babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Fanya kazi acha kufatilia maisha ya mwanaume aliefanikiwa hayatakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ndogo sana hizi,kumiliki kituo cha redio na tv kwa kuanzia huhitaji hata zaidi ya 400 milion,kazi ni kuvinyanyua.Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.
Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Mbowe kazaliwa tajiri, alikuwa anadrive gari yake mwenyewe kwenda shule.Hata Mbowe alikuwa DJ lakini now ni tajiri mkubwa
Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.
My attitude depends na naongea na nani. Siwezi jibu kikondoo kwa watu ambao wanafikiri kimasaburi...U have a point but u r being so rude mkuu
ukiona mtu anafanya reference kwa huyo akili ndogo jua na yeye ni akili ndogo anayejidai ana masters hebu muulizeni dissertation yake topic ilikuwa nini 😀😀😀Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.
KWa hiyo unataka kusemaje Mr keyboard warrior ...It's you to change your mind-set. If your peers blow up right in front of your eyes, it's only natural to wanna know how they did it, to see what you can learn from their moves.
KWa hiyo unataka kusemaje Mr keyboard warrior ...
Wanasema wanampenda kweli eti ni msema kweli.Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.
Kwani Majizzo naye si mtoto wa mama Sweya?..Yeye na wadogo zake ndio wanasimamia Maisha Clubs zoteE-FM ni ya mama Sweya mmiliki wa maisha club... Majizzo wapambe tu... Kama clouds mpambe rugemalira ila mmiliki joe kusaga (kusaga family)
Amefungua na Maisha Basement MwanzaYaa, na ndo mmiliki wa disco maisha basement, na maisha club mtwara na Dodoma.
Hivi mama Sweya ndo mama yake mtangazaji Paul James au!?Acha kulisha watu matangoporu.... Mmiliki wa DTV ni Azim Dewij, anamiliki na CTV, Channel Ten Na Magic FM vilevile... Majizzo alikua mfanyakazi pale, Kama alivyo mfanyakazi pale EFm na TV. Nenda kaulizie mwanamke anayeitwa Mama Sweya ni nani utapewa info za kutosha... Huyo ndo mmiliki wa mzigo wote... Issue za majizzo kuuza ngada mnamsingizia bure mkaka wa watu.
unatetea wauza sembe mwaka huu cjui kama ataponaMimi huwa naskiliza kipindi cha michezo
Mimi huwa naskiliza kipindi cha michezo tu makampuni ya simu karibu yote+DSTV huwa wanadhamini hicho kipindi .Kwa hiyo wamiliki wa Magic FM,Jembe FM,Radio 5,Times FM nao wanauza sembe?
wamebun nnTatizo ni kuanzisha redio au tatizo ni kuwa na redio yenye ubunifu wa hali ya juu?zimeanzishwa redio ngapi hivi karibuni?why efm.kuna mtu anachoka vituko vya mkude simba?ishu ni ubunifu tu.huku mkude kule kwenye tv kuna kizingiti wanatoa stress.siyo redio kutwa haileweki.ina mavipindi hadi ya kuamshana asubuh utasikia namuamsha mussa h mussa muuza genge wa handeni.efm wabunifu na watasonga mbele.
Na wewe nenda kauze sembe uanzishe radio yakounatetea wauza sembe mwaka huu cjui kama atapona