?zimeanzishwa redio ngapi hivi karibuni?why efm.kuna mtu anachoka vituko vya mkude simba?ishu ni ubunifu tu.huku mkude kule kwenye tv kuna kizingiti wanatoa stress.siyo redio kutwa haileweki.ina mavipindi hadi ya kuamshana asubuh utasikia namuamsha mussa h mussa muuza genge wa handeni.efm wabunifu na watasonga mbele.
 
Mimi huwa naskiliza kipindi cha michezo

Mimi huwa naskiliza kipindi cha michezo tu makampuni ya simu karibu yote+DSTV huwa wanadhamini hicho kipindi .Kwa hiyo wamiliki wa Magic FM,Jembe FM,Radio 5,Times FM nao wanauza sembe?
unatetea wauza sembe mwaka huu cjui kama atapona
 
Tatizo ni kuanzisha redio au tatizo ni kuwa na redio yenye ubunifu wa hali ya juu?zimeanzishwa redio ngapi hivi karibuni?why efm.kuna mtu anachoka vituko vya mkude simba?ishu ni ubunifu tu.huku mkude kule kwenye tv kuna kizingiti wanatoa stress.siyo redio kutwa haileweki.ina mavipindi hadi ya kuamshana asubuh utasikia namuamsha mussa h mussa muuza genge wa handeni.efm wabunifu na watasonga mbele.
wamebun nn
 
Back
Top Bottom